Magufuli Vs. Lowassa, nani zaidi katika Utekelezaji?

Magufuli Vs. Lowassa, nani zaidi katika Utekelezaji?

hawa ndio viongozi wakuu wa kisiasa nchini.

hivi sasa ni miezi saba tangu magufuli achukue kiti, lakini baada ya miezi saba Lowasa kajitokeza, wengi waliamini labda alikuwa ameisha kabisa.

sasa kwa utendaji wa magufuli kwa miezi saba unazani Lowasa ni tishio zaidi ya 2015?

je unaonaje?
 
Hamtaki timu iingie uwanjani.halafu mnataka kuona uchezaji wao.watachezea uvunguni?

unawezaje kumlinganisha mh rais JPM na EL???? acha hizo wewe!!! they are two things incomparable!!!! ona hili: ni marafiki zangu tu ndo wanaotumbuliwa!!! nitakopa mkopo Wa gesi ili elimu iwe bure!!! swala LA ufisadi gumu sana( mahojiano bbc)
 
hawa ndio viongozi wakuu wa kisiasa nchini.

hivi sasa ni miezi saba tangu magufuli achukue kiti, lakini baada ya miezi saba Lowasa kajitokeza, wengi waliamini labda alikuwa ameisha kabisa.

sasa kwa utendaji wa magufuli kwa miezi saba unazani Lowasa ni tishio zaidi ya 2015?

je unaonaje?

Lowasa anamtisha nani? Wanaomtegemea wasubiri mahakama ya mafisadi ianze kazi.
 
Utekelezaji wa ahadi ndio jambo la msingi, EL kuwa au kutokuwa na nguvu haisaidii unafuu wa maisha ya mtanzania. Kampeni ziliisha, walio madarakani watekeleze waliyoahidi kwani kodi zote wanachukua, hadi baadhi zilizokuwa zinachukuliwa na halmashauri za majiji. Wananchi wanataka VIWANDA na sio wito kwa wawekezaji kuleta viwanda. Wananchi wanahitaji maisha bora, unafuu wa bei za bidhaa za muhimu, ajira na huduma BORA za elimu, maji na afya. Wananchi hawahitaji kujua nani ana nguvu kuliko nani, haisaidii lolote
 
hawa ndio viongozi wakuu wa kisiasa nchini.

hivi sasa ni miezi saba tangu magufuli achukue kiti, lakini baada ya miezi saba Lowasa kajitokeza, wengi waliamini labda alikuwa ameisha kabisa.

sasa kwa utendaji wa magufuli kwa miezi saba unazani Lowasa ni tishio zaidi ya 2015?

je unaonaje?

Kuna watu wanafaiti kuhakikisha fisadi Lowasa anabakia relevant, kumbe watu wala hawana mpango naye!
 
Sikupiga kura lakini kama ningepiga basi kwa vyovyote ningempigia Lowassa, si kwamba ni bora kuliko JPM lakini at least angeleta mabadiliko ya chama tofauti na CCM. Hii nchi inataka hata mbuzi atawale ili mradi tu asiwe toka CCM maana chimbuko la maasi, mabaya, dhulma, unyanyasaji, ubepari, dhiki na yote yaliyo mabaya ni CCM. Japo baba J.E.S.C.A ni mzee wa kukurupuka lakini inapaswa apewe uenyekiti wa chama haraka ili akiulie mbali na hapo tutaona mabadiliko ya kweli Tanzania.
 
May be yes, may be no. Both are still strong. The difference is that one has direct access to the pubic while the other does not have. Let us wait because "The truth is just ahead" (but don't ask me about the remaining distance to reach that truth).
 
hawa ndio viongozi wakuu wa kisiasa nchini.

hivi sasa ni miezi saba tangu magufuli achukue kiti, lakini baada ya miezi saba Lowasa kajitokeza, wengi waliamini labda alikuwa ameisha kabisa.

sasa kwa utendaji wa magufuli kwa miezi saba unazani Lowasa ni tishio zaidi ya 2015?

je unaonaje?

MMoja alitoa sana misaada makanisani na misikitini kabla ya uchaguzi

mmoja hakutoa hata senti tano kama msaada popote pale
 
Back
Top Bottom