sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Ivi huoni aibu kuongelea nyumba za tembe alaf mgombea wenu anahaidi nchi ya viwanda!! Nyie mnazidi kujichanganya!! Sera inayolipa kwa ccm kwa sasa ni kukaa kimya, vinginevo mnajichanganya kila mnachoongea!
hiyo ni ahadi ya mamvi ambayo ni uwongo mtupu kwanza hajui idadi yake anasemaje zitaisha?
