francismihiga
Member
- Jul 11, 2015
- 19
- 4
Mfumo ni MTU akiwa mchapa kazi kweli kweli hana matajiri wanao mzunguka yanawezekana msidanganye watu Maghufu Jembe kila MTU atakaa sawa waliokuwa hawatampenda ni mafisadi na majizi yaliyozoe njia ya mkato .
Tupe update mkuu maana naona umekimbiaNi kweli changamoto atakutana nazo, but Magufuli ni jembe namuamini chini yake mambo yataenda sawa na nchi itanyoooka
sema na saaaNi kweli changamoto atakutana nazo, but Magufuli ni jembe namuamini chini yake mambo yataenda sawa na nchi itanyoooka