utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
yes afu nikikwambia honey nataka hela ya supu unanipa ya kutosha ng'ombe mzima lol
Ukiniomba 100,000 nakupa 200,000, hayo ndio mapenzi dear hale yangu wewe ndio unatumia
yes afu nikikwambia honey nataka hela ya supu unanipa ya kutosha ng'ombe mzima lol
Ukiniomba 100,000 nakupa 200,000, hayo ndio mapenzi dear hale yangu wewe ndio unatumia
Kwanza leo ni weekend ndo imeanza na huu ni ujumbe mfupi.
Wana MMU wote katika ujumbe wangu mfupi ambao tunatakiwa tuutafakari kwa kina hasa kati ya mapenzi ya kweli na pesa, mimi naamin hakuna mapenzi pasipo pesa toka dunia imeumbwa au ninyi mnasemaje?
Mimi naamini hakuna mapenzi bila kukutanisha vikojoleo...
Hakuna mapenzi kwenye pesa kuna kupenda pesa.
eeh! eeh! mi bado sanaa, hata sihitaji kuiga huo mfano.!
utaishia kuitaga shemeji shaurilo
Wewe mbona napendwaga na huu ubahili wangu...!
teampicha nione kama kafika viwango lol
eeh! eeh! mi bado sanaa, hata sihitaji kuiga huo mfano.!
Hahahaaaa itabidi na sisi tufanye yetu watuige