magufuli ameahidi (serikali) kutoa 40% ya gharama za daraja.
NSSF wamesema tayari wanayo 60% ya gharama nzima ya daraja.
Magufuli ametaka tenda itangazwe haraka iwezekanavyo
Nimeka nikafikiria lakini sijapata jibu. Hivi kipi kina umhimu zaidi kt ya daraja la kgmbn na kuongeza barabara ya Morogoro?(kujenga barabara za juu?) msaada kwa mwenye jibu plz
Ya Kigoma kuwa Dubai yameanza siku nyingi labda lini inamalizika ndio swali, mbunge wa kigoma kaskazini Zitto Kabwe(CDM) ameeleza mafanikio makubwa ya serikali ya nne katika kuendeleza miundo mbinu hasa barabara( rejea maoni yake kuhusu bajeti juni 4 TBC).