Mahakama yaamru serikali kumlipa mfanyabiashara Sh15bilioni

Bwana yule kaanza kuliingiza Taifa kwenye hasara kubwa sana kwa muda mrefu sasa, halafu bado wale mafisadi Mkapa na Kikwete wakamuona anafaa kuwa kiongozi wa nchi! Wangemsikiliza Mama Janeth Magufuli kwamba jamaa hana sifa ya kuongoza nchi leo hii kusingekuwa na hii hofu kubwa iliyotanda nchini. Mtu akijua hana sera, hana hoja anaamua kuwa dikteta.

Thread ilikuwa ya 2007 akiwa waziri sasa atapunguzaje leo kwa vile kawa rais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine wanakurupuka ku comment bilaa kupitia uzi!!
Hebu usomen date yake na mwaka.mtauelewa
 
Haya Haya Haya,na hii mkamateni Lissu!!!

Huyu jamaa hadi atoke madarakani,Taifa litakuwa hasarani kuliko zama zote!!!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom