Mahaba na Mahabati usiwaue walee..

Mahaba na Mahabati usiwaue walee..

tafakari kwa kina kwa hiyo bila pesa hakuna mapenzi bora au sio?

Yapo tena sna tu, ila pesa ikiwa ipo kuna ladha flani inaongezeka, lakini sio pesa isababishe mapenzi ni hatari
 
Excess kama ya kwenda likizo malaysia au excess ya kiasi gan....unaposema mtu mwny pesa ni wa kuingiza kiasi gan kwa mwaka?

yawezekana kweli tunawaza tofauti ukute wewe unawaza milion ishirini hadi thelathin wakati mimi siwazi hko kiwango au wewe unawaza bei gani? Tuanzie hapo
 
Yapo tena sna tu, ila pesa ikiwa ipo kuna ladha flani inaongezeka, lakini sio pesa isababishe mapenzi ni hatari

Dunia ya leo mapenzi bila pesa itakua migogoro kila siku kwani shida mbalimbali mtashindwa kuzitatua na kubaki kulaumiana tu
 
Kwanza leo ni weekend ndo imeanza na huu ni ujumbe mfupi.

Wana MMU wote katika ujumbe wangu mfupi ambao tunatakiwa tuutafakari kwa kina hasa kati ya mapenzi ya kweli na pesa, mimi naamin hakuna mapenzi pasipo pesa toka dunia imeumbwa au ninyi mnasemaje?

Mkuu, tafakari yako ni sahihi kabisa...siku hizi mapenzi bila noti ni bure..ni sawa na chai isiyokuwa na sukari. Kumbuka kwamba mkono mtupu haulambwi. Pesa ndiyo kila kitu ndugu yangu. Mapenzi kama ya hawa wawili wewe unadhani yamewezekana kwa sababu ya nini kama sio PESA?
mengi+wife.jpg
 
Pesa huita wazuri,wakaitika labeka,
Wakenda bila hiyari, mahali wasipotaka,
Hawapati kughairi,kwa tamaa kuwashika,
Mapenzi bila pesa, ni chai bila sukari.

Hata bila mashairi, pesa imetukuka,
Kama unataka shari, kweupe utaumbuka,
Pesa iliyo tayari, wapenzi hukukumbuka,
Mapenzi bila pesa, ni chai bila sukari.
 
Pesa huita wazuri,wakaitika labeka,
Hawapati kughairi,kwa tamaa kuwashika,
Hata bila mashairi, pesa imetukuka,
Mapenzi bila pesa, ni chai bila asali.

asante mkuu kwa ujumbe murua na mifano kedekede isiyo na kifani
 
Mkuu, tafakari yako ni sahihi kabisa...siku hizi mapenzi bila noti ni bure..ni sawa na chai isiyokuwa na sukari. Kumbuka kwamba mkono mtupu haulambwi. Pesa ndiyo kila kitu ndugu yangu. Mapenzi kama ya hawa wawili wewe unadhani yamewezekana kwa sababu ya nini kama sio PESA?
View attachment 164688

mapenzi haya sasa! Angekua huyo mzee yupo Same anachimba visima angempata huyo mtoto?
 
Mkuu, mapenzi ya siku hizi yanajengwa juu ya msingi wa noti....noti zikipukutika na mapenzi yamekwisha. Chezea pesa wewe!
 
Mkuu, tafakari yako ni sahihi kabisa...siku hizi mapenzi bila noti ni bure..ni sawa na chai isiyokuwa na sukari. Kumbuka kwamba mkono mtupu haulambwi. Pesa ndiyo kila kitu ndugu yangu. Mapenzi kama ya hawa wawili wewe unadhani yamewezekana kwa sababu ya nini kama sio PESA?
View attachment 164688
Saluti zote
 
Mimi naamini hakuna mapenzi bila kukutanisha vikojoleo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom