Kama hataki chepuka !!!
Vitoto vya sku izi usipovifanyia ivo eti huna upendo.
Akuu nikose kubebwa
Haha umeona mbali
Sijamuona mbebaji hapo!!!!!
Kaka yako ananibebaga
Ndo mahaba jamani.Niruhusu basi na mie siku moja nikukalie hivyo.....lol
Hehehe utanivunja kiuno.
Mmmhh siku mojamoja jamani siyo mbaya