Magufuli: Wafuasi wa CHADEMA mlango wazi kujiunga CCM, baada ya October hakuna fursa

Mlango wa rehema utafungwa October
Ole wako utakaekuwa nje

Najua lowasa hataichezea nafas hii ya upendeleo

Umeshakimbia kwenye uzi wa wizi wa twiga uloanzisha mwenyewe urudi kule kujibu tuhuma watu wanasema hata hao twiga wngekua wekundu wanahaki ya kuhoji juu ya twiga wao urudi kule kujibu tuhuma
 
Magufuli siasa zake zinaongozwa na chuki na visasi,hapa kama bahati mbaya akashinda kuna watu watamkoma.hata wakurugenzi watakaogoma kumbeba wataonyeshwa
 
Mgombea wa urais Dr Magufi amewataka wale wote walio na nia njema ya taifa hili watoke huko walipo na wajiunge na chama cha Ukombozi CCM ili kuendeleza harakati za maendeleo,wakati ni sasa kujiunga na CCM,baada ya october nafasi hiyo itafungwa.


Waje mapema tusherekee ushindi wa Magufuri pamoja October 25
 
Kwa nini iwe kipindi hiki cha uchaguzi tu na baada ya hapo dirisha lifungwe? Kma sio uzandiki!!!
 
Mi huwa si Mwelewi huyo jamaa badala ya kunadi Sera zake kila anapopita anaanza kuzungumzi wapinzani wake daah .

Kama huyo mtu atapita hakyanani sijui itakuwaje maana blah blah zimezidi khaaa!!!
 
yuko sahihi maana baada ya october 25 ccm itafutika kabisa mataifuta na haitaonekana
 
Back
Top Bottom