BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,535
- 10,974
hahaa,mm ndo nilikuwa darasa La sabahuu uzi ulianzishwa kipindi ambacho hata kutongoza nilikua sijui
hahaa,mm ndo nilikuwa darasa La sabahuu uzi ulianzishwa kipindi ambacho hata kutongoza nilikua sijui
mimi ndio nilikuwa la tano mkuu, mambo haya yakufukua makaburi yanatukumbusha mbali kwa kwelihahaa,mm ndo nilikuwa darasa La saba
Thread ilikuwa ya 2007 akiwa waziri sasa atapunguzaje leo kwa vile kawa rais
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa,ni noma mkuu.hakika tumetoka mbalimimi ndio nilikuwa la tano mkuu, mambo haya yakufukua makaburi yanatukumbusha mbali kwa kweli
mafisadi hayana rangi
Hili kaburi Lumumba hawasogei watazikwa.mnafukua makaburi.......
Dakika chache zijazo...utagundua kwamba na wewe ni mmoja wa wale wanachama wa Simba ambao Rage aliwaita...............!Tarehe 30 Agosti mwaka huu!
Thread ilikuwa ya 2007 akiwa waziri sasa atapunguzaje leo kwa vile kawa rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ni yule mwenyekiti wa chama pendwaNi huyu rais wa wanyonge au mwingine?
Lakini kwa kweli si vyema kumnyodoa na kumzodoa Rais kiasi hiki, si staha kabisaNdio ivyo boss,,,Rais agombezwi,,ni mkamilifu