Mahakama ya mafisadi, kesi namba moja itafunguliwa Richmond

Mahakama ya mafisadi, kesi namba moja itafunguliwa Richmond

Kama maguliful muadilifu na alishinikizwa na wakuu zake

1. Alichukuwa hatuagani? Kushiriki uovu?

2. Kwanini hakujiuzulu ilikujisafisha - tuamini anachonena.

3. Vipi ndugu zake wakapata mgao wa nyumba japo si wahusika.

4. Angeambiwa ajichinje angekubali kwasababu kaambiwa nawaziri mkuu

Majibu tafadhali

Majibu yatoke wapi wakati kila kinachopostiwa ni maagizo toka lumumba?
 
Wadau msiwe na hofu na kutokwa mapovu na kutafuta justification rahisi kwa hili. Mahakama zinatenda haki na mwenye haki ataonekana. Sisi sio wasimamizi wa sheria.
Naona style ya kina Mramba na Yona inanukia. Stay tuned

Ni kweli kutakuwa na matukio mengi sana. Napata picha ya mambo kuwa kama Enzi za Sokoine. Wako watu wakubwa watafikishwa mahakamani, this is for sure. Dk. Magufuli siyo mtu wa mchezo kabisa. Mimi nahisi hata baadhi ya vyombo vya habari vitaguswa na hasa wamiliki wake. Yako magazeti yanayomilikiwa na na nchi jirani na ambayo yamekiuka sharia za registration. Sijui hali itakuwaje, mafisadi wataonja joto la jiwe. Haiwezekani mtu uibe Ubungo bus stand halafu ukiondolewa unaleta za juzi.
 
Ni kweli kutakuwa na matukio mengi sana. Napata picha ya mambo kuwa kama Enzi za Sokoine. Wako watu wakubwa watafikishwa mahakamani, this is for sure. Dk. Magufuli siyo mtu wa mchezo kabisa. Mimi nahisi hata baadhi ya vyombo vya habari vitaguswa na hasa wamiliki wake. Yako magazeti yanayomilikiwa na na nchi jirani na ambayo yamekiuka sharia za registration. Sijui hali itakuwaje, mafisadi wataonja joto la jiwe. Haiwezekani mtu uibe Ubungo bus stand halafu ukiondolewa unaleta za juzi.
Na yeye pia akiwemo lazima afike mahakamani kwa ajili ya kujibu juu ya kuuza nyumba za umma kwa bei chee na kuwagawia vimada wake kwa kuhongwa papuchi
 
Tunazungumzia Richmond hapa! Hayo mengine peleka huko anzisha thread tutachangia. Suala la yupi ni yupi itajulikana mahakamani. Tusianze na utetezi kwa mambo tusiyoyajua.kwa sababu bila kufanya maamuzi magumu haya nchi hii haiwezi badilika. Ni lazima wezi tuwapeleke katika vyombo vya sheria. Magufuli ameshasema subiri aingie ikulu. Labda mkimbie



Wacha akili zako za kiCCM wewe! kama hutaki watu wachangie humu nenda kaanzishe 'CCM forum' Lumumba.
Mimi nasema kama ikianzisha hio mahakama basi mshitakiwa wa kwanza ni mwenyekiti wako wa Chama Cha Mafisadi! yeye ndie fisadi papa.
 
Yeye atafikishwa Mahakama za kawaida kesu ya kwanza KUGAWA NYUMBA ZA SERIKALI KWA MUSA WA TANROAD
 
Babeli chalii yangu uhakika wa kuanzishwa mahakama ya mafisadi ni mpaka bunge lianze vikao na muswada utengenezwe baada ya kujadiliwa na baraza la mawaziri kisha muswada upelekwe bungeni na hapo ujadiliwe na ukipitishwa upangiwe bajeti. baada ya hapo mahakama hiyo itapewa wigo wa kuanzia kazi na bila shaka utaanzia tokea serikali ya awamu ya tatu na kama mahakama hiyo ikianza basi kesi ya kwanza itakuwa ni ya kuuza na kuhonga nyumba za serikali ambapo mtuhumiwa atalazimika kusimama na kujitetea na kutoa ushahidi wote. baada ya hapo utafuata ufisadi wa vijisenti kisha richmond na Epa NA ESCROW NA MEREMETA na pia ufisadi wa kivuko mtumba na meli ya samaki inayolitia taifa hasara kwa kulipa fidia ya mabilioni ya dola.
Nitoe rai yangu na hasa baada sasa ya kuwa na uhakika mahakama ya mafisadi itaanzishwa mara tu Magufuli atakapoingia ikulu. Tunamtakia kila heri kwa kujitoa huku. Na baada ya hapo nadhani watanzania sasa tutaanza kunyooka na kuwa na nidhamu na maadili kwa raslimali za taifa.

Magufuli ameshasema atayafunga majizi na wajiandae. Najua majizi yote na mafisadi hayatampenda naomba tu aongezewe ulinzi mkali.

Kesi namba moja itaanza kwa mzee wa Richmond.

Atueleze Kwanini alipiga dili pamoja na utajiri wote alionao

Je, pesa alipeleka wapi kwa nini basi hayo mapesa haramu asingeyatumia humu humu nchini. Na badala yake kwenda kununua majumba ulaya

Je, ana ushahidi gani wa ziada zaidi ya yale yaliyotolewa na kamati ya Mwakyembe, Dr Slaa na magazeti ya Mwanahalisi miaka yote.

Je, ni kwa nini aliamua kujinufaisha mwenyewe wakati wananchi wanapata shida lukuki.
 
Magufuli anatuhuma za kuhonga nyumba demu wake Sundi Milomo sasa sijui yeye kesi yake itakuwa namba ngapi
 
Magufuli mwenyewe fisad pia,atawezaje kupambana na ufisad?
 

Attachments

  • 1444832986784.jpg
    1444832986784.jpg
    24 KB · Views: 93
Ccm wanashupalia Richmond ili kuficha madhambi yao jamani hata escrow ya juzi na wote waliobeba pesa kwenye viroba ndo wagombea kweli hawa watu ni wauaji...yaani inatisha! Magufuli fisadi mkubwa hana ubavu wa kunyoosha Tanzania kwa mahali ilipofika...
 
Back
Top Bottom