Magufuli soma vitabu hivi vitakusaidia

Magufuli soma vitabu hivi vitakusaidia

Kwa kuwa hapendi kukosolewa asisahau kusoma mein kampf cha adolf hitler ili afahamu jinsi ya kukuza chuki baina ya watu wa rangi mbalimbali na jinsi ya kuua upinzani kwa manufaa ya ccm.
 
kiongozi ni kusoma ukiacha kusoma unakoma kuongoza , hata kama ni mvivu wa kusoma kuna audio books nimependa maana hii ndiyo inafanya jamii kuwa na hamasa na maisha ya kila siku napendekeza asome na kitabu kinaitwa 48 laws of power
 
11.asome pia kitabu cha Ngoswe Penzi Kitovu Cha Uzinzi hiki kitamsaidia kutulia kimawazo.
 
Mtoa post unachekesha sana, huamini dhana ya Rais kutegemea ushauri,Stll, unamshauri akasome kitabu ili apate ushauri
 
Pia kama Mh. Rais ataona muda hautoshi, basi walau washauri zake wasome vitabu hivyo na baadaye atenge muda wa washauri hao kuja kumsimulia yaliyosoma kwa ufupi lakini ufupi ulio na kina.

Nchi kubwa kama USA utakuta kuna mshauri wa masuala ya Urusi mfano Condoleezza Rice alikuwa msomi mbobezi mwenye Ph.D kuhusu masuala, historia ya Urusi. Rais Goerge Bush alikuwa kama anataka kukutana na Rais wa Urusi au ujumbe toka Urusi basi alikuwa anamwita Condi Rice amsimulie mambo yote muhimu kuhusu Russia kabla ya kukutana nao wageni mashuhuri toka Russia.

Tanzania unakuta kuna washauri kibao wa Rais (lakini sijui kama ni wabobezi) na wanaosoma vitabu vipya kila wakati na hata wakurugenzi wa kanda wizara ya Mambo ya Nje ( Kanda za ulaya, Afrika Mashariki n.k) awatumie hao kwa kuwaita na ili kumfahamisha mambo muhimu mbalimbali.

Lakini pia Mh. Rais akipata muda basi asome baadhi ya vitabu tajika lakini washauri lazima wasome sana na kuwa wabobezi wa kumfahamisha mambo Mh. Rais ambaye kwa kweli hana muda mwingi kujikita kusoma huku kuna majipu kibao na mfumo mpya wa serikali haujaweza kuundwa na kuleta kile anachokitaka kati awamu ya tano ya uongozi wake.
 
Pia ataweza kufahamu kuwa Saddam Hussein hakuwa Rais wa Kuwait, alikuwa Rais wa Iraq.
 
yahaa wasomi wa siku hizi hawaandiki sijui kwa nini?rodney aliuawa akiwa na miaka 38 sasa pata picha angefikisha miaka 60 ingekuwaje
Wataandika saa ngapi wakati muda mwingi wanautumia bar kupiga stori na mikasi, wakiwa maofisini wanawaza kupiga dili...hata maprofesa wa vyuo wanamiliki night clubs....We are a lost society mkuu.
 
Mtoa post unachekesha sana, huamini dhana ya Rais kutegemea ushauri,Stll, unamshauri akasome kitabu ili apate ushauri
Tafuta kitabu cha Manzese Crew kinaitwa maisha ubishi, ubishi, ubishi...... Kinafundisha namna ya kuyafanya mambo rahisi kutowezekana na magumu kuwezekena. Ni kitabu kizuri sana kwa tunaotaka maamuzi magumu
 
they exploited us through slave trade,they exploited our minds.our minds were totally changed.The slave trade helped to build the growing economies of northern seaports like Bristol, and supported the economies of many towns along the New England coast or further inland. Slave traders paid shipbuilders, insurers, blacksmiths, and a wide variety of other tradesmen, merchants, and farmers. New York financial institutions were heavily invested in slavery
Yes there was exploitation, but they left Africa with a lot of resources, and they established a system on how the resources can be used more efficiently to improve the life in this continent

Africa had resources before the Europeans came and they still have a lot of resources after Europeans left
the source of African problems today is greediness, selfishness, attitude and laziness of their people and that has nothing to do with European colonialism
 
maarifa mkuu utasema mbona sijawa Rais ,Knowlwdge is power,hata shetani najua mistari ya bible na koran ndio maana anaendelea kuwa hewani
Ndo maana shetani hafulii mkuu....bas nitaungana na Rais kuvisoma. Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom