Magufuli suala la elimu Lowassa kasema bure hatutaki mikopo

Leo katika kampeni za Magufuli huko Dodoma, mgombea wa kiti cha uraisi kupitia CCM ndugu John Magufuli amesema akichaguliwa ule mpango wa kufuta ada utaanza rasmi january mwaka ujao kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne.

Lowasa naye aliahidi elimu bure hadi chuo kikuu, je nayeye aseme mpango huo utaanza mwaka gani? kama ni 2030 tujue.

huna akili kama huyo alotamka na endelea kuamini hivyo
 
Leo katika kampeni za Magufuli huko Dodoma, mgombea wa kiti cha uraisi kupitia CCM ndugu John Magufuli amesema akichaguliwa ule mpango wa kufuta ada utaanza rasmi january mwaka ujao kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne.

Lowasa naye aliahidi elimu bure hadi chuo kikuu, je nayeye aseme mpango huo utaanza mwaka gani? kama ni 2030 tujue.

Acha kukurupuka kijana,buku 7,zinakuondoa ufaham kabisa
 
Kabla ya elimu kuwa bure mahakama ya mafisadi ije haraka sana mamvi na wenzake wakanyee debe

Ikitokea mahakama ya mafisadi aanze na wakubwa zake
meno ya tembo
rada
kagoda
exrow
epa
nk
mimi ntachukuwa kadi ya ccm
 
haya ni maneno ya mtaani msimkinge huyo fisadi wa richmond lazima wabembee nae
 
Leo katika kampeni za Magufuli huko Dodoma, mgombea wa kiti cha uraisi kupitia CCM ndugu John Magufuli amesema akichaguliwa ule mpango wa kufuta ada utaanza rasmi january mwaka ujao kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne.

Lowasa naye aliahidi elimu bure hadi chuo kikuu, je nayeye aseme mpango huo utaanza mwaka gani? kama ni 2030 tujue.

Copy and Paste.. Lofa mwenye kusubiri sera za wenzake kazini..
 
hyo kuanzia January kudanganya watu, hyo bajet ni ip itakayofanya kazi!

Ile kichwa yake ubongo wa nyuma upo mbele na wa mbele upo nyuma. Wakati mwingine anaongea ili mradi aongee tu na si kwamba anaelewa kile anacho kiongea.
 
Alisema elimu itakuwa bure from primary to university,, LAKINI hakusema kuanzia lini,
ILA alisema akiwa Rais,
sasa hapo ni Hesabu inahitajika,
2015<elimu bure<2020

Japo mimi niko ccm lakini wewe jamaa hauko timamu kiakili kama uko timamu bac kwenu hakuna tv
 
Kama ulikuwa unatafuta kinyume cha neno ,,logic" ni ,,illogic" na neno ,,unlogic" halipo!

​

Sasa kama halipo umejuaje kuwa alimaanisha ilogic? Kama umeelewa basi umemuelewa!!
 
ahadi za lowasa ni za uwongo ndio maana hasemi utekelezaji utaanza lini

Ukiambiwa wewe msukule huchelewi kulia lia. Tunakwambia hilo kalitamka jana Pale Mheza Rais wako Edward Lowassa aliposimamishwa na wananchi ili aongee nao au unakurupukaga tu bila kupata taarifa za kutosha.
Magufui na Mzee wa Copying and paste, mwambie basi ajaribu kuandaa ya kuwafanyia wananchi.
Nchi hii inataka wabunifu na si wakaririshaji nw ku copy!
 
Leo katika kampeni za Magufuli huko Dodoma, mgombea wa kiti cha uraisi kupitia CCM ndugu John Magufuli amesema akichaguliwa ule mpango wa kufuta ada utaanza rasmi january mwaka ujao kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne.

Lowasa naye aliahidi elimu bure hadi chuo kikuu, je nayeye aseme mpango huo utaanza mwaka gani? kama ni 2030 tujue.

Utafuta kwa bajeti ipi kwa muda huu mfupi? Naona magufuli anakurupuka , iyo bajeti ya mlo mmoja iliyopitishwa bungeni afu january watu wasianze kuripa fees je pesa izo atatoa wapi? Anyway yetu macho whoever wins , lets hope for the best
 
hata nyumba za tembe zitaisha polepole na siyo kudanganywa zitaisha ndanib ya siku 100

Ivi huoni aibu kuongelea nyumba za tembe alaf mgombea wenu anahaidi nchi ya viwanda!! Nyie mnazidi kujichanganya!! Sera inayolipa kwa ccm kwa sasa ni kukaa kimya, vinginevo mnajichanganya kila mnachoongea!
 
Japo mimi niko ccm lakini wewe jamaa hauko timamu kiakili kama uko timamu bac kwenu hakuna tv

tv tunayo lakini SISIEM yenu wametunyima umeme tena chanzo chake ni hapa hapa MTWALA kwetu.
Nimekumbuka gas yetu ilivyosafirishwa kwa gharama kubwa sana,
 
...magamba ni kuiga iga tu kila kitu, hamuwezi kuvumbua cha kwenu hata kimoja.? yaani mpk slogan ya mabadiliko mmeiga.!! wakati kwenye wimbo wenu mlioachiwa urithi mnajiita walewale.!!!
 
Kila kitu mwendo wa kuiga tu mara magufuli fo change,mara ukiunganisha v mbili ukaelekeza chini inakuwa M,
Sasa badilisheni na
rangi ya kitabu cha ilani ifanane na ya CDM.

Aibu kwa yule anayejiita mchungaji na chama chake
hakina mfuasi hata mmoja,
alisema EL hawezi sasa angalia kila anachobuni
kesho kinachukuliwa kama kilivyo.
 
Ukiambiwa wewe msukule huchelewi kulia lia. Tunakwambia hilo kalitamka jana Pale Mheza Rais wako Edward Lowassa aliposimamishwa na wananchi ili aongee nao au unakurupukaga tu bila kupata taarifa za kutosha.
Magufui na Mzee wa Copying and paste, mwambie basi ajaribu kuandaa ya kuwafanyia wananchi.
Nchi hii inataka wabunifu na si wakaririshaji nw ku copy!

kumbe ahadi za barabarani? jukwaani pamekuwa pa kubadili jeans siyo?
 
Back
Top Bottom