mahakama ya kadhi na uhuru wa kuabudu wapi na wapi?Jana, (ingawa sikusikia jibu lote) kipande kidogo nilichokisikia kinanifanya ni sadiki kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pita Pinda alipokuwa akijibu hoja za bajeti jana jioni kaonesha kuridhia kwa Serikali kuanzishwa tena kwa Mahakama ya Kadhi baada ya kufungiwa kwa muda mrefu na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika (na baadae Tanzania) Julius Kambarage Nyerere.
Tunawapongeza Watanzania wote kwenye haya maamuzi mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kuwarudishia Waislaam Kadhi na mahakama ya Kadhi ni katika kuwapa uhuru wao wa kuabudu uliodhulumiwa na utawala wa awamu ya kwanza.
Tunatumai mchakato wa kuzirudisha mahakama za kazi utakuwa wa kasi zaidi.
Hongera Waislaam, Hongera Kikwete, Hongera Pinda, Hongera Watanzania.
Msidanganyane! mlipa kodi mkubwa wa nchi hii ni Waislamu kutokana na idadi ya uwingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.
Msidanganyane! mlipa kodi mkubwa wa nchi hii ni Waislamu kutokana na idadi ya uwingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.
Iulize Serikali!sasa kwa nini hamtumii mapesa yenu mengi kujenga shule ili jamii ya kiislamu nchini iwe na wasomi wengi tofauti na sasa?
Hela wanazo lakini mabahili hayo sijapata kuona. Ebu angalia misikiti yao mijini ilivyochakaa lakini hutaona hata siku moja imekarabatiwa. Wao ni pilau tu na juice za miwa, basi.Chekeleeni tu mna hela za kuendesha? Mmeshindwa kujenga miskiti ya kutosha mnalilia mahakama ya kadhi pesa zenyewe za kuunga unga si bora mngewekeza kwenye mashule ya kiislam na zahanati.
Iulize Serikali!
Utatufundisha nini wewe kuhusu amani?! fanya research kuhusu Mtume SAW jinsi alivyofunga makataba wa amani na Makafiri huko Hudaybiyah, uone kuwa sisi ni watu tunaomaliza matatizo kwa amani kabla ya vita, kubakieni kwenu nyinyi Wakristo miaka yote hii huku mkifanya kila aina ya uvunjaji wa amani(kutoka mwembechai mpaka MOU) bila ya kuguswa ni ushahidi tosha kuwa Waislamu ni watu wa amani.Msidhani ina faida.Hakuna hata moja.Wote walioanzisha hii kitu wanaishi kwa "political instability".Waislam hawatk amani
Hakuna cha michango ya Wakristo wala nini hapo, ni pesa za MOU hizo ndizo zinazofanyakazi, mwenzako alishauriwa amshauri mbunge wake ili aibue hoja bungeni kuhusu matumizi ya pesa za MOU akakimbia hapa!Mbona wakirsto wanajenga za kwao, mwezi huu wa sita tu zimefunguliwa shule zaidi ya mbili zilizojangwa kwa michango ya wakirsto mkoani morogoro kwa mujibu wa vyombo vya habari, wapi ujenzi wa shule inayojengwa kwa michango ya mabilionea wa kiislamu unaendelea? kile chuo kikuu cha wailamu ambacho serikali ilikikabidhi ardhi kubwa na majengo ya serikali kimefikia wapi?
Waislam na Jumuiya zake wana shule ngapi, wana vyuo vingapi, wanahospitali ngapi, wanaviwanda vingapi, wana mashamba mangapi, wana properties ngapi?...
Ijengeni kwanza Jumuiya ya Kiislam ndipo mfikilie mahakama ya Kadhi.
Hakuna cha michango ya Wakristo wala nini hapo, ni pesa za MOU hizo ndizo zinazofanyakazi, mwenzako alishauriwa amshauri mbunge wake ili aibue hoja bungeni kuhusu matumizi ya pesa za MOU akakimbia hapa!
Ungese mwingine huu! mwanamke Mkristo mtawa akivaa hijabu na msalaba kimya,na ananyenyekewa maofisini na mjengoni, mwanamke Muislamu akivaa hijabu mnaleta maneno yenu.....hii nchi bora igawanywe tu, Waislamu kwao na Wakristo kwao!mahakama ya kadhia.
waTZ mtakoma mkiruhusu upuuzi huu.
safari moko huanzisha safari nyingine .... watadai tena kila mwanamke avae kininja.....wakimaliza hiyo watataka kila mtu afunge mwezi wa Rama na hakuna kuuza chakula, na dalili zipo wazi, kipindi cha mwezi wa Rama ukihisi njaa uko Kariakoo utajuta, no food mpaka saa 12.
napita
Ungese mwingine huu! mwanamke Mkristo mtawa akivaa hijabu na msalaba kimya,na ananyenyekewa maofisini na mjengoni, mwanamke Muislamu akivaa hijabu mnaleta maneno yenu.....hii nchi bora igawanywe tu, Waislamu kwao na Wakristo kwao!
Kimedorora!! Namshukuru sana Mkapa kwa kuwapatia chuo kile maana kwa kufanya hivyo imejidhihirisha waziwazi kwamba wenzetu na elimu ni mwizi na polisi.Mbona wakirsto wanajenga za kwao, mwezi huu wa sita tu zimefunguliwa shule zaidi ya mbili zilizojangwa kwa michango ya wakirsto mkoani morogoro kwa mujibu wa vyombo vya habari, wapi ujenzi wa shule inayojengwa kwa michango ya mabilionea wa kiislamu unaendelea? kile chuo kikuu cha wailamu ambacho serikali ilikikabidhi ardhi kubwa na majengo ya serikali kimefikia wapi?