Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

Kwa hiyo wewe ktk mawazo yako unaamini kuwa maendeleo ya nchi yanaletwa kwa kufuata mawazo ya mtu mmoja? Je pale wanapojitokeza wenye mawazo tofauti tena yenye tija basi watekwe na kupotezwa ama wamiminiwe risasi kwakuwa wanatumiwa na mabeberu?

Taifa kubwa kama la Tanz lenye watu zaidi ya milioni 55 halitaweza kuendelea kwa kutegemea kichwa cha mtu mmoja na siyo DIRA ya Maendeleo ya Taifa. Hutaweza kuendeleza nchi kwa kuyachukia na kubagua mawazo ya wenzako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka tutawaliane kwa mifumo yetu, si demokrasia iliyoletwa na Wamagharibi wenye nia ovu na bara letu,
Pia mfumo wao hatuuwezi tunalazimisha tu kwani si sehemu ya tamaduni zetu kiutawala, yale yanayotokea ni moja ya mitegi yao ya mfumo wao wa kidemokrasia kumfanya mtawala aonekane mbaya kwa wananchi wake.
Mitego ya kichokozi kwa tawala zetu za kiafrika kwa vipandikizi chochezi ndani ya mataifa yetu wenyewe na ndipo watawala wanapogundua kuna mapandikizi yanatumika ndani ya taifa huyadungua kabla hayajaleta madhala makubwa baadae, sasa ndipo mabeberu yanajitokeza kuushutumu utawala husika kuwa haueshimu demokrasia na jinamizi haki za binadamu angali ni maadui ya uhai wa vizazi vijavyo,
Serikali in haki y kujilinda na maadaui ndani na nje ya mipaka yake,
Ova.
 
Huyu hawezi kung'oka kupitia sanduku la kura wala hiari yake, ameshanogewa na madaraka. Utawala wake ni kama wa Mseven, Kagame, Mobutu na wengineo, ili kumng'oa madarakani inatakiwa PLAN B..
 
Urais wako unakoma Oct /2020 mwaka huu, hebu hata wewe jitathimini Kama kweli unafaa kuendelea kuongoza watanzania.
Hapa ulikolifikisha Taifa yatosha kabisa ,heshima yako itabaki pale pale Kama Rais mstaafu na hakuna utakachopungukiwa.
Maisha ya watu ni magumu kupindukia ktk awamu yako kuliko awamu zote zilizopita.
Eti kila anayelalamika maisha ni magumu eti alikuwa mpiga dili, hata watoto wadogo wanaolala na njaa nao walikuwa wapiga dili ndo maana wanalala njaa.
Mfumuko wa Bei ni mkubwa kupindukia, Pesa haipatikani mitaani kwa sababu umeanzisha miradi mingi kuliko uwezo wa nchi kiuchumi na kwa hiyo pesa zote zinaenda nje ya nchi na zile za Halmashauri umezihamishia serikali kuu eti zilikuwa zinaibiwa ila wezi hawakamatiki.
Tangu uingie madarakani hujaajiri wala kuongeza mishahara zaidi ya kufukuza watu kazi eti walikuwa na vyeti feki na Wafanyakazi hewa, mbona hao waliokuwa wakila pesa za Wafanyakazi hewa hatujaona hata mmoja akifikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi?
Wanaofikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi ni watu wanaokosoa utawala wako,kama Kabendera na Magoti.
Muda wako mwingi madarakani umeutumia kuua upinzani kwa kuwanunua Wapinzani na kuwahonga vyeo..
Uchumi unaouendesha ni wa aina yako mwenyewe, unaiga mataifa yaliyofeli huku ukitaka kufanikiwa.
Serikali huwa haifanyi Biashara, ATCL ungei privatize na siyo kutumia mabilioni ya Pesa kununua ndege badala ya kuboresha Elimu na Kilimo.
Mataifa yote yaliyofanikiwa Duniani yana mfumo mmoja, nao ni Demokrasia na Uchumi kuwa mikononi mwa watu na siyo serikali.
Hiyo China mnayojifanya wana CCM kuiiga, ina mfumo imara wa haki kwa watu wote chini ya Chama kimoja siyo nyie mnaolindana kwa kuitafuna nchi .
Na serikali ya China haifanyi tena Biashara, ime privatize njia zote za uchumi, ujamaa waliukimbia siku nyingi.
Mikononi mwako hakuna nuru ya mafanikio, umaskini ndo umekuwa role model ya watanzania, na kila anayekukosoa hadharani anakipata cha moto, bahati yake binafsi Ngurumo naye yangemkuta ya Ben Saanane na Azory Gwanda.
Tanzania nzima inalia maisha magumu, mradi wa umeme wa Hydro Power ulioanzisha kwa pesa nyingi hauna impact yoyote kwenye uchumi kwa sababu ni wa kizamani mno .
Nchi ikiingia kwenye ukame umeme unakuwa wa mgao tena, hakuna ulichofanya, ndo maana Wajerumani walikushauri wajenge mitambo ya umeme wa Gesi kwa umeme wa uhakika kwa sababu Gesi tunayo nyingi.
Tutaikumbuka mno hiyo hifadhi ya Selous ambayo miti zaidi ya milioni moja imekatwa ili kupisha ujenzi wa Bwawa la umeme.
Miti huwa inavuta mvua pia, sasa itakuwaje hali ya Geography ya mvua hilo eneo na wakati Bwawa linahitaji maji ili umeme upatikane?
Yetu macho.
Wakati wa Kampeni utatueleza nini watanzania?
Na unataka uendelee kutuongoza ili iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
mods naomba futa takataka hii...wewe kazi kulialia kama dem...kaa na umaskini wako maana naona maisha yamekushinda wakati maenei ya kulima yapo tele..pia hata hayo yamekushinda
 
unataka utuambie nchi kama rwanda au somalia kuna economic opportunities nyingi kiasi kwamba watu wengi wameajiliwa kwenye private sector ? usiwe unakuja jf kudanganya watu
zaire ajira nyingi zilitoka serikalini miaka ya 80 watu wengi waliajiliwa katika shirika la taifa la kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo communism, Tanzania na Duniani ukiondoa Korea Kaskazini na Cuba kwingine kote communism ilishashindwa na kufa.
 
Huna hoja yoyote.
Nachelea kutumia lugha nzito kwako kwani huenda napishana na mzee wangu,
Ila pinga kwa hoja na mifano halisi kuwa taifa gani Africa lililoweza kwenda na huu mfumo nyonyaji uliojificha kwa kutetea eti haki za binadamu, ama ndio tunashanglia tu eti demokrsaia idumishwe? Wacha tujitawale kwa mifumo yetu wenyewe kujiletea maendeleo,
Fanya democrasia ndani ya familia yako kwanza ndipo ujone kama utaweza na uje na mrejesho hapa JF kama kweli umeweza kuumudu,
 
We still love this man to be our President....kama humtaki you may leave for another country

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ww akitoka madarakani huna ujanja wa kuishi vizuri.
Usilazimishe mawazo yangu yawe sawa na yako. Ndiyo maana kunakuwa na uchaguzi. Siyo kila usichokipenda na wenzio hawakipendi. Unachokiona kibaya mwenzio anakiona ni cha kupendeza. Ndiyo maana wanamme wabaya wanaoa na hata wanawake wabaya wanaolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urais wako unakoma Oct /2020 mwaka huu, hebu hata wewe jitathimini Kama kweli unafaa kuendelea kuongoza watanzania.
Hapa ulikolifikisha Taifa yatosha kabisa ,heshima yako itabaki pale pale Kama Rais mstaafu na hakuna utakachopungukiwa.
Maisha ya watu ni magumu kupindukia ktk awamu yako kuliko awamu zote zilizopita.
Eti kila anayelalamika maisha ni magumu eti alikuwa mpiga dili, hata watoto wadogo wanaolala na njaa nao walikuwa wapiga dili ndo maana wanalala njaa.
Mfumuko wa Bei ni mkubwa kupindukia, Pesa haipatikani mitaani kwa sababu umeanzisha miradi mingi kuliko uwezo wa nchi kiuchumi na kwa hiyo pesa zote zinaenda nje ya nchi na zile za Halmashauri umezihamishia serikali kuu eti zilikuwa zinaibiwa ila wezi hawakamatiki.
Tangu uingie madarakani hujaajiri wala kuongeza mishahara zaidi ya kufukuza watu kazi eti walikuwa na vyeti feki na Wafanyakazi hewa, mbona hao waliokuwa wakila pesa za Wafanyakazi hewa hatujaona hata mmoja akifikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi?
Wanaofikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi ni watu wanaokosoa utawala wako,kama Kabendera na Magoti.
Muda wako mwingi madarakani umeutumia kuua upinzani kwa kuwanunua Wapinzani na kuwahonga vyeo..
Uchumi unaouendesha ni wa aina yako mwenyewe, unaiga mataifa yaliyofeli huku ukitaka kufanikiwa.
Serikali huwa haifanyi Biashara, ATCL ungei privatize na siyo kutumia mabilioni ya Pesa kununua ndege badala ya kuboresha Elimu na Kilimo.
Mataifa yote yaliyofanikiwa Duniani yana mfumo mmoja, nao ni Demokrasia na Uchumi kuwa mikononi mwa watu na siyo serikali.
Hiyo China mnayojifanya wana CCM kuiiga, ina mfumo imara wa haki kwa watu wote chini ya Chama kimoja siyo nyie mnaolindana kwa kuitafuna nchi .
Na serikali ya China haifanyi tena Biashara, ime privatize njia zote za uchumi, ujamaa waliukimbia siku nyingi.
Mikononi mwako hakuna nuru ya mafanikio, umaskini ndo umekuwa role model ya watanzania, na kila anayekukosoa hadharani anakipata cha moto, bahati yake binafsi Ngurumo naye yangemkuta ya Ben Saanane na Azory Gwanda.
Tanzania nzima inalia maisha magumu, mradi wa umeme wa Hydro Power ulioanzisha kwa pesa nyingi hauna impact yoyote kwenye uchumi kwa sababu ni wa kizamani mno .
Nchi ikiingia kwenye ukame umeme unakuwa wa mgao tena, hakuna ulichofanya, ndo maana Wajerumani walikushauri wajenge mitambo ya umeme wa Gesi kwa umeme wa uhakika kwa sababu Gesi tunayo nyingi.
Tutaikumbuka mno hiyo hifadhi ya Selous ambayo miti zaidi ya milioni moja imekatwa ili kupisha ujenzi wa Bwawa la umeme.
Miti huwa inavuta mvua pia, sasa itakuwaje hali ya Geography ya mvua hilo eneo na wakati Bwawa linahitaji maji ili umeme upatikane?
Yetu macho.
Wakati wa Kampeni utatueleza nini watanzania?
Na unataka uendelee kutuongoza ili iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika kwa uchungu umeeleweka
 
Kuna sababu kura haina nguvu.

Kampeni ya kumuondoa kwa kura si kupiga kura tu, ni pamoja na kuipa nguvu kura.

Kwa mfano, kama Tume ya Uchaguzi inatumika kubadili kura, mabadiliko ya tume ya uchaguzi nayo yanatakiwa kuwa katika kampeni.

Bottom line, kumwambia Magufuli apumzike kwa hiyari yake, ukitegemea akusikilize na kukubali, ni biashara kichaa.
Siyo vibaya kumwambia hivyo kwa sababu anaweza kukubali kupumzika ili aingie mwingine, vinginevyo apumzishwe kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urais wako unakoma Oct /2020 mwaka huu, hebu hata wewe jitathimini Kama kweli unafaa kuendelea kuongoza watanzania.
Hapa ulikolifikisha Taifa yatosha kabisa ,heshima yako itabaki pale pale Kama Rais mstaafu na hakuna utakachopungukiwa.
Maisha ya watu ni magumu kupindukia ktk awamu yako kuliko awamu zote zilizopita.
Eti kila anayelalamika maisha ni magumu eti alikuwa mpiga dili, hata watoto wadogo wanaolala na njaa nao walikuwa wapiga dili ndo maana wanalala njaa.
Mfumuko wa Bei ni mkubwa kupindukia, Pesa haipatikani mitaani kwa sababu umeanzisha miradi mingi kuliko uwezo wa nchi kiuchumi na kwa hiyo pesa zote zinaenda nje ya nchi na zile za Halmashauri umezihamishia serikali kuu eti zilikuwa zinaibiwa ila wezi hawakamatiki.
Tangu uingie madarakani hujaajiri wala kuongeza mishahara zaidi ya kufukuza watu kazi eti walikuwa na vyeti feki na Wafanyakazi hewa, mbona hao waliokuwa wakila pesa za Wafanyakazi hewa hatujaona hata mmoja akifikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi?
Wanaofikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi ni watu wanaokosoa utawala wako,kama Kabendera na Magoti.
Muda wako mwingi madarakani umeutumia kuua upinzani kwa kuwanunua Wapinzani na kuwahonga vyeo..
Uchumi unaouendesha ni wa aina yako mwenyewe, unaiga mataifa yaliyofeli huku ukitaka kufanikiwa.
Serikali huwa haifanyi Biashara, ATCL ungei privatize na siyo kutumia mabilioni ya Pesa kununua ndege badala ya kuboresha Elimu na Kilimo.
Mataifa yote yaliyofanikiwa Duniani yana mfumo mmoja, nao ni Demokrasia na Uchumi kuwa mikononi mwa watu na siyo serikali.
Hiyo China mnayojifanya wana CCM kuiiga, ina mfumo imara wa haki kwa watu wote chini ya Chama kimoja siyo nyie mnaolindana kwa kuitafuna nchi .
Na serikali ya China haifanyi tena Biashara, ime privatize njia zote za uchumi, ujamaa waliukimbia siku nyingi.
Mikononi mwako hakuna nuru ya mafanikio, umaskini ndo umekuwa role model ya watanzania, na kila anayekukosoa hadharani anakipata cha moto, bahati yake binafsi Ngurumo naye yangemkuta ya Ben Saanane na Azory Gwanda.
Tanzania nzima inalia maisha magumu, mradi wa umeme wa Hydro Power ulioanzisha kwa pesa nyingi hauna impact yoyote kwenye uchumi kwa sababu ni wa kizamani mno .
Nchi ikiingia kwenye ukame umeme unakuwa wa mgao tena, hakuna ulichofanya, ndo maana Wajerumani walikushauri wajenge mitambo ya umeme wa Gesi kwa umeme wa uhakika kwa sababu Gesi tunayo nyingi.
Tutaikumbuka mno hiyo hifadhi ya Selous ambayo miti zaidi ya milioni moja imekatwa ili kupisha ujenzi wa Bwawa la umeme.
Miti huwa inavuta mvua pia, sasa itakuwaje hali ya Geography ya mvua hilo eneo na wakati Bwawa linahitaji maji ili umeme upatikane?
Yetu macho.
Wakati wa Kampeni utatueleza nini watanzania?
Na unataka uendelee kutuongoza ili iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikumbie kitu jiandae tu kisaokolojia huyo ndio Rais wa nchi kwa kura halali za watanzania humtaki october kapige kura yako ndio demokrasia ilivyo Baba wa watu anajitahidi kwa kadiri ya uwezo wake lakini binaadamu sie hutuishi visa, Ukiwa kama Mtanzania hembu chukua hata nusu saaa utafakari hii nchi ina Mito,Maziwa,Bahari,Madini ya aina zote ,Mlima Mrefu kuliko yote Afrika na wa pili Duniani ,Misitu Mbuga za wanyama ardhi yenye rutuba ,na kuubwa tumejaaliwa karibia kila aina ya mazao yanamea na kustawi kulingana na eneo hayo yote tumejaliwa na Mungu pasipo hata kutoa hata senti kwa akili ulizopewa na maarifa angalao kidogo uliyonayo umefanyia nini hivi vyote vilivyo ndani ya nchi yako maana imeandikwa asiyefanya kazi na asile unaemlaumu amevikuta na vingine kavikuta vimetapanywa hovyo bila kuleta tija kaamua kuvisimamia vyema lawama zinaanza hakuna watu wasiotutakia mema kama haya mataifa makubwa hao ndio waliotufikisha hapa tulipo sasa tumempata Mtu aliye na uthubutu wa kusema inatosha tayari husda hata unapotaka kujenga nyumba nzuri na imara ya kuishi unajinyima ulikuwa unakula nyama mara tatu kwa wiki unakula mara moja ili utimize lengo ulilokusudia maendeleo hayaji kwa siku moja hata roma ilichukua miaka mingi kuijenga kwa shida na jasho saa zingine hata mateka babu yako alishiriki kuijeka kuwa mzalendo Rais Magufuli hautaki hama nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom