Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami


Maneno yako kweli kabisa.

Ujanja ni hapa tu JF!
Kikilia Utaona wanavyolala mbele.
Tumuombe Mungu aliokoe Taifa hili na Balaa ya umwagaji Damu km mengine.
Amen
 

Ushaihidi wa kushinda magufuli uhapa
 

Attachments

  • 1439316677336.jpg
    54.1 KB · Views: 169

Kinachotakiwa CCM watoke madarakani tu basi...na hilo linawezekana kabisa, endapo wakichakachua hapo ndo mtiti utakapoanza.

Kumbuka aina ya mtiti siyo lazima iwe hiyo unayoijua wewe...zipo style kibao ndugu yangu, tena siyo za kudhuru wananchi wa kawaida but walengwa tu...yaani viongozi!

Watch out mkuu...!
 
Nina mashaka makubwa kama Geita atapata hata watu hamsini elfu hasa baada ya mafuriko ya jana.Geita ukiizungunzia CCM unataka upigwe bure ingawaje kuna sintofahamu mgombea wa CHADEMA alieshinda kura za maoni hawamtaki wanasema ni pandikizi la CCM.

Kama ni pandikizi atapigwa chini na vikao vya kitaifa.
 
Lowasa hatakuwa raisi wa nchi hii(mark my words)
 

Teh teh teh.
Unanichekesha sana Mkuu.
Hio mititi ya Style yako Wale watu wa Libya na Tuniasia na kwengineko Hawakuijua?

We tuombe tu Kikombe hiki kituepuke.

Hayo mambo ya Holywood tuyaache kwenye Movies.
It doesn't work in Real life.
 

Wacha Usanii.
Hakuna anaeabudu Muzungu hapa.
Lkn ukweli uisio na kipingamizi ni kuwa nchi hii imeshachukuliwa Hati miliki na Mzungu.
Atakacho yeye ndicho kitakachokwenda.
Si Usubiri Hapo October uone balaa! Yaanini kutokwa mapovu ovyo?
 

kwa sasa watanzania wanahitaji mabadiliko tu. Siyo lazima walete maendeleo saana. Tunachohitaji kwa sasa Ccm ipumzike kuzimu
 
kwa sasa watanzania wanahitaji mabadiliko tu. Siyo lazima walete maendeleo saana. Tunachohitaji kwa sasa Ccm ipumzike kuzimu
Na wengine wanataka kuitoa CCM ili kuja kuona uozo unaofichwa na CCM.
 
Lowasa apelekwe kwa daktari wake mapema
 
Huu wa Habari Leo ni wa kwake, JK na familia yake ndo anaita Tsunami
 
Hana afadhali yoyote na hasa atakapokuwa ndiye boss ndani ya CCM. Huyo Jamaa 10 percent za miradi ya barabara, Nyumba za Serikali etc. Halafu watu wanamuona MALAIKA, Mwenzie aonekane SHETANI !?.sioni mantiki

Ni mawazo na sio hitimisho, pia yanaweza kuhitaji ambulanze ya kupelekwa kwenye mlango wa wagonjwa.
 
kwa sasa watanzania wanahitaji mabadiliko tu. Siyo lazima walete maendeleo saana. Tunachohitaji kwa sasa Ccm ipumzike kuzimu

Sasa mabadiliko bila maendeleo kuna faida gani?
Unabadili Sufuria lkn Ugali uleule.

Hio ndio ndoto ya maskini alienyonywa toka uhuru?

We kweli umechoka mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…