Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,783
- 35,766
Wakati waziri anauza nyumba za serikali bwana Sumaye ambae alikuwa bosi wake alikuwa wapiii. Tumieni akili hata kidogo. Msilete ushabiki. Nachukia sana unafiki huu
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Jibu hoja sio unatapatapa.