Magufuli tutambulishe Foreign Policy yako

Magufuli tutambulishe Foreign Policy yako

Kazi Hiyo Mh.JPM Amemkabidhi MWANA DIPLOMASIA NGULI ALIYEBOBEA BALOZI MAHIGA Ni bora ukatupa swali lake kwako.Na ninadhani mleta post JF Anaelewa fika au hakuisikiliza Hotuba ya Mh.Raisi Alipozinduwa Bunge ama ni mmoja wa waliyokuwa wanazomea na KUTOLEWA NJE YA UKUMBI KWA AMRI YA SPIKA
 
Umetisha
 
Hivi foreign policy ya serikali ya Mh Magufuri ni ipi? Simaanishi tuanze safari za nje.

NasIkia mabalozi nao wanatoa macho tu huko nje. Mtujuze

Songoka, nikiwa likizo Ngoitok tok

Kaa kimyaaaa
 
Magufuli na Tanzania yake hawana a coherent foreign policy agenda, ndio maana kitu cha kwanza alichomuagiza waziri ni kwamba eti aende kutatua matatizo ya Burundi.

Huwezi kusikia David Cameron ameteua waziri wa nje mpya halafu akamuagiza aende kutatua matatizo ya ndani ya Zimbabwe. Au Obama amtume waziri wake mpya kitu cha kwanza aende kutatua matatizo ya demokrasia ndani ya Iran.

Ambayo sio kitu cha ajabu sana kutokuwa na foreign agenda, ni kwamba tu sisi kama ka third world country fulani kasiko matter duniani kanakohangaika na njaa za ndani, magonjwa, rushwa, giza, albino, foleni na vumbi hatuna issues saaana na nje. Ndo maana serikali imeambiwa isisafiri na nchi inaenda. Hatuna issues nje. Very understandable.
 
Back
Top Bottom