mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea.
Na kila moja ina matumizi yake.
Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana kitu substance cha kuchangia.
Halafu wanazo nyingine ambazo wanazitumia kutokana na mazingira pamoja na aina ya mchango wanaotaka kutoa.
"Magwiji" bwana!