Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
Kwa hiyo utakesha unagegedwa bila kula... Hizi theory zenu hizooo...
kwahiyo unasapoti no pesa no love???
Kwa hiyo utakesha unagegedwa bila kula... Hizi theory zenu hizooo...
ukweli cjawahi kua na Dem aliechoka sana kiuchumi au asiejishughulisha
kauli yako inarudi kulekule kwenye umuhim wa pesa katika mapenzi kwani kama ni mbolea ina maana bila pesa mapenzi hayatoshamiri wala kukua vyema
kweli kabisa Arovera ...
Basi ww huna mapenzi unachagua mtu mwenye uwezo tu....mtu kuwa na pesa ya kiasi gani labda cz kama mtu anaweza kuishi kila siku anaweza kula na kulala ndio maana ya kuwa na pesa basi tunatofautiana mtazamo...mm mtu akisema ana pesa najua ni yule ambae anaweza kufanya hadi anasa na bado ziwepo hizo pesa.
bila pesa penzi linaweza kustawi inategema na mazingira waliyopo hao wapendanao
tusijidanganye hakuna mapenzi bila pesa hili halikwepeki
elewa pesa au awe anajishughulisha sio uwezo wa kula tu excess iwepo
tusijidanganye hakuna mapenzi bila pesa hili halikwepeki
huo ndo ukweli sema wengi wasioelewa watapinga hili
Kwa hiyo utakesha unagegedwa bila kula... Hizi theory zenu hizooo...
ndo maana nikasema hakuna mapenzi ya dhati bila pesa hata siku moja
Sisapoti, lakini ni hali halisikwahiyo unasapoti no pesa no love???
Pesa inaongeza ladha kwenye penzi, sio kama ikikosekana na mapenzi yanaisha, NO ila ikiwepo ndio mapenzi unafeel zaidi
Kwa hiyo unataka kusema kuwa, ukiwa na hela kumzidi Rais wa nchi, mke wake una mgegeda kirahiiiiiiiiiiiisi!
Pesa kiukweli ina umuhimu wake katika kunogesha penzi
ukisema pesa how much are u talking about!!!!!!!!!!!!