Mahakama ya Afrika Mashariki yaipa Tanzania siku 45 kujibu hoja kuhusu sheria ya vyama vya siasa


Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
6,004
Points
2,000
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
6,004 2,000
Serikali imepewa siku 45 na Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) kujibu madai ya vyama vinane vya upinzani vinavyopinga Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya siasa, baada ya vyama hivyo kufungua kesi Februari 12, 2019

img_20190415_193118-png.1072270
img_20190415_193142-png.1072271
img_20190415_193328-png.1072273
img_20190415_193309-png.1072274


img_20190415_193118-png.1072270
img_20190415_193142-png.1072271
 

Attachments:

wakikosi

wakikosi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Messages
1,153
Points
2,000
wakikosi

wakikosi

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2015
1,153 2,000
masara

masara

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
1,469
Points
2,000
masara

masara

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
1,469 2,000
Kumekucha ngoja tuone..maana ile hukumu ya kwanza selikari walisema watakata rufaa ila sijasikia mpaka leo wameishia wapi

Wa sangara
 
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,190
Points
2,000
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,190 2,000
Subira the princess

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Messages
856
Points
1,000
Subira the princess

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2018
856 1,000
Wasalaam, nauliza tu ili nipate elimu japo kidogo: je ni sahihi na uzalendo kwa vyama vya upinzani tanzania bara kufungua shitaka la kikatiba ktka mahakama kuu kanda ya dar es salaam kupinga sheria mpya ya vyama vya siasa 2018 ikiwa hili LA CAG bado halijapoa ni kaa la moto.

Ingekua vema wangevuta subira kusubiri suluhu ya huu mgogoro wa kikatiba kati mh spika na CAG. Maana inazusha taharuki, kesi za kikatiba zitakua nyingi tutachelewa maendeleo na Tanzania ya viwanda. Ova
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
18,050
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
18,050 2,000
Bora huko kwenye mahakama ya Afrika mashariki wangalau majaji wanajua wajibu wao. Hata serekali wasipotekeleza hukumu ya mahakama lakini nia ovu ya hiyo sheria itawekwa wazi, na dunia itafahamika kabisa kwamba serekali ya Tanzania haifuati sheria na mahakama za ndani zimeingiliwa na wanasiasa wa ccm. Kuanzia sasa kuonyesha kwamba hatuna imani na mahakama za ndani ni vyema kesi zote kufunguliwa kwenye mahakama zisizotii watawala bali zinazotoa haki.
 
Mystery

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Messages
11,389
Points
2,000
Mystery

Mystery

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2012
11,389 2,000
Safi sana.........

Naona mwisho wa udikteta umekaribia!

Kwa kuwa hizo mahakama za nje, Jiwe hawezi "kuziagiza" watoe hukumu anayotaka yeye
 
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
2,034
Points
2,000
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
2,034 2,000
Bora huko kwenye mahakama ya Afrika mashariki wangalau majaji wanajua wajibu wao. Hata serekali wasipotekeleza hukumu ya mahakama lakini nia ovu ya hiyo sheria itawekwa wazi, na dunia itafahamika kabisa kwamba serekali ya Tanzania haifuati sheria na mahakama za ndani zimeingiliwa na wanasiasa wa ccm. Kuanzia sasa kuonyesha kwamba hatuna imani na mahakama za ndani ni vyema kesi zote kufunguliwa kwenye mahakama zisizotii watawala bali zinazotoa haki.
Mda si mda, utasikia mswada mpya wa sheria ukipelekwa bungeni kwa njia ya dharura kuhusu taratibu za kufungua kesi Mahakama za nje. Itawekwa sheria itakayozuia utaratibu huo kabla ya kuzifikisha kesi hizo kwenye mahakama za ndani ya nchi - au njia au kitu kama hicho.

Tuvute subira tu.

Safari hii tuna uongozi uliopania kweli kweli kufanya wanalotaka wao bila kupingwa na yeyote. Hatuko mbali sana, nadhani baada ya 2020 hatutakuwa na nafasi ya kuhoji chochote tena.

Kwa mfano, Wabunge wa upinzani sasa hivi ni 'irrelevant', nuisance' ya namna fulani tu bungeni. Wanaweza wakapiga kelele wapendavyo, matokeo ya watakacho kukifanya kipo pale pale.

Ni ajabu ukiwaza jinsi huyu bwana alivyokuwa amejipanga tokea mwanzo. Utadhani yote haya alikuwa akiyapanga siku nyingi akisubiri tu kutekeleza. Mfano mzuri ni uteuzi wa yule binti kutaka kumfanya spika, na wakati huo huo bunge likiwekwa gizani wapinzani wasionekane au kusikika, na kuwafungia hadi huko mitaani kwao!

Here is a mind that is very active in devising ways of muzzling everybody, except its own. Baada ya hapa dalili zote zinaelekea kwenye Chama cha Kikomunisti cha China kama 'template' yetu. That will be the end of it, whether it works or not!

This guy is very determined, and I don't see what will stop him.
 

Forum statistics

Threads 1,284,196
Members 493,978
Posts 30,816,893
Top