Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

Ukiona miccm inatetea udikiteta udhalimu unyanyasaji uonevu uovu wa utawala huu wa kinyama jua moja kwa moja ni wale wanufaika kwa njia moja au nyingine, maana kupitia haya mateso manyanyaso wapo wanufaika wakubwa na endapo hakuna manyanyaso wanakosa pa kujipatia Rushwa na pesa zingine haramu kwa njia za kishetani
 
Nikuletee uthibitisho hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda ukivuta Bangi au unataka nikuletee wapi?
Kwani CHADEMA hizo ubongo zenu zimejaa jazba, maneno machafu tuu na mitusi
Acheni kupanic 28102020 sio mbali
 
Kuna miccm imejitajirisha sana kupitia vitisho mikwara mikwara ya mtukufu mwenyekiti wa CCM, hutumia fursa hizo kujipatia pesa kwa njia haramu za kishetani na hao ndiyo kutwa hushinda mitandaoni kumtetea kwa nguvu kubwa
 
hatari sanaa.mim wala sina neno na mafanikio.ila huwa nawaza tu upande ule kwanza mgombea wetu alikua Ulaya miaka 3 sijui god only knows alikua anapanga kitu gani??
je mziki wa makinikia aje hapa mwana jf aseme mgombea wetu Lissu ange deal vipina ishu ya makinikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani CHADEMA hizo ubongo zenu zimejaa jazba, maneno machafu tuu na mitusi
Acheni kupanic 28102020 sio mbali
Kwani bongo za miccm zimeenda wapi mpaka kutetea uonevu uovu wa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?
 
hatari sanaa.mim wala sina neno na mafanikio.ila huwa nawaza tu upande ule kwanza mgombea wetu alikua Ulaya miaka 3 sijui god only knows alikua anapanga kitu gani??
je mziki wa makinikia aje hapa mwana jf aseme mgombea wetu Lissu ange deal vipina ishu ya makinikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikataba mipya ya madini ni siri kubwa imejaa ujanja mwingi na mnufaika ni huyo mwenye nayo ukitaka taarifa subiria atoke ikulu ndipo utakuja kushangaa vituko
 
Unabana matumizi Safari za nje, sherehe then unazipeleka kununua wapinzani, kurudia chaguzi za marudio hapa umeokoa vipi fedha,si Bora wasafiri nje wapate exposure
Wewe, hapo amebana. Vinginevyo nje angekwenda, na hizi zingetumika.
 
Back
Top Bottom