Magufuli wapi 50millons kila kijiji?

47pro

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
1,204
332
Rais wangu, Lakin si ulisema kuna mtonyo wa 50millions kila kijiji?
Sasa vepeee? Mbona buyu mpaka leo?

Kama vipi anza hata kwa awamu, awamu, yaani Toa kwa vijiji kadhaa hata vingine vingojee.

Tupeni Hizo 50millions watu tufanye yetu maana, tushechoka siye, majipu yanatumbuliwa lakini huku mtaani hali iko pale pale, tena bora mkwere.
 
Ahadi alizotoa ni utekelezaji wa Miaka mitano, laa takhaf Sheikh! Ahadi zote zitatekelezwa!
 
Mapema mno kuzidai tusubiri bajeti mpya lakini pia tujue kwamba kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti.
 
Rais wangu, Lakin si ulisema kuna mtonyo wa 50millions kila kijiji?
Sasa vepeee? Mbona buyu mpaka leo?

Kama vipi anza hata kwa awamu, awamu, yaani Toa kwa vijiji kadhaa hata vingine vingojee.

Tupeni Hizo 50millions watu tufanye yetu maana, tushechoka siye, majipu yanatumbuliwa lakini huku mtaani hali iko pale pale, tena bora mkwere.
Walisema pesa zinatoka baada ya bajeti ya mwaka huu kupitishwa.
 
Rais wangu, Lakin si ulisema kuna mtonyo wa 50millions kila kijiji?
Sasa vepeee? Mbona buyu mpaka leo?

Kama vipi anza hata kwa awamu, awamu, yaani Toa kwa vijiji kadhaa hata vingine vingojee.

Tupeni Hizo 50millions watu tufanye yetu maana, tushechoka siye, majipu yanatumbuliwa lakini huku mtaani hali iko pale pale, tena bora mkwere.
Unaishi nchi gani?
Instalment ya hizo imekwisha anza kwa mikoa kumi ya mwanzo. Piga simu singida kwa mkuu wa mkoa upate maelezo ya kina kuhusu pesa hizo.
 
Niko tu huku +254, Huu uzi ni wa Fatuma kaniambia nimsaidie kupost huku maana yeye bundle limekata.

Singinda hata napajua mkuu?
 
hiyo milioni 50 kwa namna fulani ni rushwa. matumizi ya hovyo ya mapato yatokanayo na kodi.
 
Rais wangu, Lakin si ulisema kuna mtonyo wa 50millions kila kijiji?
Sasa vepeee? Mbona buyu mpaka leo?

Kama vipi anza hata kwa awamu, awamu, yaani Toa kwa vijiji kadhaa hata vingine vingojee.

Tupeni Hizo 50millions watu tufanye yetu maana, tushechoka siye, majipu yanatumbuliwa lakini huku mtaani hali iko pale pale, tena bora mkwere.
Kijiji chenu kina mradi gani unaohitaji kiasi hicho cha pesa (Tzs. 50,000,000.00)?
 
Unaishi nchi gani?
Instalment ya hizo imekwisha anza kwa mikoa kumi ya mwanzo. Piga simu singida kwa mkuu wa mkoa upate maelezo ya kina kuhusu pesa hizo.
mbona walisema zitaanza kugawiwa baada ya bajeti kupita, hizo taarifa wewe umezitoa chanzo gani?
 
mkuu mbona hauandiki na kile kiswahili chako cha kikenya tena?
Hahaha... Mkuu niko arusha, ndo navunga uhamiaji wasije ninyaka.

Nkirudi kesho, utaona mziki wake cos ntakua safe zone
 
Back
Top Bottom