Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?
Mbona mjinga wewe unakera hivi? Umekua wewe na jifunze kujifunza kupitia ujinga wako ili werevu wakusaidie kuelewa na kufanana nao!
Mbowe kaenda ziara gani ya kimataifa akashindwa kujiaddress kwa lugha inayopaswa?
Kwataarifa yako Mbowe ni mahiri kwa lugha ya malkia,kiswahili na kichagga! Hahitaji mkalimani kwani ni bora na anajiamini! Au unamaanisha safari na ziara za nje ya nchi aende Mbowe! Ni sahihi kusema hivi na naunga mkono!
 
Afadhali hivyo, kuliko kuongea lugha ambayo huko fasaha.
 
Mhutu na kiswahili wapi na wapi Mkuu! Na hapo ndiyo kaishi Bongo tangu akiwa mtoto. Ana lafudhi mbaya sana LAIS, NIMEFULAHI

..hazungumzi kiswahili fasaha.

..kiswahili chake si cha kiwango anachopaswa kuzungumza mkuu wa nchi ambayo kiswahili ni lugha ya taifa.
 
Wewe gamba hujawahi msikia Mbowe akitema "slang" za kizungu??

Wewe unadhani viongozi wa upinzani wanafanana na Jiwe katika kutojua lugha ya kiingereza??

Huyu ni PhD holder gani, ambaye lugha ya malkia inampiga chenga??
Mch. Msigwa na Lema walihojiwa kwenye TV za Kenya wakati Lissu alipolazwa huko, walichongea ni aibu tupu kwa taifa.
 
Kwenye jitihada za Rais Maguguli kushawishi nchi za Afrika kurasimisha lugha ya Kiswahili jaribu kuwa Wazalendo.
 
Huyu wetu amekosa vyote,lugha hajui si kiswahili,si kiingereza,kwenye leadership and Management ndo huko hovyo zaidi,mbaya zaidi hajiamini wala kujitambua. Mtu makini na anayejiamini-unaamua tu kwamba mie naenda pale kama rais wa nchi hivyo nitaongea kiswahili tu na unajitahidi kuwa consistency.sasa huyu akiwa na wanazengo ndo anatema broken zake,akienda kwa wanakijua anajifanya kutangaza kiswahili,hatumuelewi eti.
 
Kwenye jitihada za Rais Maguguli kushawishi nchi za Afrika kurasimisha lugha ya Kiswahili jaribu kuwa Wazalendo.
Akiongea kiingereza neno catalysit halikosekani-natamani kukutana na mwanafunzi wake wa miaka hiyo
 

Ndio maana ntu anajifichaga ndani Hahahahahahahahaha!!! Kwikwikwikwikwiiiiiii
 
..hazungumzi kiswahili fasaha.

..kiswahili chake si cha kiwango anachopaswa kuzungumza mkuu wa nchi ambayo kiswahili ni lugha ya taifa.
Labda kweli atakuwa mgeni hapa
 
Ni huyu hapa anayesimamia lugha au lugha imempitia pembeni?


Ipo tofauti kubwa ya kusimamia lugha na lugha kumpitia mtu pembeni. Nadhani ukweli huo unaufahamu na mkweli ni mpenzi wa Mungu.
Pumbaf kabisa na clip yako ya kupika
 
Kwa hill atakayempinga Mh Raid atakuwa ndiye mwenye shida,,,,anatukuza kiswahili kwa vitendo...iwe hajui kizungu au anajua...lkn kukomalia kutoa hotuba take kiswahili ni jambo LA kutoa kongole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…