Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Elimu za kuunga unga... Kaka watu bado wanangoja uteuzi... Akomae tu soon Magu ataanza kuteua ma Head master wa secondary school.ANADAENI? Sasa tunaanza kuwaona elimu yenu
Elimu za kuunga unga... Kaka watu bado wanangoja uteuzi... Akomae tu soon Magu ataanza kuteua ma Head master wa secondary school.ANADAENI? Sasa tunaanza kuwaona elimu yenu
Duuuu, kuna habari chini ya kapeti kuwa sasa ni zamu ya watendaji wa vijijiElimu za kuunga unga... Kaka watu bado wanangoja uteuzi... Akomae tu soon Magu ataanza kuteua ma Head master wa secondary school.
Mwisho wa siku ana tuumiza wote mkuu, bidhaa bei juu halafu pesa hakuna, Biashara zikiwa mbaya watu wanafunga pia wafanyakazi wanakosa ajira, njaa nyumbani, uhalifu utaongezeka nk pamoja na chuki dhidi ya wanasiasa.Mimi naona kama anafurahia hivi... Anaonekana kama kuna watu ana kisasi nao anataka kuwakomesha.
Kweli mkuu kila sehem kumetight VAT 18% kila kona imepelekea kupandisha bei ya mahitaji na mzunguko wa pesa kuwa mdogo
Sasa haya yote yanavyotokea yeye anasema ni wale waliokuwa wamezoea kupata pesa kiujanja ujanja. Sick!Mwisho wa siku ana tuumiza wote mkuu, bidhaa bei juu halafu pesa hakuna, Biashara zikiwa mbaya watu wanafunga pia wafanyakazi wanakosa ajira, njaa nyumbani, uhalifu utaongezeka nk pamoja na chuki dhidi ya wanasiasa.
Kweli Mungu katupatia Rais wa aina hii? Dah!! Maana yake ki ukweli rais hajui hali halisi ya huku mtaani? Inabidi tujihurumie sana... Kampuni nyingi zinafunga zina quit Tanzania market. Rais anachekelea.. Au ndio ushetani aliokuwa anautaka? Daah!!!
Kweli watu watamuombea ? Au wateuliwa kina pole pole ndio watamuombea tu wenyewe..
Hata bandarini kuna uwezekano wakapunguza wafanyakazi maana hakuna kazi ya kufanyaBiashara zimekuwa ngumu kuna icd za magari hapa dar zimeshapunguza wafanyakazi kwani magari hayaendi wanapokea meli moja kwa mwezi.
Tulivyo kuwa tunashangilia kupewa tshirts na kofia tulijiona ndio mwisho wa matatizoLazima wote tuishi kama mashetani,
Mana hata ambao hawakuwahi kupata fedha kiujanja ujanja nao wanalalamika pesa haipo
Huko bado Intelejensia ya serikali bado haijaligundua hilo kwahiyo muendelee kuvumilia maisha mapyaMwisho wa siku ana tuumiza wote mkuu, bidhaa bei juu halafu pesa hakuna, Biashara zikiwa mbaya watu wanafunga pia wafanyakazi wanakosa ajira, njaa nyumbani, uhalifu utaongezeka nk pamoja na chuki dhidi ya wanasiasa.
Bado kuna watu wanachukulia mzaha.Hata babdarini kuna uwezekano wakapunguza wafanyakazi maana hakuna kazi ya kufanya
Kitu cha kwanza hatakiwi aiminye demokrasia.. Maendeleo ni mvutano na mgongano wa mawazo.. Wewe unatoa wazo hili wenzako wanalipinga wanakuja na njia hii mnakaa chini mnaboresha.. Ila ukijifanya dikteta au hutaki ushauri ndio mwisho wa siku mambo yote yanaenda mrama.. Mifano ipo mingi .. Sihitaji kui toa hapa!Sasa mnataka maendeleo mnadhani maendeleo yanakujae. au mnasubiri hela zainguke toka angani? Jaribuni kufikiria na msome toka nchi zilizo endelea zilipataje maendelo. Kama mtu ana maoni ya maendeleo amabyo ni bora zaidi ya hayo ya Magufuli atoe badala ya kulalamika tu.
Mkuu hakuna anayekwepa kulipa kodi point hapa ni mzunguko wa fedha.
mf. Kwenye mshahara huwezi kukwepa kodi, na baadhi ya sehem zingine serikali mdo ilikua haihimizi/haikusanyi kodi
Kuna usemi unasema kuwa mwafrika hakubali mpaka aguseBado kuna watu wanachukulia mzaha.