Mahakama ya mafisadi, kesi namba moja itafunguliwa Richmond

tuache kujadili mambo kijuha ili tusonge mbele kimaendeleo. Fikiria kidogo tu yaliyoendelea baada ya lowasa kujiuzulu;

1. Serikali iliendelea kulipa richmond (kwa nini ilipe matapeli? Au wana nguvu kuliko serikali mpaka leo?)

2. Serikali ilibariki mchakato wa kubadili richmond kuwa dowans (jiulize maswali yenye mwelekeo kama kwenye na. 1)

3. Serikali ilibariki mchakato wa kubadili dowanskuwa symbion (jiulize maswali yenye mwelekeo kama kwenye na. 1)

4. Kuna uwezekano mengine yanayofanana na hayo yakaendelea.

Tatizo hapa ni mahakama au ni serikali ya mafisadi au kama siyo mafisadi basi ni mazuzu?
Mbona mahakama zilizopo zimewafunga mramba na yona?

Ufisadi ni ufisadi tu, uwe umefanywa na lowasa au yeyote mwingine, dhambi ni moja na la muhimu ni kusafisha hiyo dhambi na siyo maneno maneno ya kampeni za kipuuzi!

mkuu huyu Babeli hawezi kuelewa ulichoandika. Umeandika point ila hapo ni sawa kumpigia mbuzi gitaa...hatakwelewa
 
Last edited by a moderator:

Mwana ccm yeyote yule kutangaza vita na ufisadi ni sawasawa na mgonjwa wa ukimwi kutangaza vita na ARV's.
 
akili ndogo haishawishi akili kubwa...hushawishi wajinga tu..mahakama zipo kikatiba...mahakama ya mwanzo, mahakama ya hakimu mkazi, mahakama kuu na mahakama ya rufaa...na mahakama yahakimu mkazi na mahakama kuu zinauwezo wa kutoa maamuzi ya kesi zote kubwa..bsasa nyie ndorobo mmepigwa changa la macho mnaona kweeli...dah wajinga kweli ngima ya mjanja...ndi mana luwasa amesema kipaumbele chake cha kwanza hadi cha tatu ni elimu ili awaondoe umbulula nyie wajinga..
 
Nasikia uuzaji wa nyumba hizo pia ulipata baraka za baraza la mawaziri na mwenyekiti huwa ni waziri mkuu.

haa haa toka lini baraza la mawaziri mwenyekiti akawa waziri mkuu? haa haa pole sana. ndo maana ukawa wanasema kipa umbele ni ELIMU ELIMU ELIMU.
 
Mmiliki si tulitajiwa kuwa ni JMK au alitajwa nani?

Tunazungumzia Richmond hapa! Hayo mengine peleka huko anzisha thread tutachangia. Suala la yupi ni yupi itajulikana mahakamani. Tusianze na utetezi kwa mambo tusiyoyajua.kwa sababu bila kufanya maamuzi magumu haya nchi hii haiwezi badilika. Ni lazima wezi tuwapeleke katika vyombo vya sheria. Magufuli ameshasema subiri aingie ikulu. Labda mkimbie
 
Mmiliki si tulitajiwa kuwa ni JMK au alitajwa nani?

Nitoe rai yangu na hasa baada sasa ya kuwa na uhakika mahakama ya mafisadi itaanzishwa mara tu Magufuli atakapoingia ikulu. Tunamtakia kila heri kwa kujitoa huku. Na baada ya hapo nadhani watanzania sasa tutaanza kunyooka na kuwa na nidhamu na maadili kwa raslimali za taifa.

Magufuli ameshasema atayafunga majizi na wajiandae. Najua majizi yote na mafisadi hayatampenda naomba tu aongezewe ulinzi mkali.

Kesi namba moja itaanza kwa mzee wa Richmond.

Atueleze Kwanini alipiga dili pamoja na utajiri wote alionao

Je, pesa alipeleka wapi kwa nini basi hayo mapesa haramu asingeyatumia humu humu nchini. Na badala yake kwenda kununua majumba ulaya

Je, ana ushahidi gani wa ziada zaidi ya yale yaliyotolewa na kamati ya Mwakyembe, Dr Slaa na magazeti ya Mwanahalisi miaka yote.

Je, ni kwa nini aliamua kujinufaisha mwenyewe wakati wananchi wanapata shida lukuki.
 
Hata mseme nini magamba Kura yangu , ya mke wangu na majirani zangu ni kwa lowassa. Achilia mbali wafanyakazi wenzangu na marafiki zangu wote wameshaamua kummpa lowassa.
 
Mahakama ya mafisadi ikoje? Kwani Mahakama zilizopo haziwezi kusikiliza kesi za mafisadi nakuzitolea hukumu?

Nafikiri ccm inawaona watanzania ni wajinga sana.
 
Usanii mtupu. Kwani mahakama zklizopo hazina mamlaka ya kesi za ufisadi... Yale yale.... Maisha maziri kwa kila.... Familia ya viongozi wa Ccm
 
Lakin mwizi halisi si mnikulu!

Labda mtaanza kufunga wastaafu akiwemo yule alojiuzia Kiwira coal mine

Usisahau na yule Aliyeitwaa Loliondo na kuwapa wagen kwa bei chee

Mzee wa mitusi wanamuogopa
 
Pombe atabaki2 kuwa mwenyekiti wa chama baada ya uchaguzi,hatanahivyo na wasiwasi hatauwenyekiti wa chama watamnyima
 
Kesi ya pili itakuwa ni Balali na mke wake,, Awe Hai Au Maiti atasakwa popote,
Ya Tatu Bring Back Our General.
 
nitoe rai yangu na hasa baada sasa ya kuwa na uhakika mahakama ya mafisadi itaanzishwa mara tu magufuli atakapoingia ikulu. Tunamtakia kila heri kwa kujitoa huku. Na baada ya hapo nadhani watanzania sasa tutaanza kunyooka na kuwa na nidhamu na maadili kwa raslimali za taifa.

Magufuli ameshasema atayafunga majizi na wajiandae. Najua majizi yote na mafisadi hayatampenda naomba tu aongezewe ulinzi mkali.

Kesi namba moja itaanza kwa mzee wa richmond.

Atueleze kwanini alipiga dili pamoja na utajiri wote alionao

je, pesa alipeleka wapi kwa nini basi hayo mapesa haramu asingeyatumia humu humu nchini. Na badala yake kwenda kununua majumba ulaya

je, ana ushahidi gani wa ziada zaidi ya yale yaliyotolewa na kamati ya mwakyembe, dr slaa na magazeti ya mwanahalisi miaka yote.

Je, ni kwa nini aliamua kujinufaisha mwenyewe wakati wananchi wanapata shida lukuki.

1:escrow
2:epa
3:rada
4:meremeta
5:kagoda
6:mabehewa feki
7:kivuko cha mv dsm
8:mishahara hewa
9:
 
Back
Top Bottom