Nakumbuka wakati wa shamra shamra za Kampeni Lowasa alisema tukimchagua ndani ya miezi 3 foleni itakuwa Historia jijini kwetu Dar, sasa najiuliza angefanyaje?
Ukija kwa raisi Magufuli ndani ya miezi mitatu tayari foleni inaanza kuwa historia baada ya kuchukuwa fedha za sherehe ya Uhuru na kuziweka kwenye barabara leo hii kipande cha Mwenge -Moroko karibia kinaisha, sasa najiuliza fisadi Lowasa angeondoaje foleni ndani ya miezi 3 kwa maana siamini kama angeweza kuahirisha kuuza sura uwanja wa Taifa na gwaride kubwa pmj na wageni wa Kimataifa kuadhimisha siku ya uhuru na bdala yake kuwekeza hizo kwenye maendelo yetu!
Hivyo Watanzania walijua na Mungu aliwaotesha kwa kuamua kumchagua raisi Magufuli leo hii tunafurahia tu kila siku iendayo kwa Mungu, Mradi wa Kinyerezi uliokuwa umekwamishwa na ukosefu wa fedha tayari mkwanja umepatikana na hivyo umeshaanza, na kuna Kinyerezi I pia karibia inaanza fedha zitaletwa kasema Raisi Magufuli, Super Highway Ubungo-Chalinze karibuni unaanza hayo yote ndani ya miezi 3, dadadeki sasa niambie fisadi Lowasa angeiweza hii kasi??![/QUOTE?unapoandika huu utumbo umemkalia popo bawa??
Qengeh mwenye jinsia mbili ww!
Tena siku nyingine usirudie kumfananisha Lowasa na maswala yasio na msingiNakumbuka wakati wa shamra shamra za Kampeni Lowasa alisema tukimchagua ndani ya miezi 3 foleni itakuwa Historia jijini kwetu Dar, sasa najiuliza angefanyaje?
Ukija kwa raisi Magufuli ndani ya miezi mitatu tayari foleni inaanza kuwa historia baada ya kuchukuwa fedha za sherehe ya Uhuru na kuziweka kwenye barabara leo hii kipande cha Mwenge -Moroko karibia kinaisha, sasa najiuliza fisadi Lowasa angeondoaje foleni ndani ya miezi 3 kwa maana siamini kama angeweza kuahirisha kuuza sura uwanja wa Taifa na gwaride kubwa pmj na wageni wa Kimataifa kuadhimisha siku ya Uhuru na badala yake kuwekeza hizo kwenye maendeleo yetu!
Hivyo Watanzania walijua na Mungu aliwaotesha kwa kuamua kumchagua raisi Magufuli leo hii tunafurahia tu kila siku iendayo kwa Mungu, Mradi wa Kinyerezi uliokuwa umekwamishwa na ukosefu wa fedha tayari mkwanja umepatikana na hivyo umeshaanza, na kuna Kinyerezi I pia karibia inaanza fedha zitaletwa kasema Raisi Magufuli, Super Highway Ubungo-Chalinze karibuni unaanza hayo yote ndani ya miezi 3, dadadeki sasa niambie fisadi Lowasa angeiweza hii kasi??!
Mkuu alijua kuwa hatapita ndo maana alikuwa anaahidi yasitekelezeka. Mara eti mwenye pkpkt2 atakuwa na pkpk 20Nakumbuka wakati wa shamra shamra za Kampeni Lowasa alisema tukimchagua ndani ya miezi 3 foleni itakuwa Historia jijini kwetu Dar, sasa najiuliza angefanyaje?
Ukija kwa raisi Magufuli ndani ya miezi mitatu tayari foleni inaanza kuwa historia baada ya kuchukuwa fedha za sherehe ya Uhuru na kuziweka kwenye barabara leo hii kipande cha Mwenge -Moroko karibia kinaisha, sasa najiuliza fisadi Lowasa angeondoaje foleni ndani ya miezi 3 kwa maana siamini kama angeweza kuahirisha kuuza sura uwanja wa Taifa na gwaride kubwa pmj na wageni wa Kimataifa kuadhimisha siku ya Uhuru na badala yake kuwekeza hizo kwenye maendeleo yetu!
Hivyo Watanzania walijua na Mungu aliwaotesha kwa kuamua kumchagua raisi Magufuli leo hii tunafurahia tu kila siku iendayo kwa Mungu, Mradi wa Kinyerezi uliokuwa umekwamishwa na ukosefu wa fedha tayari mkwanja umepatikana na hivyo umeshaanza, na kuna Kinyerezi I pia karibia inaanza fedha zitaletwa kasema Raisi Magufuli, Super Highway Ubungo-Chalinze karibuni unaanza hayo yote ndani ya miezi 3, dadadeki sasa niambie fisadi Lowasa angeiweza hii kasi??!
Wewe umekurupuka toka chooni unakuja na hoja ya kutumwa bila wewe kuitafakari. Ebu mpeni Lowasa hiyo miezi mitatu muone tofauti yake?
Uchaguzi alishashinda akatangazwa mwingine. Tulia hata mapenzi ya shetani yanatimia ndiyo maana kuna peponi na aheraTumpeee???! Kwani lipi hasa? Si ashinde uchaguzi, apewe yeye ni nani?
Lumumba cant Pay you for this.Nakumbuka wakati wa shamra shamra za Kampeni Lowasa alisema tukimchagua ndani ya miezi 3 foleni itakuwa Historia jijini kwetu Dar, sasa najiuliza angefanyaje?
Ukija kwa raisi Magufuli ndani ya miezi mitatu tayari foleni inaanza kuwa historia baada ya kuchukuwa fedha za sherehe ya Uhuru na kuziweka kwenye barabara leo hii kipande cha Mwenge -Moroko karibia kinaisha, sasa najiuliza fisadi Lowasa angeondoaje foleni ndani ya miezi 3 kwa maana siamini kama angeweza kuahirisha kuuza sura uwanja wa Taifa na gwaride kubwa pmj na wageni wa Kimataifa kuadhimisha siku ya Uhuru na badala yake kuwekeza hizo kwenye maendeleo yetu!
Hivyo Watanzania walijua na Mungu aliwaotesha kwa kuamua kumchagua raisi Magufuli leo hii tunafurahia tu kila siku iendayo kwa Mungu, Mradi wa Kinyerezi uliokuwa umekwamishwa na ukosefu wa fedha tayari mkwanja umepatikana na hivyo umeshaanza, na kuna Kinyerezi I pia karibia inaanza fedha zitaletwa kasema Raisi Magufuli, Super Highway Ubungo-Chalinze karibuni unaanza hayo yote ndani ya miezi 3, dadadeki sasa niambie fisadi Lowasa angeiweza hii kasi??!
Kazoea kupewa kama walivyokuwa wanapeana kwenye ufisadi na kufisadi mali za nchi yetu.Tumpeee???! Kwani lipi hasa? Si ashinde uchaguzi, apewe yeye ni nani?
Wewe Acha uongo. Mke wangu tangu saa moja yupo kwenye foleni ya tazara mpaka sasa hajafika bananaNakumbuka wakati wa shamra shamra za Kampeni Lowasa alisema tukimchagua ndani ya miezi 3 foleni itakuwa Historia jijini kwetu Dar, sasa najiuliza angefanyaje?