Magufuli sio kiongozi, ni mwanaharakati tu kama wengine

Akibadili kifungu cha katiba na kuruhusu maraisi wastaafu kushitakiwa nitaamini yupo siriazi

Akibadili tu ninakupa beer leo,maana kubadili hata nukta maana yake na yeye atashtakiwa kwa maajabu yake.Kivuko kibovu,Barabara substandard,Mikataba ya ununuzi wa ndege,uwanja wa ndege wa chato,matumizi mabaya ya madaraka

Duh sidhani kama atapagusa hapo
 
Ukimsikia anavyo lalamika na kuongea kwa uchungu unaweza fikiri ndie Rais aliepewa mzigo mkubwa kuliko wote katika historia ya Tanzania kumbe sivyo kabisa

Kama Rais Ally Hassan Mwinyi angekuwa na 'kipaji cha kulia na kulalamika' kwa uchungu basi sijui ingekuaje.

Mwinyi aliikuta...
Nchi imefilisika kabisa.
Chakula hakuna mvua hazinyeshi.
wananchi wanapanga foleni kupata unga wa njano wa msaada kutoka USA..
maarufu ugali wa Yanga.
sigara na bia zinaweza kukupeleka polisi.

Nchi ilikuwa hali mbaya mno kutoka Dar hadi Mbeya siku tatu jinsi barabara ilivyo mbovu.

Ruvuma kuja Dar njiani siku tano, huko Lindi na Mtwara ni meli tu hata mabasi hayafiki mishahara ndo kabisa hakuna.Watu kukaa miezi mitatu bila mishahara ni kawaida.

Sabuni hakuna watu hadi wakawa wagunduzi wa majani ya mipapai kufulia
viatu ndo usiseme tunavaa katambuga vipande vya matari ya magari.

Hali ilikuwa mbaya kupita maelezo lakini Rais Mwinyi hakuwahi hata mara moja.

Kulia kuwa 'kapewa mzigo mzito' wala kumlaumu mtangulizi wake Mwinyi alikuwa 'anatabasam' tu huku anatatua tatizo moja hadi lingine.

Wananchi walikuwa wala hawahamasishwi kumsiikiliza Rais akihutubia, alionyesha 'uongozi' kimya kimya tu hadii mambo yakabadilika.

Sifa ya kiongozi sio kulialia na kulalamika kila mara.Hizo ni sifa za wanaharakati ambao hupenda kuwachota wananchi kwa kuwatia uchungu na kuwaonesha adui wao ambae pengine wala sio adui wao kweli mradi tu 'mhusika ajitoe lawama' ya kushindwa kuja na solution ya matatizo yaliyopo.

Ndo maana wanaharakati wengi hushindwa kabisa kuongoza wakipewa nafasi imetokea mara nyingi wala sio kitu kipya.

Kipindi cha Mwinyi hatukuwa na jamii forum kama ilivyo sasa, na uhuru wa kuongea haukuwepo kama ilivyo sasa.
 
Akibadili tu ninakupa beer leo,maana kubadili hata nukta maana yake na yeye atashtakiwa kwa maajabu yake.Kivuko kibovu,Barabara substandard,Mikataba ya ununuzi wa ndege,uwanja wa ndege wa chato,matumizi mabaya ya madaraka

Duh sidhani kama atapagusa hapo
Mimi naomba unipe kitu kitamu sio bia
 
Ajabu ni kuwa hata yeye anashangaa.... Utadhani kashuka kutoka Sayari nyingine. Kumbe yote yalipokuwa yanaamuliwa alikuwepo. Ajabu zaidi, mikataba anayoingia yeye ni siri kama walivyofanya wengine.
Mimi nilivyomwangalia jana nikajua ni malaika aliyeshuka kutoka mbinguni jana kumbe ni kiongozi katika serikali hii kwa zaidi ya miaka 20!
 
The Boss,

Hayo mambo acha tu!!!

Mimi mama yangu ni mtu wa Lindi! Enzi hizo tupo wadogo ikabidi twende likizo kule! HUwezi amini nini kilitukuta!!!

Tulitoka Lindi kurudi Dar es salaam wiki moja kabla ya mashule kufunguliwa!!!

Hadi tunafika Dar sister tayari alikuwa amechelewa wiki mbili... which means, Lindi ambayo ni safari ya saa 5-6 ilituchukua wiki 3!!!!!

"Better" option ilikuwa kupitia Songea! Sasa hebu fikiria... Songea na Lindi wapi na wapi!!!!

Lakini hata ukisema upite barabara ya Songea; ilikuwa kutoka Masasi hadi kuipata Songea mnaweza kutumia siku 2 hadi 3!!!

Ulichosema ni ukweli mtupu!!! Bwana Mkubwa huyu ndo angeikuta Tanzania ile sijui angefanyaje!!

Na anavyoboa utadhani kuna mtu alimlazimisha!! Always trying act cry innocent aliyebebeshwa zigo as if kuna mtu alimlazimisha!!!

Kapewa nchi almost mahitaji yote muhimu bado analilia wakati akina Mwinyi wameingia madarakani wakikuta mkoa mzima una shule chini ya 5 za sekondari!!!!

Li-Dar es salaam lote hili nalo shule zilikuwa zinahesabika!!!

Nahisi kina Mwinyi huwa wanamshangaa anaposema kapewa mzigo mkubwa
ni kama vile wanatamani kumwambia 'acha masihara'...

But Mwinyi ni kiongozi ndo maana hakulalamika wala hakatai lawama anazopewa
ukubwa jaa walisema wahenga

huyu hataki tumpe lawama hata moja ..anataka tumuombee na kumsifia tu
 
Ukimsikia anavyo lalamika na kuongea kwa uchungu unaweza fikiri ndie Rais aliepewa mzigo mkubwa kuliko wote katika historia ya Tanzania kumbe sivyo kabisa

Kama Rais Ally Hassan Mwinyi angekuwa na 'kipaji cha kulia na kulalamika' kwa uchungu basi sijui ingekuaje.

Mwinyi aliikuta...
Nchi imefilisika kabisa.
Chakula hakuna mvua hazinyeshi.
wananchi wanapanga foleni kupata unga wa njano wa msaada kutoka USA..
maarufu ugali wa Yanga.
sigara na bia zinaweza kukupeleka polisi.

Nchi ilikuwa hali mbaya mno kutoka Dar hadi Mbeya siku tatu jinsi barabara ilivyo mbovu.

Ruvuma kuja Dar njiani siku tano, huko Lindi na Mtwara ni meli tu hata mabasi hayafiki mishahara ndo kabisa hakuna.Watu kukaa miezi mitatu bila mishahara ni kawaida.

Sabuni hakuna watu hadi wakawa wagunduzi wa majani ya mipapai kufulia
viatu ndo usiseme tunavaa katambuga vipande vya matari ya magari.

Hali ilikuwa mbaya kupita maelezo lakini Rais Mwinyi hakuwahi hata mara moja.

Kulia kuwa 'kapewa mzigo mzito' wala kumlaumu mtangulizi wake Mwinyi alikuwa 'anatabasam' tu huku anatatua tatizo moja hadi lingine.

Wananchi walikuwa wala hawahamasishwi kumsiikiliza Rais akihutubia, alionyesha 'uongozi' kimya kimya tu hadii mambo yakabadilika.

Sifa ya kiongozi sio kulialia na kulalamika kila mara.Hizo ni sifa za wanaharakati ambao hupenda kuwachota wananchi kwa kuwatia uchungu na kuwaonesha adui wao ambae pengine wala sio adui wao kweli mradi tu 'mhusika ajitoe lawama' ya kushindwa kuja na solution ya matatizo yaliyopo.

Ndo maana wanaharakati wengi hushindwa kabisa kuongoza wakipewa nafasi imetokea mara nyingi wala sio kitu kipya.
Huyu jamaa sadist tuuu.... anaongozwa na hisia kuliko uhalisia....

Magufuli anadhihirisha wazi urais unampwaya mno....
 
Wew na posti yako mtakua mmerogwaaa
 
Ni msanii tu kama alivyowahi kusema Tundu Lissu.

Na kwa taarifa yake tutakapo anza kujadili mikataba ya Madini, tutaomba tujadili na mkataba wa Ndege alizo agiza kununuliwa..nasikia kuna ufisadi mwingi sana mule
ee e e e ..................! kwani ndege zimelipwa?
 
The Boss,

Hayo mambo acha tu!!!

Mimi mama yangu ni mtu wa Lindi! Enzi hizo tupo wadogo ikabidi twende likizo kule! HUwezi amini nini kilitukuta!!!

Tulitoka Lindi kurudi Dar es salaam wiki moja kabla ya mashule kufunguliwa!!!

Hadi tunafika Dar sister tayari alikuwa amechelewa wiki mbili... which means, Lindi ambayo ni safari ya saa 5-6 ilituchukua wiki 3!!!!!

"Better" option ilikuwa kupitia Songea! Sasa hebu fikiria... Songea na Lindi wapi na wapi!!!!

Lakini hata ukisema upite barabara ya Songea; ilikuwa kutoka Masasi hadi kuipata Songea mnaweza kutumia siku 2 hadi 3!!!

Ulichosema ni ukweli mtupu!!! Bwana Mkubwa huyu ndo angeikuta Tanzania ile sijui angefanyaje!!

Na anavyoboa utadhani kuna mtu alimlazimisha!! Always trying act cry innocent aliyebebeshwa zigo as if kuna mtu alimlazimisha!!!

Kapewa nchi almost mahitaji yote muhimu bado analilia wakati akina Mwinyi wameingia madarakani wakikuta mkoa mzima una shule chini ya 5 za sekondari!!!!

Li-Dar es salaam lote hili nalo shule zilikuwa zinahesabika!!!

Enzi hizo tunaishi Kurasini, shule St. Anthony's... basi mvua zikichanganya mnalazimika kuteremkia Mtongani manake unakuta kuanzia pale reli inapopita juu hadi Mission hapapitiki!!
Kiufupi Magufuli amefeli. Anachokifanya ni ku buy sympathy tu ili kuficha failure yake....

Jiulize why tangu aingie na marekebisho yake TRA imerudi nyuma kimapato zaidi ya huko nyuma?

Budget kutekelezwa chini ya 40% ni total failure!
 
Kwa rais ambaye ameshangaa madudu yaliyofanywa na watangulizi wake kwa kigezo cha katiba mbovu,ilitosha jana ile ile kuendeleza rasimu ya katiba ya warioba kama anaipenda Tanzania ijayo.
Mawazo ya mtu mmoja mmoja kwa mujibu wa ripoti ya ossoro ndio kimekua chanzo cha upuuzi wa wizara ya madini.
 
Nahisi kina Mwinyi huwa wanamshangaa anaposema kapewa mzigo mkubwa
ni kama vile wanatamani kumwambia 'acha masihara'...

But Mwinyi ni kiongozi ndo maana hakulalamika wala hakatai lawama anazopewa
ukubwa jaa walisema wahenga

huyu hataki tumpe lawama hata moja ..anataka tumuombee na kumsifia tu
Sio wanatamani kumwambia "acha masihara" bila shaka wanatamani hata kumtukana!!!

Tatizo kakulia shamba ambako kila jambo lilikuwa linaonekana la kawaida!!!

Hafahamu Dar es salaam pamoja na kuwa na magari mengi kuliko mji wowote lakini bado watu tulikuwa tunaujua mlio/mngurumo wa magari ya ugawaji hata kama linapita umbali wa meta mia kadhaa to a kilometer nje ya upeo wa macho yako!!!

Just kwa mngurumo, unajua kabisa gari ya ugawaji hiyoooooo inakuja... mnaanza kukimbizana mkapate japo kilo moja ya sukari na hapo hapo unakamatiwa ununue na kiberiti!!
 
Uliwahi kumshauri Rais Magufuli kwa kutumia proper channel za kiutawala na akakataa ushauri wako au na wewe unalalamikana na kulalama tu wakati hujui hata proper channels za kutolea ushauri wako.

Nani alikudanganya kama Rais Mwinyi hakulalamika wakati wa utawala wake

Ninakumbuka baada ya kuanza kazi alianza kulalamika akitoa mfano wa mtu ambaye wenziwe wamemsadia kupanda juu ya mti na kisha kumtelekeza ilihali chini kuna machupa.
Magufuli ni failure! Anajaribu kuzima kelele za kufeli kwa budget iliyopita.
 
Back
Top Bottom