PreGE2025 Mahakama yakubali ombi la Tundu Lissu kujitetea mwenyewe

PreGE2025 Mahakama yakubali ombi la Tundu Lissu kujitetea mwenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.

Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.

Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
Wewe ni mtoto mdogo sana hata ulichoandika kinaonyesha uwezo wako wa kufikiri.
Dawa itawaingia ccm mpaka wajute kutumia mbinu za kijima kutatua tatizo.
 
Sema ni hila gani aliyoitumia kumtoa. Uchaguzi uliratibiwa na nani?
Hakuna siku mlimshinda lissu katika kesi zenu zote na kila hila mnatumia ila bado yuko vizur na Mungu anamsaidia bila ya msaada wa vyombo vya dola kama mnavyofanya nyinyi ili samia akubalike.
 
Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.

Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.

Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
Kama ambavyo Jiwe katulia chini ya futi sita baada ya kuamuru Lissu apigwe risasi. Bado huyu wa sasa nae atalipa udhalimu wake siku si nyingi.
 
Lazima afurahie, unajua ni wangapi wangekufa kutokana na uasi wake? Unajua amani ya nchi ingekuaje?
Ni furaha vyombo vya ulinzi vinapotambua majukumu yake kwa kudhibiti watu kama hawa
Takata taka hujui hata maana ya uasi, amejitetea mwenyewe Leo na umeona mawakili wa serikali walivyojiuma uma
Jaji: Wakili wa serikali mkuu, mshtakiwa ni wakili wa miaka 22 Kwa hivyo anajua anachokisema, je ni kweli, ...papapaaa mahakama inaagua kicheko
 
Ila twende mbele turudi nyuma lissu na mtu hatari sana kama akiwa mpinzani wako, maana alivyokinukisha huko nje ya nchi na kasmua kujitetea mwenyewe ni kuonyesha anajiamini vipi na atawasumbua kuliko hata wangekuwa hao mawakili wake
Na amewasumbua kweli Leo hii
 
Mbowe katolewa kwa hila gani ? Je si kweli kwamba palikuwepo na malalamiko kwamba mboye amekaa muda mrefu CDM na ni mali yake binafsi?
Lisu alianzisha uasi gani ambao unashindwa kuthibitishwa na mlalamikaji kwa siku zote 68?
Jibu kama mtu mwenye akili timamu siyo anayepumuliwa kisogoni
Hiyo siyo kazi yangu ni kazi ya mwendesha mashtaka
 
Wewe ni mtoto mdogo sana hata ulichoandika kinaonyesha uwezo wako wa kufikiri.
Dawa itawaingia ccm mpaka wajute kutumia mbinu za kijima kutatua tatizo.
Mimi ni mtu mzima ningeweza kumlala mama yako na kukuzaa
 
Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.

Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.

Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
Vipi kuteka na kuua? Ndiyo kulinda amani?
 
Why not? Mtu anataka kuharibu amani ya nchi yetu kwa tamaa ya kuwa Rais akisaidiwa na Mabeberu na Wakenya!!

Muache akae kabatini kwanza mpaka akili imrudi
Ameharibuje? Mnaoteka kubaka, kulawiti na kuua si ndo mnaoharibu amani ya nchi?
 
Tafuta ripoti za Amesty International au Human Rights Watch utapata ripoti
Kwani ukinitajia hapo kuna shida gani hadi mimi niende nikatizame huko, ila nadhani Tanzania tutakuwa tunashika namba moja maana toka tuko wadogo tunaimba amani tu ndio kitu pekee tunajichojivunia Tanzania .
 
Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.

Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.

Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
Mbowe alitolewaje kwa hila wakati upigaji kura ulikuwa wa wazi?

Ifike mahal mkubali mbowe alishindwa kihalali
 
Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.

Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.

Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
pessimistic people
 
Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo

"Kwa haya ambayo nimeyasema mawakili wangu nawashukuru, walipambana sana, walipigana kitaalamu, mlifanya majukumu yenu na mliyafanya kwa usahihi. Hivyo ninaichukua kesi hii mikononi mwangu tena. Kwahiyo Mheshimiwa 'from now on' mimi ndiye nitakaojibizana na hao mawakili wa serikali",

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Franco Kiswaga, ametoa uamuzi mdogo katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu ambayo ni kumruhusu Lissu kukabiliana moja kwa moja na Mawakili upande wa Jamhuri na si Mawakili wake kufanya hivyo mpaka atakapoamua vinginevyo.

Hakimu amesema...

"Kuanzia sasa hoja zitakuwa zinajibiwa kati ya upande wa Mawakili wa Jamhuri na Mshitakiwa mwenyewe mpaka pale atakaposema vinginevyo, kwamba naomba Mawakili wangu warudi"

==

Mwenyekiti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameomba mahakamani ajitetee mwenyewe huku akitaja sababu ni kuwa mawakili wake kutopewa nafasi ya faragha kuzungumza naye gerezani.

Soma, Pia: Tundu Lissu: Nimekuwa Mahabusu Siku 68 Mawakili wangu hawajaruhusiwa Kuniona na kuwasiliana na Mimi

Lissu amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 16, 2025 wakati kesi yake ikianza kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini pamoja na kesi kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni.

Ila Lissu ni mbishii, mpambanaji asiogopa, jeshi la mtu mmoja
 
Sikubaliani na kuteka na kuua lakini Lissu ni victim wa uropokaji wake. Hata akishinda kesi akitoka atakuwa amejifunza kitu
Ingekuwa hukubaliani kuteka na kuuwa si ungekuwa unapigia kelele hilo suala kama unavyofurahia kudhibitiwa Lissu kwa kigezo cha kulinda amani?
 
Kibatala na genge lake warudishe hela zetu, na huyo Rugemeleza Nshala
 
Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.

Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.

Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
Vijana wa yuvisisiemu na Wembo mmeumizwa sana na kichapo cha January bado vichapo vinakuja zaidi
 
Back
Top Bottom