Mahabusu wa UDSM kama Lema...

Mahabusu wa UDSM kama Lema...

Wale wanafunzi takribani 44 waliokuwa mahabusu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana walipokewa kishujaa na umati wa wanafunzi wenzao waliporejea Chuoni hapo.

Wanafunzi hao ambao walipewa dhamana kutokana na shinikizo la wanafunzi waliofanya maandamano jana na juzi chuoni hapo,wanatarajia kuandaliwa mkutano katika viwanja vya kimapinduzi chuoni hapo maarufu kama 'Revolutionary Square'.

Wanafunzi hao wanaitwa mashujaa wa Mlimani.Ni wazi kuwa Serikali imenywea kwa wanafunzi.Je,dhamana ya wanafunzi hao ndio mwisho wa madai ya wanafunzi wa UDSM?

tenaaaaaaaaaa ukomeeeeeeeeeeeee
kuwafananisha na lema kama wanautaka ulema si wangegoma kutoka na dhamana
waendelee kukaa ndani mpaka muswada wa katiba kieleweke
 
ufananisho wangu upo kwenye mapokezi waliyoyapata Ndugu...si vingine
tenaaaaaaaaaa ukomeeeeeeeeeeeee
kuwafananisha na lema kama wanautaka ulema si wangegoma kutoka na dhamana
waendelee kukaa ndani mpaka muswada wa katiba kieleweke
 
Hatulali hadi kieleweke.Kinachofuata ni kufutwa kesi zote dhidi ya wanafunzi na kupewa mikopo.Aluta Continua.....
 
ufananisho wangu upo kwenye mapokezi waliyoyapata ndugu...si vingine

alshabab atugomban mpwa nilikuwa nakutania na wewe ujipange jinsi ya kuzitumia ak47 miezi kadhaa ijayo kuiondoa ccm madarakani
 
Mbona mkono wa kulia nahisi uko nyuma ya mkulu unafanya nin huko
 
nimeshajifunza tayari.sasahivi mambo kwa mtandao
alshabab atugomban mpwa nilikuwa nakutania na wewe ujipange jinsi ya kuzitumia ak47 miezi kadhaa ijayo kuiondoa ccm madarakani
 
Back
Top Bottom