Magufuli soma vitabu hivi vitakusaidia

Magufuli soma vitabu hivi vitakusaidia

na wewe ni hopeless kweli yaan umeishiwa role model mpaka kumchagua kikwete? kikwete awe role model? NYWAY inategemeana kuna mabao idd amin au hitler ni role model wao. ila ungechagua watu wa maana kuwa role model. kwa taifa kama tanzania rais kuchaguliwa kwa 100 ni jambo la kawaida wengi walichagua mtu mwenye akili kama zao mpaka baadaye walipokuja kugundua kuwa they made a grave mistake.

mnapochagua role model omben hata ushauri toka kwetu wenye akili. unaacha kuchagua role model wa maana unachagua mavitu ya hovyo hovyo. we ulishindwa kumchagua dr salim ahmed salim? ungekuwa na akili . sasa unachagua mtu. we huoni hata mijitu inayomtetea akili zao zinaonesha hazina elimu dunia. ni mi boko haram ya tanzania.

kwa taharifa yako namkubali sana JK kuliko unavyodhani yule ni role model wangu acha ujinga wewe
 
Kwenye list naomba kiongezwe kitabu kimoja kinaitwa Animal Farm naamini kitamsaidia
 
mtaendelea kulalamika utadhan afrika peke yake ndo ilitawaliwa. ni ujinga tu wa waafrika ndio sababu ya umaskini wao. kuwasingizia wazungu ni kujikosha.

It has to do, them Europeans destroyed a spiritual aspect of black men by destroying his culture and introduce their culture which would favour them all along, its called willie lynch my friend, soma iyo kitu mkuu.

We were great people, zaidi ya 10000 different society existed in al kebulan(africa later), there was governments, colleges, architecture, agriculture, blacksmith etc. They learnt everything from us them cave dwellers, we were first to inhabit the globe. They just killed our spiritual affair after coming to the realization that they couldn't annihilate the whole black race.

One thing positive they did, they enhaced our unity without knowing, there are fifty sumthn countries now. As the tribes adapt to one another in single african nation. Countries will later evolve and adapt as well and we'll have a united states of sub sahara africa. USSSA. 😀😀😎
 
Zoezi lake la utumbuaji majipu, na kuumiza wengi kwa makosa ya watawala waliopita wanaoendelea kulipwa pensheni kwa fedha za wavuja jasho angejisomea riwaya ya kuli., ingemsaidia sna.
umenena mkuu..
jamaa hivi mbn anakurupuka sana?
 
Naongezea na kingine cha ANIMAL FARM cha George Orwell. Kitamwongezea hamasa ya kuendelea kutumbua majipu
 
sawa nimewasikia wanainchi wangu and congregetions rile for advice on me.. ila vitabu vitavyokua na bei kubwa i can derit them now, sina mchezo
 
it's obvious Europe established transportation system like railways and road which are still used in Africa, the governance system which is still used, communication systems, educational systems, financial and economic management systems and many others which are foundations of many advanced African nations like South Africa, Kenya, etc

UNA HOJA YA MSINGI SANA SANA, MAANA BAADA YA HAPO PAMOJA NA VIONGOZI WTU WENYEWE, WAMESHINDWA KABISA KULETA AU KUONYESHA TOFAUTI YA SISI NA HAO EUROPE. MOST CORRUPTED, MOST UNDEMOCRATIC, YOU NAME THEM
 
Umemuwekea vitabu vizuri lakini visivyo na umuhimu kwa wakati huu angeanza na COMMON MISTAKES IN ENGLISH
Hivyo vitabu vya English ndio vinawafanya masister du Na mablaza man kutuingilia JF Na KiswaNglishi.
Inamaana hakuna vitabu vizuri vya
Lugha inzuri ya Kiswahili?
Kama Shaaban Robert Na Ali Mazrui Na wengine wengi tu.
 
Namuomba Rais ajenge utamaduni wa kujisomea vitabu mbali mbali na ahimize watanzania tujenge huo utamaduni.

Hata michango humu JF inaonesha watanzania hatujisomei.
Pia Rais awe anapitia humu JF pengine atapata maarifa kiasi na ushauri. Napita tuu
 
na wewe ni hopeless kweli yaan umeishiwa role model mpaka kumchagua kikwete? kikwete awe role model? NYWAY inategemeana kuna mabao idd amin au hitler ni role model wao. ila ungechagua watu wa maana kuwa role model. kwa taifa kama tanzania rais kuchaguliwa kwa 100 ni jambo la kawaida wengi walichagua mtu mwenye akili kama zao mpaka baadaye walipokuja kugundua kuwa they made a grave mistake.

mnapochagua role model omben hata ushauri toka kwetu wenye akili. unaacha kuchagua role model wa maana unachagua mavitu ya hovyo hovyo. we ulishindwa kumchagua dr salim ahmed salim? ungekuwa na akili . sasa unachagua mtu. we huoni hata mijitu inayomtetea akili zao zinaonesha hazina elimu dunia. ni mi boko haram ya tanzania.
Sudoku wewe ntu wa ajabu sana njomba.role model ni wazazi wako tu. Wengine hao ni wasindikizaji.
Salim Ahmed Salim alikuwa na akili sawa. Lakini hamzidi baba yangu.
 
umenena vyema. nlikuwa namsaidia huyu ndugu kuwa at least angemsema huyo kuliko mtu aliyemtaja. role model wa kwanza ni wazaz then mimi mwenyewe ni my role model. akikosa kabisa mtu wa kuwa role model wake bas anichukue mimi lakin si dr mbofu mbofu.

Sudoku wewe ntu wa ajabu sana njomba.role model ni wazazi wako tu. Wengine hao ni wasindikizaji.
Salim Ahmed Salim alikuwa na akili sawa. Lakini hamzidi baba yangu.
 
that is bulshit Europe developed Africa and not the other way round
How about thousands of tonns of our minerals like Gold, copper, tanzanite etc and our energetic people take to Europe for their development.? Can you compare what they got, what they are getting through their bogus treaties till now with what they supply to us still now? Are they not still corrupting our leaders? See the country like DRC, what is going on there?
 
Rais ndiyo 'the most powerful person in Tanzania'. Asome vitabu afurahishe nafsi ya nani?
 
that is bulshit Europe developed Africa and not the other way round
How about thousands of tonns of our minerals like Gold, copper, tanzanite etc and our energetic people taken to Europe for their development.? Can you compare what they got, what they are getting through their bogus treaties till now with what they supply to us still now? Are they not still corrupting our leaders? See the country like DRC, what is going on there?
 
How about thousands of tonns of our minerals like Gold, copper, tanzanite etc and our energetic people take to Europe for their development.? Can you compare what they got, what they are getting through their bogus treaties till now with what they supply to us still now? Are they not still corrupting our leaders? See the country like DRC, what is going on there?
how can your leader be "corrupted"? by someone? are they primary school kids??
and the problems of Africa is just not simply their leaders, it is the spirit, the attitude of their people which brings development or chaos
Europe exploited Africa but to use that as an excuse for the problems of Africa today is utterly wrong
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom