mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,015
- 49,152
Najua watanzania wengi ni wavivu wa kusoma wakisingizia vitabu bei mbaya sasa kwa JPM huna kisingizio ikulu ina bajeti ya majarida na vitabu.
Mzee mkapa alipokuwa akisafiri alikuwa hakosi kusoma kitabu njiani lakini JK mara zote akisafiri zile safari zake alikuwa na ipod akisikiliza bongo flavor...ni utamaduni mpya wa kutosoma vitabu
Kuna watu wanadai eti urais ni taasisi eti unawashauri sijui blabla,huo ni uongo ,Rais lazima ujue mambo mengi wewe ndio kioo cha watu.
Leo nakuletea sehemu ya kwanza ya vitabu unavyotakiwa kuanza kuvisoma mwka huu,nitakupatia sehemu ya pili muda si mrefu
Mimi ni raia wa kawaida tu ila napenda kusoma vitabu na najua nguvu iliyopo kwenye vitabu
Na nafahamu umesoma masomo ya sayansi kuna uwezekano vitabu hivi ukawa hujavipitia au umevipitia
Lengo ni kuwekana sawa elimu haina mwisho sina nia nyingine zaidi ya kukukumbusha tu
1.THE GREEN BOOK-BY MUAMMAR GADDAFI
hapa utajifunza jinsi Libya ilivyojua kutumia resouces zake mpaka wazungu wakashangaa
2.THE MODERN WORLD SINCE 1880-BY SNELLGROVE
hiki ni kitabu cha historia ya dunia tangu mwaka 1880 huenda hujakisoma kwa wewe mwanasayansi
3.HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA-WALTER RODNEY(MTUNZI NI MWANAHARAKATI RAIA WA GUYANA ALIWAHI KUFUNDISHA UDSM MIAKA YA 60's AU 70's
4.ATLAS FOR SECONDARY SCHOOL najua mama anayo hapo nyumbani kwani ye ni mwalimu,hii itasaidia kujua Libya iko wapi na Belinze au Trinidad na Tobago ziko wapi au Mauritania na Mauritius ni nchi mbili zilizo sehemu tofauti Africa
5.WORLD FACT BOOK -BY CIA
6.FREEDOM AND UNIT, PAMOJA NA UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA -BY JK NYERERE
7.SAVE THE CAT-BY BLAKE SNYDER(KINAHUSU SPEECH NA JINSI YA KUJIELEZA KIPROFESSIONAL)
8.FROM THIRD WORLD TO FIRST-THE SINGAPORE STORY 1965-2000-BY LEE KUAN YEW(BABA WA TAIFA LA SINGAPORE HUYU NDIYE NYERERE WAO)
9.POLITICAL DICTIONARY--BY TAEGAN GODDARDS
10.BIBLE na KORAN (HUMU KUNA MAARIFA KIBAO)
.............Itaendelea..................