gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,307
- 3,335
Haya ni maneno ya mh Magufuli akiwaasa watanzania wafanye kazi kwa badii ili kuweza kujipatia kipato.
Maneno haya ameyatoa alipohudhururia mualiko maalumu kutoka kwa muft mkuu wa dini ya kiislam Tanzania kwenye baraza la la sikuku ya Eid.
Hizi ni salamu kwa wale wote wanaolalamika kwamba sasa wameshaanza kuzisoma namba watambue zile pesa za konakona kwa sasa hakuna ni wakati wa kupata pesa halali.