Magufuli sio kiongozi, ni mwanaharakati tu kama wengine

magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chato international airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm huku mnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccm mnaowachekea
 
Tuombe uzima ata akimaliza muda wake atasifiwa sana. Ndio tulivyo watanzania. Mark my words
 
Dhahabu inayosafishwa hapahapa inaendelea kupelekwa nje kama kawa
vita yote hii ni kwa mchanga tu wa kusafirishwa nje
hakuna alichozuuia hadi sasa
Hakuna alichozuia hadi sasa na ajabu zaidi hata hao suspect bado wanaendelea kupiga kazi kama kawa!!!

KP.png
 
Kama ile ripoti ilivyo hovyo rais huombi hata muda ujiridhishe kama ipo consistent au concrete unahamanika tuu.

Huyu jamaa akili zake za ajabu na atatutumbukiza kubaya sana!

Tayari kuna decline kila sekta
na bajeti iliyopita hata asilimia 40 ya utekelezaji haikufika
tupo pabaya
 
Ukimsikia anavyo lalamika na kuongea kwa uchungu unaweza fikiri ndie Rais aliepewa mzigo mkubwa kuliko wote katika historia ya Tanzania kumbe sivyo kabisa

Kama Rais Ally Hassan Mwinyi angekuwa na 'kipaji cha kulia na kulalamika' kwa uchungu basi sijui ingekuaje.

Mwinyi aliikuta...
Nchi imefilisika kabisa.
Chakula hakuna mvua hazinyeshi.
wananchi wanapanga foleni kupata unga wa njano wa msaada kutoka USA..
maarufu ugali wa Yanga.
sigara na bia zinaweza kukupeleka polisi.

Nchi ilikuwa hali mbaya mno kutoka Dar hadi Mbeya siku tatu jinsi barabara ilivyo mbovu.

Ruvuma kuja Dar njiani siku tano, huko Lindi na Mtwara ni meli tu hata mabasi hayafiki mishahara ndo kabisa hakuna.Watu kukaa miezi mitatu bila mishahara ni kawaida.

Sabuni hakuna watu hadi wakawa wagunduzi wa majani ya mipapai kufulia
viatu ndo usiseme tunavaa katambuga vipande vya matari ya magari.

Hali ilikuwa mbaya kupita maelezo lakini Rais Mwinyi hakuwahi hata mara moja.

Kulia kuwa 'kapewa mzigo mzito' wala kumlaumu mtangulizi wake Mwinyi alikuwa 'anatabasam' tu huku anatatua tatizo moja hadi lingine.

Wananchi walikuwa wala hawahamasishwi kumsiikiliza Rais akihutubia, alionyesha 'uongozi' kimya kimya tu hadii mambo yakabadilika.

Sifa ya kiongozi sio kulialia na kulalamika kila mara.Hizo ni sifa za wanaharakati ambao hupenda kuwachota wananchi kwa kuwatia uchungu na kuwaonesha adui wao ambae pengine wala sio adui wao kweli mradi tu 'mhusika ajitoe lawama' ya kushindwa kuja na solution ya matatizo yaliyopo.

Ndo maana wanaharakati wengi hushindwa kabisa kuongoza wakipewa nafasi imetokea mara nyingi wala sio kitu kipya.
Hivi wakati huo kulikuwa na magazeti mangapi au Vituo vingapi vya Tv ?
 
Mleta uzi Inawezekana wewe ni Mkongoman sio Mtanzania halisi Eti Magufuli sio kiongozi. Wakati sisi wa Tz Tunajua kiongozi wa nchi hii ni J.M Magufuli....!!! We wa wapi ww
 
Ninakumbuka baada ya kuanza kazi alianza kulalamika akitoa mfano wa mtu ambaye wenziwe wamemsadia kupanda juu ya mti na kisha kumtelekeza ilihali chini kuna machupa.
Hivi kwa mfano wako huo huoni alikuwa anailalamikia timu yake ya kazi na sio huyu anayelalamikia tawala zilizopita as if hakuwa sehemu ya hizo tawala!!!

Mwinyi alikuwa anakumbana na tatizo la msingi la Watanzania... uwajibikaji!!! Na alikuja kupumua kidogo baada ya kumpata Mrema!!! Na alipoona Mrema anasakamwa kwamba anaingilia majukumu yasiyomuhusu akaamua kumtwanga unaibu Waziri Mkuu ili awe nyapara wa kila eneo!!!
 
Uliwahi kumshauri Rais Magufuli kwa kutumia proper channel za kiutawala na akakataa ushauri wako au na wewe unalalamikana na kulalama tu wakati hujui hata proper channels za kutolea ushauri wako.

Nani alikudanganya kama Rais Mwinyi hakulalamika wakati wa utawala wake

Ninakumbuka baada ya kuanza kazi alianza kulalamika akitoa mfano wa mtu ambaye wenziwe wamemsadia kupanda juu ya mti na kisha kumtelekeza ilihali chini kuna machupa.

Pale ubungo alisemaje?
 
Kama yeye hakuwepo Tz wakati kawa waziri na naibu kwa miaka 15
 
Uliwahi kumshauri Rais Magufuli kwa kutumia proper channel za kiutawala na akakataa ushauri wako au na wewe unalalamikana na kulalama tu wakati hujui hata proper channels za kutolea ushauri wako.

Nani alikudanganya kama Rais Mwinyi hakulalamika wakati wa utawala wake

Ninakumbuka baada ya kuanza kazi alianza kulalamika akitoa mfano wa mtu ambaye wenziwe wamemsadia kupanda juu ya mti na kisha kumtelekeza ilihali chini kuna machupa.

anashaurika kwani? You CCM ni shirikisho la Majizi tu
 
Ukimsikia anavyo lalamika na kuongea kwa uchungu unaweza fikiri ndie Rais aliepewa mzigo mkubwa kuliko wote katika historia ya Tanzania kumbe sivyo kabisa

Kama Rais Ally Hassan Mwinyi angekuwa na 'kipaji cha kulia na kulalamika' kwa uchungu basi sijui ingekuaje.

Mwinyi aliikuta...
Nchi imefilisika kabisa.
Chakula hakuna mvua hazinyeshi.
wananchi wanapanga foleni kupata unga wa njano wa msaada kutoka USA..
maarufu ugali wa Yanga.
sigara na bia zinaweza kukupeleka polisi.

Nchi ilikuwa hali mbaya mno kutoka Dar hadi Mbeya siku tatu jinsi barabara ilivyo mbovu.

Ruvuma kuja Dar njiani siku tano, huko Lindi na Mtwara ni meli tu hata mabasi hayafiki mishahara ndo kabisa hakuna.Watu kukaa miezi mitatu bila mishahara ni kawaida.

Sabuni hakuna watu hadi wakawa wagunduzi wa majani ya mipapai kufulia
viatu ndo usiseme tunavaa katambuga vipande vya matari ya magari.

Hali ilikuwa mbaya kupita maelezo lakini Rais Mwinyi hakuwahi hata mara moja.

Kulia kuwa 'kapewa mzigo mzito' wala kumlaumu mtangulizi wake Mwinyi alikuwa 'anatabasam' tu huku anatatua tatizo moja hadi lingine.

Wananchi walikuwa wala hawahamasishwi kumsiikiliza Rais akihutubia, alionyesha 'uongozi' kimya kimya tu hadii mambo yakabadilika.

Sifa ya kiongozi sio kulialia na kulalamika kila mara.Hizo ni sifa za wanaharakati ambao hupenda kuwachota wananchi kwa kuwatia uchungu na kuwaonesha adui wao ambae pengine wala sio adui wao kweli mradi tu 'mhusika ajitoe lawama' ya kushindwa kuja na solution ya matatizo yaliyopo.

Ndo maana wanaharakati wengi hushindwa kabisa kuongoza wakipewa nafasi imetokea mara nyingi wala sio kitu kipya.
4b9487b0fd298a7d3400a75f5b68de72.jpg
 
Jamaa kachanganyikiwa!! Hakuna pesa na ilani haitekelezeki anaanzisha drama!!

Kibaya zaidi hizi drama na wazungu zinahitaji akili na utulivu zaidi
kuliko emotions na kuonewa huruma
hakuna tutakachokipata....zaidi ya hasara ingine
 
Tatizo la mtanzani hata ufanye nini kibaya ila ukitoka madarakani tu utasikia bora aliyetoka Mara tunakukumbuka Tanzania bana jinga sana
 
Ukimsikia anavyo lalamika na kuongea kwa uchungu unaweza fikiri ndie Rais aliepewa mzigo mkubwa kuliko wote katika historia ya Tanzania kumbe sivyo kabisa

Kama Rais Ally Hassan Mwinyi angekuwa na 'kipaji cha kulia na kulalamika' kwa uchungu basi sijui ingekuaje.

Mwinyi aliikuta...
Nchi imefilisika kabisa.
Chakula hakuna mvua hazinyeshi.
wananchi wanapanga foleni kupata unga wa njano wa msaada kutoka USA..
maarufu ugali wa Yanga.
sigara na bia zinaweza kukupeleka polisi.

Nchi ilikuwa hali mbaya mno kutoka Dar hadi Mbeya siku tatu jinsi barabara ilivyo mbovu.

Ruvuma kuja Dar njiani siku tano, huko Lindi na Mtwara ni meli tu hata mabasi hayafiki mishahara ndo kabisa hakuna.Watu kukaa miezi mitatu bila mishahara ni kawaida.

Sabuni hakuna watu hadi wakawa wagunduzi wa majani ya mipapai kufulia
viatu ndo usiseme tunavaa katambuga vipande vya matari ya magari.

Hali ilikuwa mbaya kupita maelezo lakini Rais Mwinyi hakuwahi hata mara moja.

Kulia kuwa 'kapewa mzigo mzito' wala kumlaumu mtangulizi wake Mwinyi alikuwa 'anatabasam' tu huku anatatua tatizo moja hadi lingine.

Wananchi walikuwa wala hawahamasishwi kumsiikiliza Rais akihutubia, alionyesha 'uongozi' kimya kimya tu hadii mambo yakabadilika.

Sifa ya kiongozi sio kulialia na kulalamika kila mara.Hizo ni sifa za wanaharakati ambao hupenda kuwachota wananchi kwa kuwatia uchungu na kuwaonesha adui wao ambae pengine wala sio adui wao kweli mradi tu 'mhusika ajitoe lawama' ya kushindwa kuja na solution ya matatizo yaliyopo.

Ndo maana wanaharakati wengi hushindwa kabisa kuongoza wakipewa nafasi imetokea mara nyingi wala sio kitu kipya.
Huna damu wewe[emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom