Mahaba ntese

Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,084
4,351
We miss neddy
Utamuua mtoto wa mwenzio..khaa!!
 

Attachments

  • 1409581045050.jpg
    1409581045050.jpg
    13.8 KB · Views: 2,053
Last edited by a moderator:
Khaaaa! haya maisha ya mtindo huu unaweza jikuta siku nyingine unageuzwa gari...
 
Full kudeka, wazee wazima mpaka pressure zinapanda kwa sababu ya hivi vitoto
 
Wapo ulimwengu mwingine tofauti na sisi, hapo hata simba anaweza akauliwa na jamaa halafu jamaa ukimuambia uliwezaje kumuua simba, jamaa akawa haelewi alipataje ujasiri wa kukabiliana na simba
 
Kudadeki kwangu ndo uniletee mambo haya aisee.......!!!!!
 
Si unajua tena, sio kila siku mzee anacheza premier league tu anashiriki hata makombe mengine madogomadogo ila suluba yake ndo kama hivo!

Poleni aseee mnavojitutumuaga mtakufya siku si zenu haha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom