Mahakama Kuu yaridhia mbunge mteule wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu(CCM) kuapishwa. Maombi ya Lissu kupinga mambo kadhaa kutolewa uamuzi Sept 9

Ni mtazamo wako na hauondoi ukweli kuwa maamuzi ya Ndugai ni ya kitaasisi na ndio maana hashtakiwi Ndugai. Yanahojiwa maamuzi ya Spika. For a layman it's very difficult to comprehend.
Tuliza akili kidogo, hakuna aliyesema kashtakiwa Ndugai bali Spika kama ofisi.
Lakini yeye kama Ndugai ndio wakuitwa kama shahidi kutetea maamuzi aliyofanya kama Spika.
 

Naona Leo Mtoto hatumwi dukani, hata kama ni saa sita usiku, mahakama lazima itoe STOP NOTICE ya Miraji Mtaturu kusubiri kula kiapo....!!
 
Huko lazima walipe maana dawa ya deni ni kulipa tu wala siyo kujivisha uzareendo
Hata kama Lissu akinyanganywa haki yake.
Serikali itapata hasara kwa kulipa kule Afrika kusini
 
Mkuu inatia saana hasira, watu hawajitambui kabisaa, muda mwingine waweza kujiuliza kwani huwa wanalipwa kutetea upumbavu amaaa.

Wanakera sana hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…