Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, imefuta ombi la David Kafulila la kuingiza rufaa upya

mr mkiki

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
3,307
Likes
6,577
Points
280
mr mkiki

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
3,307 6,577 280
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tabora leo mbele ya Jaji David Mrango, imefuta ombi la David Kafulila la kuingiza rufaa yake upya,

Kafulila alitaka kuingiza rufaa yake upya ili apate fursa ya kuiingiza katika Mahakama ya Rufaa fomu za tume No 21B za kila kituo kwenye vituo vyote 382 kusomwa matokeo yake kubaini mshindi tofauti na ilivyokuwa katika ngazi ya Mahakama Kuu.

Hatua ya kufutwa rufaa hiyo inakuja baada ya Mahakama ya Rufaa tarehe 13 Oktoba mwaka huu mbele ya majaji Luanda Bernad, Mbarouk Salim na Mziray Richard kushindwa kuondoa rufaa hiyo na kuelekeza kuwa, rufaa hiyo inaweza kurejeshwa baada ya marekebisho.

Katika ombi hilo, Kafulila alitaka mahakama kuu kwa mujibu wa sheria imruhusu aingize rufaa hiyo upya kwa kuwa ni haki ya kisheria.

Hata hivyo Jaji Mrango katika uamuzi wake amesema kwamba, maombi ya Kafulila yamekosa hoja za msingi kuishawishi mahakama kuu kuruhusu rufaa hiyo kuingizaa upya kama alivyoomba.

Kwa upande wake Kafulila ameeleza kutoridhika na uamuzi huo kwa hoja kwamba, sababu za kuingiza rufaa hiyo upya zipo wazi kuwa, rufaa ya awali ilitupwa kabla ya kusikilizwa, hivyo sababu za kutaka rufaa hiyo ingizwe upya ni ili rufaa iweze kupata kusikilizwa na kuamuliwa.

“Nasikitishwa na vigingi hivi kwa hoja kwamba kesi hii inahusu nani aliyepata kura nyingi na tume imeleta fomu mahakamani na zinaonesha aliyetangazwa sio aliyeshinda lakini bado mahakama haioni sababu ya kutoa haki hiyo,” amesema Kafulila.

Kafulila amesema anatafakari na wakili wake kisha atamua ndani ya siku chache.
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,049
Likes
17,519
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,049 17,519 280
Mbomna atashinda tu, haki inacheleweshwa tu lakini itafika tu. MUNGU ni wetu sote hakuna MUNGU wa akina fulani
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
11,086
Likes
9,407
Points
280
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
11,086 9,407 280
Huyu kafulila aende kulima,kwani kazi ni ubunge tu? aje mtaani akina Yeriko watamfundisha kulima bamia.
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,242
Likes
55,096
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,242 55,096 280
Aisee kweli katiba imewekwa pembeni nchi inanyooshwa
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
16,856
Likes
24,212
Points
280
Age
22
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
16,856 24,212 280
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tabora leo mbele ya Jaji David Mrango, imefuta ombi la David Kafulila la kuingiza rufaa yake upya,

Kafulila alitaka kuingiza rufaa yake upya ili apate fursa ya kuiingiza katika Mahakama ya Rufaa fomu za tume No 21B za kila kituo kwenye vituo vyote 382 kusomwa matokeo yake kubaini mshindi tofauti na ilivyokuwa katika ngazi ya Mahakama Kuu.

Hatua ya kufutwa rufaa hiyo inakuja baada ya Mahakama ya Rufaa tarehe 13 Oktoba mwaka huu mbele ya majaji Luanda Bernad, Mbarouk Salim na Mziray Richard kushindwa kuondoa rufaa hiyo na kuelekeza kuwa, rufaa hiyo inaweza kurejeshwa baada ya marekebisho.

Katika ombi hilo, Kafulila alitaka mahakama kuu kwa mujibu wa sheria imruhusu aingize rufaa hiyo upya kwa kuwa ni haki ya kisheria.

Hata hivyo Jaji Mrango katika uamuzi wake amesema kwamba, maombi ya Kafulila yamekosa hoja za msingi kuishawishi mahakama kuu kuruhusu rufaa hiyo kuingizaa upya kama alivyoomba.

Kwa upande wake Kafulila ameeleza kutoridhika na uamuzi huo kwa hoja kwamba, sababu za kuingiza rufaa hiyo upya zipo wazi kuwa, rufaa ya awali ilitupwa kabla ya kusikilizwa, hivyo sababu za kutaka rufaa hiyo ingizwe upya ni ili rufaa iweze kupata kusikilizwa na kuamuliwa.

“Nasikitishwa na vigingi hivi kwa hoja kwamba kesi hii inahusu nani aliyepata kura nyingi na tume imeleta fomu mahakamani na zinaonesha aliyetangazwa sio aliyeshinda lakini bado mahakama haioni sababu ya kutoa haki hiyo,” amesema Kafulila.

Kafulila amesema anatafakari na wakili wake kisha atamua ndani ya siku chache.
Huyo Jaji alichaguliwa kipindi gani? Ngoja ni google nione kesi alizoamua
 
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,126
Likes
5,232
Points
280
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,126 5,232 280
Kafulila Kubali Yaishe...
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
12,668
Likes
11,295
Points
280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
12,668 11,295 280
Akajiajiri tu au asubiri mpaka 2020
 
shibobo

shibobo

Senior Member
Joined
May 30, 2015
Messages
176
Likes
55
Points
45
shibobo

shibobo

Senior Member
Joined May 30, 2015
176 55 45
Kwani ana miaka mingap huyu bwana mdogo,ubunge kafanya ni ndoa,anatuchosha si akawajbke na majukumu mengne uchaguz ksho kutwa tu.
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,069
Likes
18,430
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,069 18,430 280
Nafikiri ushindi upo dhahiri kwa Kafulila..
Ila vizingiti vimekuwa vingi kwake
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Nashauri Kafulila aachane na hii kesi inampotezea muda bure
 
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
7,378
Likes
5,128
Points
280
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
7,378 5,128 280
Si ajiajiri kama ambavyo wamekua wakiwashauri watoto wa maskini?
 
Forum statistics

Threads 1,272,320
Members 489,918
Posts 30,447,331