Magufuli ungewapa ma DED wengi wanajeshi ili ufikie malengo haraka

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,650
3,662
Mimi naona angewapa wanajeshi wengi nafasi za ukurugenzi ingefaa,maana wangekuwa wanachapa kazi kwa nidhamu ya juu,pia watumishi wengne wangewaogopa hivyo ingekuwa rahisi kufikia malengo
 
Back
Top Bottom