VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Wale wanafunzi takribani 44 waliokuwa mahabusu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana walipokewa kishujaa na umati wa wanafunzi wenzao waliporejea Chuoni hapo.
Wanafunzi hao ambao walipewa dhamana kutokana na shinikizo la wanafunzi waliofanya maandamano jana na juzi chuoni hapo,wanatarajia kuandaliwa mkutano katika viwanja vya kimapinduzi chuoni hapo maarufu kama 'Revolutionary Square'.
Wanafunzi hao wanaitwa mashujaa wa Mlimani.Ni wazi kuwa Serikali imenywea kwa wanafunzi.Je,dhamana ya wanafunzi hao ndio mwisho wa madai ya wanafunzi wa UDSM?