Magufuli Vs. Lowassa, nani zaidi katika Utekelezaji?

Magufuli Vs. Lowassa, nani zaidi katika Utekelezaji?

Magufuli ni sawa na msichana wa kazi mwenye bidii. Anafaa kutumwa tumwa tu! Lakini urais sio hadhi yake.
 
Kweli watanzania du..................................................................
 
"Siku nilipofika ofisini kwa John Pombe Magufuli Nilikuwa na shida ofisini kwake nilitaka kumuona na baada ya kusubiri alitoka nje ya ofisi akiwa na watu zaidi ya wanne.
Nilipofanya jitihada za kujitambulisha na kujaribu kumweleza kilichonipeleka, hakunisikiliza na hata kupenda kujua ni nani anayetaka kumueleza shida hiyo" - Padre Baptiste Mapunda.
 
Ukweli utabaki palepale lowassa ni mpambanaji wa ukweli harafu huwa hakati tamaa
 
Yaaani hawa vilaza wakitenda haki Mmasai anamchungisha ng'ombe Msukuma alfajiri kabisa, Team Eddo
 
"Bandugu Bwaga Manyan'ga Ayaokote Magufuli, Pesa Za Ujenzi Wa Shule Kala Na Mkewe Headmaster""
 
Kuliko kumpigia kura magufuli bora ufe kijitu kile kina dharau wanyonge, yaani akishika nchi bomoa ndiyo usiseme! Aka mwenzangu nyumba yangu ipo barabani naogopa kuitoa sadaka bora nimpe lowasa alijenga shule za kata ambazo watanzania wenzangu wanasoma
 
"Bandugu Bwaga Manyan'ga Ayaokote Magufuli, Pesa Za Ujenzi Wa Shule Kala Na Mkewe Headmaster""

makofili kahonga nyumba za serikali kwa hawara yake, hii kashfa ya kuuza nyumba za serilali watumishi wa umma wanapata shida itamtafuna bado kale kahotel kake alikominya mradi wa barabara akakajenga na kummilikisha hawara yake, magufuli ni mwizi na atalinda majambazi wenzie waendelee kuiba na kunenepeana na sisi tukikondeana! Rip ccm ya majambazi
 
Lowasa ana sifa zote za urais, magufuli ana sifa zote za kutumwa kazi. Full stop!!!!!
 
Wote mliochangia kumlinganisha msomi mwana mahesabu na Sayansi Magufuli na kilaza Edward mwanasanaa za maıgzo, mtakuwa wote mlipata zero au div4 na mlikuwa na masomo 7 tu.Lowasa ni Kilaza na anaungwa mkono na vilaza wenzake.
 
Back
Top Bottom