Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.

Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora, shupavu, jasiri, Mzalendo na Mchapakazi.

Katika nchi nyingi, RAIA na viongozi wanamtazama Magufuli kama kiongozi bora wa mfano wa kuigwa katika ulinzi wa Rasilimali na Maendeleo ya nchi.

Tungekuwa na uchaguzi wa RAIS wa Afrika, JPM angeshinda kwa kura nyingi maana Afrika inamhitaji kuliko yeye anavyoihitaji Afrika.

Hizi rekodi zake haziwezi kufikiwa na Rais mwingine yeyote wa Afrika hivyo kumpambanua kama kiongozi bora wa karne hii:
1. Kuongoza nchi ya kiafrika kwa miaka mitano bila kukanyaga Ulaya, Amerika wala Asia hivyo kupunguza gharama za uendeshaji serikalini na kuepuka mikataba ya uporaji rasilimali za nchi.
2. Kuzuia safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma ili viongozi wawatumikie wananchi
3. Kudhibiti biashara ya madawa ya kulevya nchini
4. Kudhibiti ujangili hivyo kulinda rasilimali za nchi na kukuza utalii
5. Kujenga ukuta ili kulinda rasilimali madini, matunda yake ni upatikanaji wa mawe makubwa ya Tanzanite kupitia mtanzania Laizer. Tanzania itaongoza kwa uuzaji wa Tanzanite tofauti na awali ambako Kenya, Afrika ya kusini na India zilijinufaisha kutuibia madini hayo. Faida ya ukuta huo ni kuongeza pato LA Taiga, ajira na kukuza uchumi.
6. Kutumia wasomi na Elimu zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi. Mfano Prof. Kitila, Kafulila, Mtatito
7. Kufufua shirika LA ndege kwa kutumia cash money, Nchi kumiliki ndege zake ni usalama kwa nchi, na kukuza uchumi kupitia ajira na biadhara.
8. Kubadili mfumo wa mashirika ya umma kutoka kuomba ruzuku hadi kutoa gawio. Mashirika yetu sasa kama TTCL, STAMICO, TANAPA, KADCO, yanajiendesha kwa faida na gawio lake hutumika kukenga miundo mbinu na kuboresha huduma za jamii kama Elimu, maji, usafiri na afya.
9. Kusimamia uwajibikaji wa viongozi wa umma. Viongozi kwa sasa huudumia RAIA na kutatua kero zao.RAIA anaweza kuongea na mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, mkurugenzj au waziri na kutatuliwa kero yake.
10. Kuwaminya mabeberu hadi kukubali kukaa meza ya mazungumzo ili kutupatia Hisa na gawio LA mapato ya madini. Mwezi huu Oktoba, tumepata gawio LA bilioni 100 kutokana na faida ya madini.
11. Kuboresha miundo mbinu na usafiri wa anga, barabara, majini na reli. Nchi nzima imejengwa na kazi inaendelea
12. Kukomesha mgao wa umeme na kuongeza uzalishaji wa umeme. Mchezo wa kufungulia mabwawa ili kutengeneza mgawo wa umeme, umedhibitiwa. Mradi wa Stiglers Gorge ukikamilika, nchi itauza umeme nchi.
13. Kupambana na Covid-19 kidete hadi kuirejesha Tanzania katika hali ya kawaida na sasa maisha yanaendelea vyema. Nchi jirani mpaka sasa hawajafungua shule wala vyuo na uzalishaji umeshuka
14. Kuimarisha mifumo ya Uthibiti ubora wa Elimu kwa kuimarisha NACTE, NECTA, SQA, TCU n.k. Elimu inazidi kuimarika
15. Kuimarisha huduma za afya na Bima ya Afya, sasa hivi wenye bima wanapokelewa kama wafalme hospitalini, zamani tuliwekwa benchi. Hospitali zetu sasa zinapandikiza figo na kufanya upasuaji mkubwa. Hatuhitaji tena kupeleka wagonjwa India kama zamani.
16. Kuimarisha michezo na usimamizi hivyo wachezaji wananufaika na jasho lao na timu zetu zinafanya vizuri. Ndani ya miaka mitano ya JPM Tanzania imecheza AFCON, ilifuzu CHAN, simba ilifika robo fainali. Soko LA soka mpira biriani kwa afrika mashariki na kati ni Tanzania na nchi yetu ndiyo yenye ligi bora zaidi.
17. Heshima ya Tanzania kama Taifa imerejea, hakuna Nchi inayotuchezea tena. Mipaka IPO salama na tunatembea kifua mbele ndani na nje ya Afrika.
18. Kilimo kimeimarishwa hivyo nchi imeongeza uzalishaji, hakuna njaa tena nchini. Tanzania ndiyo inayouzia chakula mashirika ya umoja wa mataifa.
19. Imani ya wananchi kwa CCM imeongezeka na sasa wana CCM wanazaa sare zao hadharani tofauti na 2013-2014 ambako MTU angepita na sare ya CCM, angezomewa au ingechanwa.
20. Mheshimiwa Magufuli ni Mgombea jasiri, mzalendo na Mchapakazi, yupo kwaajili ya maslahi ya nchi na maendeleo ya Nchi. AMETEKELEZA KWA KISHINDO, TUSONGE NAYE PAMOJA (2020-2025) KWA KUMPIGIA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28.
Kwa sababu hizo na zinginezo, Waafrika wanatutegemea sana watanzania tumpe Ushindi wa Kishindo DR. JPM kwa ustawi wa Tanzania na Afrika nzima. CHAGUA JPM, CHAGUA MAENDELEO.
Please write some meaningful, educative and thoughtful articles which can convince some swing voters to make an informed decision ...
 
3456890.jpg
 
Umewahi kujiuliza sababu za idadi kubwa ya watu bila ushawishi wa wasanii wanaomuunga mkono Tundu lissu wanahitaji nini?
Unadhani hizo rekodi zimewasaidia?

Kisha jiulize kwanini nguvu kubwa inatumika kumdhibiti Lissu.

Lakini jifikirie vizuri ikiwa utashinda huu uchaguzi unatakiwa uwafanyie nini wanannchi.
 
Usidanganywe na kelele za Mabeberu, JPM ndiye Rais bora Afrika
Nimekuongeza kwenye ignore list, hakuna asiyejua we ni moja ya lile kundi la jiwe special kwa ajili ya kusambaza use***e kwenye social media zote, mnalipwa kudanganya watanzania, hivyo vihela mnahisi vitawatajirisha? badala ya kufikiria future yenu na watoto wenu nchi iendelee mmekaa mnafikiria siku mbili mbele, shenzi kabisa. Usijisumbua kureply sitoona reply yako after hii message unaingia kwenye blocklist
 
Tena kusambaza us**nge usio na maana
 
Kwa sababu hizo na zinginezo, Waafrika wanatutegemea sana watanzania tumpe Ushindi wa Kishindo DR. JPM kwa ustawi wa Tanzania na Afrika a njaa ma kijipendekeza

Unajitoa akili kisa njaa ya madaraka na kujipedekeza
 
Tena kusambaza us**nge usio na maana
Kupata mgombea wakala wa mabeberu tu, mnaanza matusi, je mkipewa ukuu wa mkoa si itakuwa balaaa?. Mazuri ya JPM, kila mtanzania anayaona, Afrika inayaona na dunia inajua. Ondoa upofu uone mema na mafanikio ya JPM 2015-2020 ili tarehe 28, usiharibu kura yako. Chagua Magufuli, Chagua Maendeleo
 
Ni sahihi kabisa kilichobaki ni sisi kwenda kuimalizia hii open test kwa kumpa Magufuli kura nyingi za ndio.

October 28th kura zote za ndio ni kwa Magufuli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nimekuongeza kwenye ignore list, hakuna asiyejua we ni moja ya lile kundi la jiwe special kwa ajili ya kusambaza use***e kwenye social media zote, mnalipwa kudanganya watanzania, hivyo vihela mnahisi vitawatajirisha? badala ya kufikiria future yenu na watoto wenu nchi iendelee mmekaa mnafikiria siku mbili mbele, shenzi kabisa. Usijisumbua kureply sitoona reply yako after hii message unaingia kwenye blocklist
Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe, Tumuunge Mkono JPM kwa Maendeleo ya Nchi. Ukimnyima kura, vizazi vyako vitakuja kukushangaa na kufukua kaburi lako kukuchapa viboko.
Leo hii Libya, wanatamani kumfufua Ghadafi, mema ya nchi yametoweka kabisa kwa upuuzi na ulimbukeni wa kuwaamini mabeberu
 
Kwa unafiq Mungu kakupa kipaji
Mr. Sangatiti wa Three Suitors One Husband usifanye makosa kura yako ni muhimu sana tafadhali mpigie kura Magufuli kwa maendeleo ya Tanzania.

Miaka mitano ijayo ni maendeleo myatarajiayo mazuri zaidi yanakuja.

October 28th kura zote za ndio apewe Magufuli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe, Tumuunge Mkono JPM kwa Maendeleo ya Nchi. Ukimnyima kura, vizazi vyako vitakuja kukushangaa na kufukua kaburi lako kukuchapa viboko.
Leo hii Libya, wanatamani kumfufua Ghadafi, mema ya nchi yametoweka kabisa kwa upuuzi na ulimbukeni wa kuwaamini mabeberu
John Pombe Joseph Magufuli kipenzi cha watanzania
 
Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.

Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora, shupavu, jasiri, Mzalendo na Mchapakazi.

Katika nchi nyingi, RAIA na viongozi wanamtazama Magufuli kama kiongozi bora wa mfano wa kuigwa katika ulinzi wa Rasilimali na Maendeleo ya nchi.

Tungekuwa na uchaguzi wa RAIS wa Afrika, JPM angeshinda kwa kura nyingi maana Afrika inamhitaji kuliko yeye anavyoihitaji Afrika.

Hizi rekodi zake haziwezi kufikiwa na Rais mwingine yeyote wa Afrika hivyo kumpambanua kama kiongozi bora wa karne hii:
1. Kuongoza nchi ya kiafrika kwa miaka mitano bila kukanyaga Ulaya, Amerika wala Asia hivyo kupunguza gharama za uendeshaji serikalini na kuepuka mikataba ya uporaji rasilimali za nchi.
2. Kuzuia safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma ili viongozi wawatumikie wananchi
3. Kudhibiti biashara ya madawa ya kulevya nchini
4. Kudhibiti ujangili hivyo kulinda rasilimali za nchi na kukuza utalii
5. Kujenga ukuta ili kulinda rasilimali madini, matunda yake ni upatikanaji wa mawe makubwa ya Tanzanite kupitia mtanzania Laizer. Tanzania itaongoza kwa uuzaji wa Tanzanite tofauti na awali ambako Kenya, Afrika ya kusini na India zilijinufaisha kutuibia madini hayo. Faida ya ukuta huo ni kuongeza pato LA Taiga, ajira na kukuza uchumi.
6. Kutumia wasomi na Elimu zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi. Mfano Prof. Kitila, Kafulila, Mtatito
7. Kufufua shirika LA ndege kwa kutumia cash money, Nchi kumiliki ndege zake ni usalama kwa nchi, na kukuza uchumi kupitia ajira na biadhara.
8. Kubadili mfumo wa mashirika ya umma kutoka kuomba ruzuku hadi kutoa gawio. Mashirika yetu sasa kama TTCL, STAMICO, TANAPA, KADCO, yanajiendesha kwa faida na gawio lake hutumika kukenga miundo mbinu na kuboresha huduma za jamii kama Elimu, maji, usafiri na afya.
9. Kusimamia uwajibikaji wa viongozi wa umma. Viongozi kwa sasa huudumia RAIA na kutatua kero zao.RAIA anaweza kuongea na mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, mkurugenzj au waziri na kutatuliwa kero yake.
10. Kuwaminya mabeberu hadi kukubali kukaa meza ya mazungumzo ili kutupatia Hisa na gawio LA mapato ya madini. Mwezi huu Oktoba, tumepata gawio LA bilioni 100 kutokana na faida ya madini.
11. Kuboresha miundo mbinu na usafiri wa anga, barabara, majini na reli. Nchi nzima imejengwa na kazi inaendelea
12. Kukomesha mgao wa umeme na kuongeza uzalishaji wa umeme. Mchezo wa kufungulia mabwawa ili kutengeneza mgawo wa umeme, umedhibitiwa. Mradi wa Stiglers Gorge ukikamilika, nchi itauza umeme nchi.
13. Kupambana na Covid-19 kidete hadi kuirejesha Tanzania katika hali ya kawaida na sasa maisha yanaendelea vyema. Nchi jirani mpaka sasa hawajafungua shule wala vyuo na uzalishaji umeshuka
14. Kuimarisha mifumo ya Uthibiti ubora wa Elimu kwa kuimarisha NACTE, NECTA, SQA, TCU n.k. Elimu inazidi kuimarika
15. Kuimarisha huduma za afya na Bima ya Afya, sasa hivi wenye bima wanapokelewa kama wafalme hospitalini, zamani tuliwekwa benchi. Hospitali zetu sasa zinapandikiza figo na kufanya upasuaji mkubwa. Hatuhitaji tena kupeleka wagonjwa India kama zamani.
16. Kuimarisha michezo na usimamizi hivyo wachezaji wananufaika na jasho lao na timu zetu zinafanya vizuri. Ndani ya miaka mitano ya JPM Tanzania imecheza AFCON, ilifuzu CHAN, simba ilifika robo fainali. Soko LA soka mpira biriani kwa afrika mashariki na kati ni Tanzania na nchi yetu ndiyo yenye ligi bora zaidi.
17. Heshima ya Tanzania kama Taifa imerejea, hakuna Nchi inayotuchezea tena. Mipaka IPO salama na tunatembea kifua mbele ndani na nje ya Afrika.
18. Kilimo kimeimarishwa hivyo nchi imeongeza uzalishaji, hakuna njaa tena nchini. Tanzania ndiyo inayouzia chakula mashirika ya umoja wa mataifa.
19. Imani ya wananchi kwa CCM imeongezeka na sasa wana CCM wanazaa sare zao hadharani tofauti na 2013-2014 ambako MTU angepita na sare ya CCM, angezomewa au ingechanwa.
20. Mheshimiwa Magufuli ni Mgombea jasiri, mzalendo na Mchapakazi, yupo kwaajili ya maslahi ya nchi na maendeleo ya Nchi. AMETEKELEZA KWA KISHINDO, TUSONGE NAYE PAMOJA (2020-2025) KWA KUMPIGIA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28.
Kwa sababu hizo na zinginezo, Waafrika wanatutegemea sana watanzania tumpe Ushindi wa Kishindo DR. JPM kwa ustawi wa Tanzania na Afrika nzima. CHAGUA JPM, CHAGUA MAENDELEO.
Ni hiyo wanayoiita demokrasia tu, ila uchaguzi huu ulitakiwa usiwepo tuokoe fedha zetu.
Maana tuliyokuwa tunayahitaji yanafanyika, Rais mwingine kwa wakati huu wa nini sasa?
 
Wewe asili yako ni wapi?. Makabila asiliya ya Tanzania ni mawili tu, Wahadzabe na Wasandawe, mengine yote ni wahamiaji. Ulizia vizuri Historia ya Tanzania. Ndomaana nakwambia, akili za kuambiwa uwe unachanganya na zako. Chagua Magufuli, chagua Maendeleo
Weka ushahidi kwamba sio mhutu kutoka Burundi
 
Angalau wewe ni mzalendo umekiri kwamba CCM imetekeleza sehemu ya ahadi zake. Tupe nafasi ya pili Ili kumalizia hayo mapengo yaliuobakia.
Changamoto zilikwamisha tusifikie 100% ya utekelezaji ahadi. Hujuma za wapinzani, hujuma za Mabeberu, Korona n.k, vilichangia. Lakini tumepambana kiume mpaka hatua hiyo.
Chagua Magufuli, chagua Maendeleo
 
Back
Top Bottom