Ishiii tumtoe Magufuli aje nani sasa Membe au Lissu, peleka huko hawa binadamu hawatufai aiseiMtu aliyeshikilia power hapumziki kwa kuambiwa "pumzika sasa".
Anapumzishwa kwa lazima.
Piga kampeni atolewe urais kwa kura, pigia kampeni unayeona atafaa.
Yaani Magufuli ampumzike nani aongoze Membe au Mbowe..?Kuna sababu kura haina nguvu.
Kampeni ya kumuondoa kwa kura si kupiga kura tu, ni pamoja na kuipa nguvu kura.
Kwa mfano, kama Tume ya Uchaguzi inatumika kubadili kura, mabadiliko ya tume ya uchaguzi nayo yanatakiwa kuwa katika kampeni.
Bottom line, kumwambia Magufuli apumzike kwa hiyari yake, ukitegemea akusikilize na kukubali, ni biashara kichaa.
Tulia sindano ikukoleemods naomba futa takataka hii...wewe kazi kulialia kama dem...kaa na umaskini wako maana naona maisha yamekushinda wakati maenei ya kulima yapo tele..pia hata hayo yamekushinda
Hakuna povu wala nini, wewe ni mbumbumbu tu usiye jitambua na JPM hatafika popoteTutafika tu,
Ivi kwanin kila mara mnazungumzia democracy? Ukweli toka moyoni mwangu si muumini wa neno hili DEMOKRASIA, ni mipango michafu sana za mataifa ya magharibi kuendelea kuzitawala nchi nchi nyingi za Kiafrika kwa kutumia makundi kinzani na serikali zilizowekwa na pendekezwa na wananchi wake kuliongoza taifa lake kwa misingi yake na tamaduni zake, hapo sasa ndipo mataifa ya magharibi kutumia vikundi kinzani au vyama pinzani kuvuruga hali ya kiusalama ndani ya taifa kwa kile kinachoitwa serikali haifuati DEMOKRASIA,
Hakika naamini kabisa kuwa hata wao kabla hawajapata maendeleo waliyo nayo sasa hawakuwa na huyu MDUDU DEMOCRASIA, lakini baada ya kupata maendeleo na kutaka kuendelea kumtawala mtu mweusi na mali yake ni kumletea hiki kitu DEMOCRASIA ili atengeneze makundi mawili yenye kutaka kuongoza taifa lakini akiwa na lake jambo kwa kuutumia upande wa pili kuleta vurugu kwa aliyefanikiwa kukaa kwenye kiti cha uongozi wa juu na hasa akionekana akukinzana na malengo yao mabeberu,
Mifano halisi tu ni huko Libya baada ya kumuondoa Gaddaf kwa kile walichokiita hakuongoza KIDEMOKRIA, angalia sasa walichokifanya kwa muweka utawala wao wenyewe kwa manufaa yao, Libya siibya ile ya Gaddafi lwa sasa,
Algeria, hali ni mbaya kwa neno lilelile DEMOKRASIA,
DRC Congo, hali ni ile ile, kila kukicha Congo ni sawa na jalala la kuleta kila aina ya uchafu wa wamagharibi huku wakifaidika na utajiri wa nchi ile,
Najiuliza maswali kwanini hili neno DEMOKRASIA ni Africa tu?
Mbona wasizungumzie na mataifa ya ASIA? ambayo hayafuati tawala wazitakazo hawa WAMAGHARIBI?
Na mbona chumi za mataifa haya(ASIA) unazidi kupaa tu ili hali hamna Demokrasia?
Mifano ya mataifa ya mashariki ya mbali yasiyokuwa muumini wa demokrasia ni kama CHINA, KOREA KAS NA KUSI, URUSI, na mengine yenye mifumo ya kifalme,
Mbona sisi tu Afrika ndio tumekuwa wenda wazimu kiasi hiki kukubali mfumo ambao hata enzi za mababu zetu hawakuwahi kuzitumia na walienzi hasa mifumo yao ya kitawala kichifu kujiletea maendeleo katika maeneo na himaya zao?
Au mnataka mnambie eti tumestarabika?
Tusitarabike kwa mengine ila si kwa kila kitu hasa tamaduni na mifumo iliyokuwapo kiutalawa, kiongozi akiwa anania ya kulijenga taifa tumwache na tumuunge mkono kufika pale aliponuia kutufikisha,
Taifa ni mshikamano na si utengano hasa katika maslahi mapana ya vizazi vijavyo,
Maisha ni kupita na vizazi vitapita,
JPM anania njema na tumwache atimize lile aliloliona kuwa ndio dira ya taifa,
Hakuna kiongozi yeyote aliyepewa dhamana na kuaminiwa na wananchi wake akataka kuwakomoa,
Tusikubali kugawanywa makundi hasa kipindi hiki kijacho cha uchaguzi. Beberu amepatarget sana kuona tunatofautiana ili aingize kucha lake kuchota mali tuliyo nayo, tukawa kama wenzetu Libya, na anaiona sana nafasi kuutumia upinzani kuleta sintofahamu ndani ya taifa,.
Hii ni kwa sababu ya Kiongozi wetu mwenye mlengo wa kushoto na matakwa ya WAMAGHARIBI,
JPM nakuombea sana MUNGU akupe maisha marefu kuliongoza taifa langu Tanzania.
Povu ruksa
Mkuu, God is a living Spirit with untold mighty power over the whole universe.Kusema anaamini si sawa na kuamini.
Ingekuwa hivyo, uhalifu 7ngekuwa mdogo sana duniani.
Wahalifu wakubwa wengi ni hao hao wanaosema wanaamini Mungu, lakini matendo yao yanaonesha wanasema kwa geresha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watamjuaje humu jfKwahili bandiko kama wasiposema unetumwa na mabeberu, basi lazima wataanza kufuatilia uraia wako, wakupe kesi ya kuhujumu uchumi na kesi ya kutakatisha fedha.
Tangu lini mabeberu wakawa washirika wenu wa maendeleo?Kwisha habari yako...kama mawazo yako ndiyo haya!!! Mtu aliyediriki kuutangazia ulimwengu wamama na watoto wa kitanzania wakose fedha za kujikimu kwa kuwashawishi washirika wetu wa maendeleo watususie kiuchumi...ndiye karata yako ya turufu!!! Hamna kitu wewe...kwisha habari yako.
Usipende kuanika Upumbavu wako mbele ya watumods naomba futa takataka hii...wewe kazi kulialia kama dem...kaa na umaskini wako maana naona maisha yamekushinda wakati maenei ya kulima yapo tele..pia hata hayo yamekushinda
Only idiots and Pathetic love himWe still love this man to be our President....kama humtaki you may leave for another country
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tusi liko wapi mkuu?Wa aina yenu ndiyo mnaofanya vyama vyenu kuonekana ni vyama vya kihuni. Hamshindani kwa hoja mnashindana kwa matusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Just the facts please.Mkuu, God is a living Spirit with untold mighty power over the whole universe.
God isn't a flesh like me and you, so his ways are not like the ways of mankind in such a way that he would act the way you think .
You don't believe in him because you've not seen him, can you see a Spirit?,
A Spirit doesn't live in a solid form like flesh .
Mungu yupo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa mnanikumbusha hili neno Mr misifa hivi yukojeKuna sababu kura haina nguvu.
Kampeni ya kumuondoa kwa kura si kupiga kura tu, ni pamoja na kuipa nguvu kura.
Kwa mfano, kama Tume ya Uchaguzi inatumika kubadili kura, mabadiliko ya tume ya uchaguzi nayo yanatakiwa kuwa katika kampeni.
Bottom line, kumwambia Magufuli apumzike kwa hiyari yake, ukitegemea akusikilize na kukubali, ni biashara kichaa.
Nisawa na kuuzungusha ama usumbua mkia wa mbwa km uko karibu utakiona cha motoSerekali za Afrika zilizopo madarakani kuzigusia kuwa inatakiwa tume huru ni sawa na kujaribu kumwaminisha papa kuwa hakuna Mungu bali ni story tu za kutunga!
Urais wako unakoma Oct /2020 mwaka huu, hebu hata wewe jitathimini Kama kweli unafaa kuendelea kuongoza watanzania.
Hapa ulikolifikisha Taifa yatosha kabisa ,heshima yako itabaki pale pale Kama Rais mstaafu na hakuna utakachopungukiwa.
Maisha ya watu ni magumu kupindukia ktk awamu yako kuliko awamu zote zilizopita.
Eti kila anayelalamika maisha ni magumu eti alikuwa mpiga dili, hata watoto wadogo wanaolala na njaa nao walikuwa wapiga dili ndo maana wanalala njaa.
Mfumuko wa Bei ni mkubwa kupindukia, Pesa haipatikani mitaani kwa sababu umeanzisha miradi mingi kuliko uwezo wa nchi kiuchumi na kwa hiyo pesa zote zinaenda nje ya nchi na zile za Halmashauri umezihamishia serikali kuu eti zilikuwa zinaibiwa ila wezi hawakamatiki.
Tangu uingie madarakani hujaajiri wala kuongeza mishahara zaidi ya kufukuza watu kazi eti walikuwa na vyeti feki na Wafanyakazi hewa, mbona hao waliokuwa wakila pesa za Wafanyakazi hewa hatujaona hata mmoja akifikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi?
Wanaofikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi ni watu wanaokosoa utawala wako,kama Kabendera na Magoti.
Muda wako mwingi madarakani umeutumia kuua upinzani kwa kuwanunua Wapinzani na kuwahonga vyeo..
Uchumi unaouendesha ni wa aina yako mwenyewe, unaiga mataifa yaliyofeli huku ukitaka kufanikiwa.
Serikali huwa haifanyi Biashara, ATCL ungei privatize na siyo kutumia mabilioni ya Pesa kununua ndege badala ya kuboresha Elimu na Kilimo.
Mataifa yote yaliyofanikiwa Duniani yana mfumo mmoja, nao ni Demokrasia na Uchumi kuwa mikononi mwa watu na siyo serikali.
Hiyo China mnayojifanya wana CCM kuiiga, ina mfumo imara wa haki kwa watu wote chini ya Chama kimoja siyo nyie mnaolindana kwa kuitafuna nchi .
Na serikali ya China haifanyi tena Biashara, ime privatize njia zote za uchumi, ujamaa waliukimbia siku nyingi.
Mikononi mwako hakuna nuru ya mafanikio, umaskini ndo umekuwa role model ya watanzania, na kila anayekukosoa hadharani anakipata cha moto, bahati yake binafsi Ngurumo naye yangemkuta ya Ben Saanane na Azory Gwanda.
Tanzania nzima inalia maisha magumu, mradi wa umeme wa Hydro Power ulioanzisha kwa pesa nyingi hauna impact yoyote kwenye uchumi kwa sababu ni wa kizamani mno .
Nchi ikiingia kwenye ukame umeme unakuwa wa mgao tena, hakuna ulichofanya, ndo maana Wajerumani walikushauri wajenge mitambo ya umeme wa Gesi kwa umeme wa uhakika kwa sababu Gesi tunayo nyingi.
Tutaikumbuka mno hiyo hifadhi ya Selous ambayo miti zaidi ya milioni moja imekatwa ili kupisha ujenzi wa Bwawa la umeme.
Miti huwa inavuta mvua pia, sasa itakuwaje hali ya Geography ya mvua hilo eneo na wakati Bwawa linahitaji maji ili umeme upatikane?
Yetu macho.
Wakati wa Kampeni utatueleza nini watanzania?
Na unataka uendelee kutuongoza ili iweje?
Sent using Jamii Forums mobile app
A country is not a companyHehehee...JPM makes you see the fire like Richard Pryor. JPM amekata govt spending zisizo na maana: mfano utaongezaje mishahara wakati overall productivity haiendi juu?
Hivi keki ya Taifa bado ipo?Kwani Wafanyakazi wa serikali ni walimu tu?
Vp kuhusu sector nyingine? Pote hajaajiri, anaajiri TISS, JESHI, na Police ili kumlinda na hii ni kanuni ya Madikteta pote Duniani
Sent using Jamii Forums mobile app