mchotamaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 219
- 66
Jamani kweli CCM inasahau Serikali ya CCM ilianzisha bodi ya mikopo kwa wanafunzi bodi ambayo imekuwa chukizo kwa watoto wa masikini cha ajabu mgombea urais Magufuli akiwa iringa anawadanganya watoto wa Masikini eti atawapa mikopo.
Hivi hajui kuwa tayari kuna bodi ya Mikopo? Jamani watanzania hebu angalieni viongozi walivyo waongo.Mh.Lowassa amekwisha twambia Elimu bure mpaka Chuo Kikuu Leo Magufuli unatuletea habari ya mikopo?
Hatutaki tunataka MABADILIKO