Mbona Wajenzi wa Barabara wanalipwaHamna biashara ngumu
Kama Kufanya biashara na serikali
Ukipata tenda serikalini usishangilie,
Kilio chake Ni suala la muda tu[emoji26]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huu uzi maskini tutajazana na kufurahia mno mno.. Kama tunauaga umaskiniKwa wanaokumbuka kabla ya 2015 hivi. Hii kampuni ilitamba sana bongo na kuwezesha malipo ya serikali, wakuitwa MaxMalipo...
Story yao kwa sasa inasikitisha kidogo, baada ya bank ya Stanbic kuiburuza mahakamani wakidai walipwe malimbikizo ya deni la Bil 12.
Mahakamani walijitetea kwamba baada ya serikal kuwa na mfumo wao wa malipo na kupoteza tenda zote serikalini ikiwepo Tanesco, BRT nk.. wamekwama.
Hata hivo mahakama ilitupilia mbal madai yao, kwa kuwa bado waliendelea kufanya biashara na kukopa zaid mil 164 kwa ajili ya kununua POS na kwamba kampuni hiyo ina Matawi nchi jirani.
Mahakama imeamuru Mali iliyomo mbezi Beach ipigwe mnada miez mitatu kutoka sasa wakishindwa kulipa deni hilo.
Kinachovutia kwenye case hii ni namna mtu unaweza anzisha kampuni na ikajiendesha kwa kutegemea serikali pekee..... yani serikal ya Tanzania kama mteja muhim na unaomba loans ya Dola zaid ya mil 5.
Chanzo: Citizen 24/04/2023.
Poleni sana wakuu.
Chuki za watu ndani ya Serikali ni sumu mbaya ya maendeleo ya nchiKwa wanaokumbuka kabla ya 2015 hivi. Hii kampuni ilitamba sana bongo na kuwezesha malipo ya serikali, wakuitwa MaxMalipo...
Story yao kwa sasa inasikitisha kidogo, baada ya bank ya Stanbic kuiburuza mahakamani wakidai walipwe malimbikizo ya deni la Bil 12.
Mahakamani walijitetea kwamba baada ya serikal kuwa na mfumo wao wa malipo na kupoteza tenda zote serikalini ikiwepo Tanesco, BRT nk.. wamekwama.
Hata hivo mahakama ilitupilia mbal madai yao, kwa kuwa bado waliendelea kufanya biashara na kukopa zaid mil 164 kwa ajili ya kununua POS na kwamba kampuni hiyo ina Matawi nchi jirani.
Mahakama imeamuru Mali iliyomo mbezi Beach ipigwe mnada miez mitatu kutoka sasa wakishindwa kulipa deni hilo.
Kinachovutia kwenye case hii ni namna mtu unaweza anzisha kampuni na ikajiendesha kwa kutegemea serikali pekee..... yani serikal ya Tanzania kama mteja muhim na unaomba loans ya Dola zaid ya mil 5.
Chanzo: Citizen 24/04/2023.
Poleni sana wakuu.
Kwa furaha sana na wengine wakipongeza utawala uliowaletea hawa Jamaa roho mbaya hadi wakafilisikaHuu uzi maskini tutajazana na kufurahia mno mno..kama tunauaga umaskini
Biashara ikishaingia mkono wa wanasiasa ni shida Sana, mwanzoni wanakuwa wakarimu sana kutekeleza malengo yao.Kwa furaha Sana na wengine wakipongeza utawala uliowaletea hawa Jamaa roho mbaya Hadi wakafilisika
Usiombe, trust me... Usiombe kufanya kazi na hao jamaa. Watu wana mioyo migumu tu ila kazi za Serikali ni kichomi kuliko.Mbona Wajenzi wa Barabara wanalipwa
Mbona Wajenzi wa Barabara wanalipwa
Ha ha nakumbuka ule uzi wako wa kufilisika kimasiharaHamna biashara ngumu
Kama Kufanya biashara na serikali
Ukipata tenda serikalini usishangilie,
Kilio chake Ni suala la muda tu[emoji26]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndo maana wengi huacha miradi maana wanakuwa wametumia pesa zao ila kazi hailipiwiWanalipwa wageni..makampuni ya kigeni ndio wanalipwa fasta. Maana serikali inayaogopa.
Ila wazawa huwa hawalipwi bila kuzungushwa sana na usumbufu mwingi na kuzulumiwa