Luhungu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 816
- 232
Watanzania tuachie Tanzania yetu. Wewe mkimbizi, fuatilia yanayo kuhusu huko kwenuAnayeshitakiwa ni Bunge(legislation) halafu unaona Executive inaweka mawakili 16 kutetea maamuzi ya hovyo yaliyofanywa na legislation. Pamoja na upupu wote huu unaona wenye nchi (watanzania) wametulia tuliiiiiiiiii na kujiona wako salama kbs. SIfahamu watanzania wanataka nini kifanyike ili wajue kwamba we have lost it-ile heshima yetu tuliyoijenga kwa miaka mingi imekuwa flashed just like that.