Magufuli tutambulishe Foreign Policy yako

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,841
1,843
Hivi foreign policy ya serikali ya Mh Magufuri ni ipi? Simaanishi tuanze safari za nje.

NasIkia mabalozi nao wanatoa macho tu huko nje. Mtujuze

Songoka, nikiwa likizo Ngoitok tok
 
Hivi foreign policy ya serikali ya Mh magufuri ni ipi?? Simaanishi tuanze safari za nje.

Naskia mabalozi nao wanatoa macho tu huko nje. Mtujuze

Songoka, nikiwa likizo Ngoitok tok

Kwani foreign policy ya kikwete na mkapa zilikuwa zipi mkiu
 
Wewe kilaza kweli, yaani hujui foreign policy ni ya nchi na si ya Rais? rudi shule?
 
Neno serikali ya magufuri hukuliona, kilaza wewe, au anadhani rais analazimishwa ku adopt policy aliyoikuta??? kama una degree basi ni ya KIU
 
Foreign Policy ya Tanzania ni Democratization & Peacekeeping in the Great Lakes regions and the rest of Africa...
 
Hivi foreign policy ya serikali ya Mh magufuri ni ipi?? Simaanishi tuanze safari za nje.

Naskia mabalozi nao wanatoa macho tu huko nje. Mtujuze

Songoka, nikiwa likizo Ngoitok tok

Sera ni ya nchi.Yeye anaweza kubadili mwelekeo wa sera tu.Hata hivyo iliyopo inahitajika kufanyiwa reform na katika Mawaziri Competent alioteua Magufuli Dr.Mahiga ni mmojawao.

Sina Mashaka nae kabisa.Sasa aboreshe Policy yetu ili economic Diplomacy ifanye kazi vizuri aimarishe Tools za International Relations.

Mambo ya Political Diplomacy ni ushamba tu,utadhani tupo stuck kwenye block moja enzi za Cold War.
 
Sera ni ya Serekali.Yeye anaweza kubadili mwelekeo wa sera tu.Hata hivyo iliyopo inahitajika kufanyiwa reform na katika Mawaziri Competent alioteua Magufuli Dr.Mahiga ni mmojawao.

Sina Mashaka nae kabisa.Sasa aboreshe Policy yetu ili economic Diplomacy ifanye kazi vizuri aimarishe Tools za International Relations.

Mambo ya Political Diplomacy ni ushamba tu,utadhani tupo stuck kwenye block moja enzi za Cold War.

Nimeanza na neno serikali ya magufuri mkuu

Umenena ukweli, kwa kasi ya ndani ya magufuri, we need reform in our current FP, na ndo msingi wa swali langu
 
Iliyopo haitekelezwi proper.Inayotekelezwa kwa vitendo ni ya kuomba na kushukuru
What do you mean? Marahii umeshasahau one of the most successful missions (Operation Democracy in Comoros-Anjouans wakatiule 2008?). Pia umesahau tuvyobabua wanyarwanda kule DRC na ikawa chanzo cha bifu kati ya JK na Kagame? Tumesahau pia mchango wa Tz kukamilisha "muafaka huko kenya"? Mbona tunakuwa wasahaulifu hivyo?
 
What do you mean? Marahii umeshasahau one of the most successful missions (Operation Democracy in Comoros-Anjouans wakatiulr 2008?). Pia umesahau tuvyobabua wanyarwanda kule DRC na ikawa chanzo cha bifu kati ya JK na Kagame? Tumesahau pia mchango wa Tz kukamilisha "muafaka hujo kenya"? Mbona tunakuwa wasahaulifu hivyo?

Mkuu JPM focus yake kubwa ni kwenye Sustainable economic growth , Je the current policy inamsaidia ku achieve hilo
 
What do you mean? Marahii umeshasahau one of the most successful missions (Operation Democracy in Comoros-Anjouans wakatiule 2008?). Pia umesahau tuvyobabua wanyarwanda kule DRC na ikawa chanzo cha bifu kati ya JK na Kagame? Tumesahau pia mchango wa Tz kukamilisha "muafaka huko kenya"? Mbona tunakuwa wasahaulifu hivyo?

Unaweza kuleta comparative analysis hapa kuhusu mabadiliko ya volume of trade kati ya Tanzania na Comoro kabla na baada ya kupeleka majeshi kule? Au ni watanzania wangapi wanafanya kazi kule na hata return ya Watanzania waliopo Comoro kabla na baada ya 2008?
 
Comoro kumejaa watanzania wafanyabiashara sio makarani waajiriwa.

Voulume of trader baada ya 2008 imeanda sana tena imewafikia watu wa chini kabisa.Watanzania wa chini kabisa mfano watengeneza samani kama makochi nk wanauza sana bidhaa zao komoro.Kaulize watengeneza samani wa keko Dar es salaam wakwambie.Wanafanya biashara sio mchezo.Wafugaji na wafanyabiashara wa mbuzi na ng`ombe watanzania wanauza sana komoro.Nenda soko la mbuzi na ng`ombe la vingunguti na Pugu Dar es SALAAM uone. KUNA BIASHARA kubwa hata ya mazao na samaki na walio-dominate biashara hiyo ni watanzania kiasi kuwa benki ya EXIM tanzania iliamua kufungua tawi komoro kuhudumia watanzania wanaofanya biashara zao kule.Sera ya nje ya economic diplomacy inafanya kazi vizuri mno komoro.

Watanzania wanafaidika sana na komoro.Hata wasafirishaji wengi wenye majahaazi ya kupeleka mizigo komoro ni watanzania toka mwaka huo wanafanya biashara kubwa mno.
 
Njoo na Takwimu.Unajua maana ya Comparative analysis?
 
Hivi foreign policy ya serikali ya Mh Magufuri ni ipi? Simaanishi tuanze safari za nje.

NasIkia mabalozi nao wanatoa macho tu huko nje. Mtujuze

Songoka, nikiwa likizo Ngoitok tok

Kwani foreign policy ya kikwete na mkapa zilikuwa zipi mkiu

Foreign Policy ya Tanzania ni Democratization & Peacekeeping in the Great Lakes regions and the rest of Africa...

Sera ni ya nchi.Yeye anaweza kubadili mwelekeo wa sera tu.Hata hivyo iliyopo inahitajika kufanyiwa reform na katika Mawaziri Competent alioteua Magufuli Dr.Mahiga ni mmojawao.

Sina Mashaka nae kabisa.Sasa aboreshe Policy yetu ili economic Diplomacy ifanye kazi vizuri aimarishe Tools za International Relations.

Mambo ya Political Diplomacy ni ushamba tu,utadhani tupo stuck kwenye block moja enzi za Cold War.

Iliyopo haitekelezwi proper.Inayotekelezwa kwa vitendo ni ya kuomba na kushukuru

Nimeanza na neno serikali ya magufuri mkuu

Umenena ukweli, kwa kasi ya ndani ya magufuri, we need reform in our current FP, na ndo msingi wa swali langu

What do you mean? Marahii umeshasahau one of the most successful missions (Operation Democracy in Comoros-Anjouans wakatiule 2008?). Pia umesahau tuvyobabua wanyarwanda kule DRC na ikawa chanzo cha bifu kati ya JK na Kagame? Tumesahau pia mchango wa Tz kukamilisha "muafaka huko kenya"? Mbona tunakuwa wasahaulifu hivyo?

Mkuu JPM focus yake kubwa ni kwenye Sustainable economic growth , Je the current policy inamsaidia ku achieve hilo

Njoo na Takwimu.Unajua maana ya Comparative analysis?
Tanzania KILA MTU NI MTAALAMU WA KILA KITU,ANAJUA KILA KITU,ANAWEZA KILA KITU,ANAKOSOA KILA KILA KITU.........................................
 
Njoo na Takwimu.Unajua maana ya Comparative analysis?

Nimejibu kile ninachojua hayo mengine mtafute mwingine akusaidie ambaye huwa hafanyi biashara na komoro ambaye kazi yake inakuwa kukaa ofisini kama wewe kukusanya takwimu na kufanya utafiti na sera kwenye komputa badala ya kwenda kufanya biashara komoro.
 
Back
Top Bottom