Tetere Enjiwa
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 217
- 65
tatizo lipo tena kubwa..kwani hiyo pesa ya serikali wakristo ndio wanachangia hio kodi wenyewe? This is distribution of nation cake....tatizo liko wapo? Kwani mahakimu wa hio mahakama watatoka uarabuni? Nope ..watakuwa ni watanzania wenzetu tena....kuna tatizo hapo?....au hujawahi kwenda kwenye migodi ya madini na makampuni makubwa ukaona jinsi wageni wanavyotumbua pesa yetu kwa kupewa mishahara mikubwa?
serikali ianzishe hiyo mahakama watu wakatwe mikono bana.. Uhalifu mwingi utapungua aisee...kwa nn wakristo hawaitaki hii mahakama? Hii ni pilipili isiyoila sasa inawawashia nini?
mkuu lile fungu wanalopewa wakristu ni kwa kuendesha huduma za jamii...wewe , mjomba wako nk kama mkipata safura mnakwenda kutibiwa pale bila ubaguzi, maji ya kisima mnakunywa wote wakristu/waislam...lakini mahakama ya kadhi ni shughuli ya ibada ya waislam wenyewe , si ya jamii nzima ya tanzania ndiyo maana wanatakiwa mshughulikie wenyewe hiyo mahakama!kama haina dini kwa nini -Katoliki wanapewa fungu na serikali? Kwa nini kama wanatoa huduma za jamii wasitoe tu kama kanisa? Kwa nini wameingia gentlemen mkataba na serikali ambayo haina dini? Serikali na maaskofu hapa wameteleza kuwanyima waislamu mahakama ya kadhi kama walivyotaka na huu udini wakristo ndio wanauanzisha wenyewe
mbona serikali hiyohiyo inatoa ruzuku kwa taasisi ya ccbrt ambayo ni taasisi ya kidini inayoongozwa na dr w.p. s..aa? je huu nao ni udini?Mkubwa... Sorry if I'll be offending you... But I think and believe the opposite is true... Kutumia pesa za Serikali kuanzisha na kuendesha Taasisi za kidini ndiyo UDINI!!!
unajua ni shs ngapi wakatoliki wanapewa? Nadhan kafanye utafiti kwanza. Uungwana huendana na kuwa na uhakika na mtu asemacho. Halafu unajua hiyo MoU ilihusu nini?kama haina dini kwa nini -Katoliki wanapewa fungu na serikali? Kwa nini kama wanatoa huduma za jamii wasitoe tu kama kanisa? Kwa nini wameingia gentlemen mkataba na serikali ambayo haina dini? Serikali na maaskofu hapa wameteleza kuwanyima waislamu mahakama ya kadhi kama walivyotaka na huu udini wakristo ndio wanauanzisha wenyewe
Waislam tuchape kazi, malumbano na fikra potofu ndivyo vinaturudisha nyuma. Hata ukiangalia mikoa ya waislam wengi nje ya Dar iko nyuma kimaendeleo. Mfano: Tabora, Lindi, Mtwara na Kigoma.
wakristo kuipinga mahakama ya kadhi ni kueneza udini...
hapo kwenye red; nafurahi sana kuona chadema leo mnamtukuza na kumheshimu mh. rais: kumbe ile kumtukana huwa mnakuwa mmerukwa na akili? kumbe mnajua jinsi ya kuongea kistaarabu enhee!!!!!!!!!!Haya ndio mambo wengi tusiotaka kuyaona. Hizo adhabu za kukata mikono mtakata waislamu tu au mtakata hata wasio waislamu?? Tena kama nia ni hiyo, fanyeni referundum hata katika uislamu na mtashangaa kuona wengi wenu hawataki sheria za namna hii.
Pamoja na kutaka hayo, kumbuka hata Rais alisema ni maswala ya ndoa, mirathi. Si wizi, uongo nk!! Tatizo kubwa kwako ni kulalama na kuona mwingine ndio chanzo cha matatizo yako. Kama hakimu wa makahama ya kadhi hawezi kuwa wa dhehebu jingine, huoni hiyo ni taasisi ya kidini ambayo serikali haipaswi kuiingilia? Mfano mdogo tu ni Jumuiya ya Kikristu au Bakwata. Taasisi hizi hazipati fedha yoyote kutoka serikalini kwa sababu malengo yake ni ya kidini na si kijamii kama mashule, mahospitali nk.
Serikali haikatai mahakama ya kadhi kuwepo, inakataa kujihusisha na jumuiya ya kidini. Elewa hivo tu na itatosha.

unajua kuwa serikali inalipa kanisa fungu kila mwaka? Huu sio udini?

Wake up!!! Hapa serikali imeteleza sana isifikiri kuwa waislamu ni wajinga

mkuu lile fungu wanalopewa wakristu ni kwa kuendesha huduma za jamii...wewe , mjomba wako nk kama mkipata safura mnakwenda kutibiwa pale bila ubaguzi, maji ya kisima mnakunywa wote wakristu/waislam...lakini mahakama ya kadhi ni shughuli ya ibada ya waislam wenyewe , si ya jamii nzima ya tanzania ndiyo maana wanatakiwa mshughulikie wenyewe hiyo mahakama!
Tulitengwa kaka!

tunataka mafedha kama wanavyopewa makanisa na sisi tule samaki pono, tununue magari kama wanayotembelea wenzetu
Waislam tuchape kazi, malumbano na fikra potofu ndivyo vinaturudisha nyuma. Hata ukiangalia mikoa ya waislam wengi nje ya Dar iko nyuma kimaendeleo. Mfano: Tabora, Lindi, Mtwara na Kigoma.
nasimamia ukweli...im a christian thoughI thought you were better than this but I guess I was mistaken!
sas point yako iko wapi hapa?usitumie masaburi

Hivi wewe wakristo wanakunyima usingizi? Jitahidi uwabadilishe wawe waislam. Ukishindwa ungana nao.
Madhehebu gani ya kiislam yatakayoendesha mahakama hiyo. Bakwata mwaikataa!!
kwani mwislamu anaweza kwenda kusoam kweney shule za seminary? huu sio udini? wewe unaongea nini bwana ..Haya ndio mambo wengi tusiotaka kuyaona. Hizo adhabu za kukata mikono mtakata waislamu tu au mtakata hata wasio waislamu?? Tena kama nia ni hiyo, fanyeni referundum hata katika uislamu na mtashangaa kuona wengi wenu hawataki sheria za namna hii.
Pamoja na kutaka hayo, kumbuka hata Rais alisema ni maswala ya ndoa, mirathi. Si wizi, uongo nk!! Tatizo kubwa kwako ni kulalama na kuona mwingine ndio chanzo cha matatizo yako. Kama hakimu wa makahama ya kadhi hawezi kuwa wa dhehebu jingine, huoni hiyo ni taasisi ya kidini ambayo serikali haipaswi kuiingilia? Mfano mdogo tu ni Jumuiya ya Kikristu au Bakwata. Taasisi hizi hazipati fedha yoyote kutoka serikalini kwa sababu malengo yake ni ya kidini na si kijamii kama mashule, mahospitali nk.
Serikali haikatai mahakama ya kadhi kuwepo, inakataa kujihusisha na jumuiya ya kidini. Elewa hivo tu na itatosha.
kwani hii mahakama akiajiriwa mwislamu na wewe ukiwa na genge lako si atakuja kununua vitu kwenye biashara zakao? tatizo liko wapi? acheni udini hautatupeleka kokote ..mkuu lile fungu wanalopewa wakristu ni kwa kuendesha huduma za jamii...wewe , mjomba wako nk kama mkipata safura mnakwenda kutibiwa pale bila ubaguzi, maji ya kisima mnakunywa wote wakristu/waislam...lakini mahakama ya kadhi ni shughuli ya ibada ya waislam wenyewe , si ya jamii nzima ya tanzania ndiyo maana wanatakiwa mshughulikie wenyewe hiyo mahakama!