Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

uongo mbaya, bongo msoto mkali

Hali ni ngumu mbaya kinoma, ni mbaya kinyama

mitaani watu nyuso zimepauka, wamekosa nuru

Njaa ni kali vibaya

Vibanda ambavyo watu walikuwa wakiuza mitumba, matunda na bidhaa ndogondogo vimebaki vitupu, wewe pita kuanzia airport kupitia tazara, kata kona pale tazara kuelekea buguruni kisha kamata mandela road uone jinsi vile vibanda vilivyobaki vitupu

Watu njiani wamekondeana kwelikweli.
Hivi JPM anajisikiaje kuongoza Taifa la watu wanyongenyonge hivi

CCM amkeni, Nchi inanuka njaa hii, hivi hamuoni?
 
Ni ajabu unalinganisha Tanzania na nchi zilizoendelea hapo hapo unasema Serikali haijaajiri, ni Serikali gani Dunia hii hutoa ajira kwa Wananchi? Tangia lini Serikali ikawa mwajiri mkuu? Isitoshe unaelewa kwa nini huitwa Shirika la ndege huitwa ,,national airline“ ?
Ni wajibu wa serikali kuwaajiri watu wake au kuhakikisha wana uwezo wa kujiajiri.

Kazi ya Rais sio tu kula machips ikulu, ni pamoja na kujenga uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa kuwezesha upatikanaji wa fursa za ajira rasmi na zisizo rasmi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu aliyeshikilia power hapumziki kwa kuambiwa "pumzika sasa".

Anapumzishwa kwa lazima.

Piga kampeni atolewe urais kwa kura, pigia kampeni unayeona atafaa.

Hata wewe kweli? tangu lini umekuwa Anti- Magufuli?
 
Mimi nilichomkubali Magufuli ni kutumia findings za mwaka 1970 kwenye mradi wa Stiglers. Yani amekopi na kupesti kiulaini kabisa.

Any way niliwahi kuambiwa na mzee kuwa enzi hizo mwaka 1970 alikuwa akilima maharage anapata gunia 50 kidogo ila siku hizi hata gunia tano mtu unazisotea balaa. Sasa huyu Magufuli sijui aliwaza nini ku copy and paste?
Sasa hapo sio Magufuli bali hao watendaji wanaohusiana na utafiti .
 
Hata wewe kweli? tangu lini umekuwa Anti- Magufuli?
First things first, from this post, I am not anti anything.

I am just stating a first principle.

Kwamba, ukitaka mtawala aondoke, fanya kazi kumuondoa, usimuombe aondoke.

Hiyo ni fundamental principle.

Haijali unaongelea Magufuli au Cyrus The Great.

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Simple minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

The difference betwee you and I is, you are discussing people, I am discussing ideas.

Second thing.

Don't you ever think that you have figured me out

You will be surprised over and over again.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga kimya tu kulinda heshima yako umeandika kama hujaenda shule yaani ata kukupa majibu ni kazi bure
 
Bwana mdogo, uelewa wako ni mdogo mno kwenye mada Kama hii,
Walimu huajiriwa na Kampuni gani Kama siyo serikali?
Elewa maudhui ya mada ,National Airline ni serikali kufanya Biashara jambo ambalo ni la hovyo kabisa.
Kazi ya serikali ni kukusanya kodi na kusimamia uchumi kupitia Central Bank na Treasury.
Pesa za serikali ni kwa ajili ya Elimu, Afya na infrastructures.

Sent using Jamii Forums mobile app


Umesema kwamba serikali haitakiwi kufanya biashara intakiwa kukusanya Kodi sasa MBNA unapiga kelele ajira na mishahara! You make sure you check yourself before explaining uneducated facts
 
uongo mbaya, bongo msoto mkali

Hali ni ngumu mbaya kinoma, ni mbaya kinyama

mitaani watu nyuso zimepauka, wamekosa nuru

Njaa ni kali vibaya

Vibanda ambavyo watu walikuwa wakiuza mitumba, matunda na bidhaa ndogondogo vimebaki vitupu, wewe pita kuanzia airport kupitia tazara, kata kona pale tazara kuelekea buguruni kisha kamata mandela road uone jinsi vile vibanda vilivyobaki vitupu

Watu njiani wamekondeana kwelikweli.
Hivi JPM anajisikiaje kuongoza Taifa la watu wanyongenyonge hivi

CCM amkeni, Nchi inanuka njaa hii, hivi hamuoni?
Inasikitisha sana mkuu jns watu wanavyopata shd unawaza taman Mungu ashuke atuhukum wao cjui hawaoni hii hali?
 
Tutafika tu,

Ivi kwanin kila mara mnazungumzia democracy? Ukweli toka moyoni mwangu si muumini wa neno hili DEMOKRASIA, ni mipango michafu sana za mataifa ya magharibi kuendelea kuzitawala nchi nchi nyingi za Kiafrika kwa kutumia makundi kinzani na serikali zilizowekwa na pendekezwa na wananchi wake kuliongoza taifa lake kwa misingi yake na tamaduni zake, hapo sasa ndipo mataifa ya magharibi kutumia vikundi kinzani au vyama pinzani kuvuruga hali ya kiusalama ndani ya taifa kwa kile kinachoitwa serikali haifuati DEMOKRASIA,
Hakika naamini kabisa kuwa hata wao kabla hawajapata maendeleo waliyo nayo sasa hawakuwa na huyu MDUDU DEMOCRASIA, lakini baada ya kupata maendeleo na kutaka kuendelea kumtawala mtu mweusi na mali yake ni kumletea hiki kitu DEMOCRASIA ili atengeneze makundi mawili yenye kutaka kuongoza taifa lakini akiwa na lake jambo kwa kuutumia upande wa pili kuleta vurugu kwa aliyefanikiwa kukaa kwenye kiti cha uongozi wa juu na hasa akionekana akukinzana na malengo yao mabeberu,

Mifano halisi tu ni huko Libya baada ya kumuondoa Gaddaf kwa kile walichokiita hakuongoza KIDEMOKRIA, angalia sasa walichokifanya kwa muweka utawala wao wenyewe kwa manufaa yao, Libya siibya ile ya Gaddafi lwa sasa,
Algeria, hali ni mbaya kwa neno lilelile DEMOKRASIA,
DRC Congo, hali ni ile ile, kila kukicha Congo ni sawa na jalala la kuleta kila aina ya uchafu wa wamagharibi huku wakifaidika na utajiri wa nchi ile,

Najiuliza maswali kwanini hili neno DEMOKRASIA ni Africa tu?
Mbona wasizungumzie na mataifa ya ASIA? ambayo hayafuati tawala wazitakazo hawa WAMAGHARIBI?
Na mbona chumi za mataifa haya(ASIA) unazidi kupaa tu ili hali hamna Demokrasia?
Mifano ya mataifa ya mashariki ya mbali yasiyokuwa muumini wa demokrasia ni kama CHINA, KOREA KAS NA KUSI, URUSI, na mengine yenye mifumo ya kifalme,
Mbona sisi tu Afrika ndio tumekuwa wenda wazimu kiasi hiki kukubali mfumo ambao hata enzi za mababu zetu hawakuwahi kuzitumia na walienzi hasa mifumo yao ya kitawala kichifu kujiletea maendeleo katika maeneo na himaya zao?
Au mnataka mnambie eti tumestarabika?
Tusitarabike kwa mengine ila si kwa kila kitu hasa tamaduni na mifumo iliyokuwapo kiutalawa, kiongozi akiwa anania ya kulijenga taifa tumwache na tumuunge mkono kufika pale aliponuia kutufikisha,
Taifa ni mshikamano na si utengano hasa katika maslahi mapana ya vizazi vijavyo,
Maisha ni kupita na vizazi vitapita,
JPM anania njema na tumwache atimize lile aliloliona kuwa ndio dira ya taifa,
Hakuna kiongozi yeyote aliyepewa dhamana na kuaminiwa na wananchi wake akataka kuwakomoa,
Tusikubali kugawanywa makundi hasa kipindi hiki kijacho cha uchaguzi. Beberu amepatarget sana kuona tunatofautiana ili aingize kucha lake kuchota mali tuliyo nayo, tukawa kama wenzetu Libya, na anaiona sana nafasi kuutumia upinzani kuleta sintofahamu ndani ya taifa,.
Hii ni kwa sababu ya Kiongozi wetu mwenye mlengo wa kushoto na matakwa ya WAMAGHARIBI,

JPM nakuombea sana MUNGU akupe maisha marefu kuliongoza taifa langu Tanzania.

Povu ruksa
 
Tunamwongezea miaka kumi zaidi hili tunyooke tumeishi maisha ya uongo sana imetosha
 
Meko ni rais wa hovyoo sana kuwahi kumpata hapa Tanganyika pia ni mshamba mnoo. Watanganyika hawanaga roho mbaya kama ya huyu Mbaba. Siju kwa nini huyu mzee raia wa nchi ya kigeni alitangazwa kuwa rais. Msemakweli ni mpenzi wa Mungu. Bichwa lake lile baya linafanana na roho yake Mnyarwanda huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo ungependelea arudi mkwere? Handsome, mla bata ? Au ?
 
Back
Top Bottom