Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

Basi kwavile Tanzania na Africa anahtajika .nashauri akagombee Africa. Hapa Tanzania aachie wengne
 
Wewe asili yako ni wapi?. Makabila asiliya ya Tanzania ni mawili tu, Wahadzabe na Wasandawe, mengine yote ni wahamiaji. Ulizia vizuri Historia ya Tanzania. Ndomaana nakwambia, akili za kuambiwa uwe unachanganya na zako. Chagua Magufuli, chagua Maendeleo
Alichaguliwa ni kuendeleza mauaji, utekaji, ukabila na ufisadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom