Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

Kaka tutawaliane kwa mifumo yetu, si demokrasia iliyoletwa na Wamagharibi wenye nia ovu na bara letu,
Pia mfumo wao hatuuwezi tunalazimisha tu kwani si sehemu ya tamaduni zetu kiutawala, yale yanayotokea ni moja ya mitegi yao ya mfumo wao wa kidemokrasia kumfanya mtawala aonekane mbaya kwa wananchi wake.
Mitego ya kichokozi kwa tawala zetu za kiafrika kwa vipandikizi chochezi ndani ya mataifa yetu wenyewe na ndipo watawala wanapogundua kuna mapandikizi yanatumika ndani ya taifa huyadungua kabla hayajaleta madhala makubwa baadae, sasa ndipo mabeberu yanajitokeza kuushutumu utawala husika kuwa haueshimu demokrasia na jinamizi haki za binadamu angali ni maadui ya uhai wa vizazi vijavyo,
Serikali in haki y kujilinda na maadaui ndani na nje ya mipaka yake,
Ova.
Tanzania hii yenye watu millioni 60 hakuna mwenye uwezo wa kuongoza zaidi ya Mzee Meko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quote of the decade: "Uchumi unaouendesha ni wa aina yako mwenyewe, unaiga mataifa yaliyofeli huku ukitaka kufanikiwa. "
 
Urais wako unakoma Oct /2020 mwaka huu, hebu hata wewe jitathimini Kama kweli unafaa kuendelea kuongoza watanzania.
Hapa ulikolifikisha Taifa yatosha kabisa ,heshima yako itabaki pale pale Kama Rais mstaafu na hakuna utakachopungukiwa.
Maisha ya watu ni magumu kupindukia ktk awamu yako kuliko awamu zote zilizopita.
Eti kila anayelalamika maisha ni magumu eti alikuwa mpiga dili, hata watoto wadogo wanaolala na njaa nao walikuwa wapiga dili ndo maana wanalala njaa.
Mfumuko wa Bei ni mkubwa kupindukia, Pesa haipatikani mitaani kwa sababu umeanzisha miradi mingi kuliko uwezo wa nchi kiuchumi na kwa hiyo pesa zote zinaenda nje ya nchi na zile za Halmashauri umezihamishia serikali kuu eti zilikuwa zinaibiwa ila wezi hawakamatiki.
Tangu uingie madarakani hujaajiri wala kuongeza mishahara zaidi ya kufukuza watu kazi eti walikuwa na vyeti feki na Wafanyakazi hewa, mbona hao waliokuwa wakila pesa za Wafanyakazi hewa hatujaona hata mmoja akifikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi?
Wanaofikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi ni watu wanaokosoa utawala wako,kama Kabendera na Magoti.
Muda wako mwingi madarakani umeutumia kuua upinzani kwa kuwanunua Wapinzani na kuwahonga vyeo..
Uchumi unaouendesha ni wa aina yako mwenyewe, unaiga mataifa yaliyofeli huku ukitaka kufanikiwa.
Serikali huwa haifanyi Biashara, ATCL ungei privatize na siyo kutumia mabilioni ya Pesa kununua ndege badala ya kuboresha Elimu na Kilimo.
Mataifa yote yaliyofanikiwa Duniani yana mfumo mmoja, nao ni Demokrasia na Uchumi kuwa mikononi mwa watu na siyo serikali.
Hiyo China mnayojifanya wana CCM kuiiga, ina mfumo imara wa haki kwa watu wote chini ya Chama kimoja siyo nyie mnaolindana kwa kuitafuna nchi .
Na serikali ya China haifanyi tena Biashara, ime privatize njia zote za uchumi, ujamaa waliukimbia siku nyingi.
Mikononi mwako hakuna nuru ya mafanikio, umaskini ndo umekuwa role model ya watanzania, na kila anayekukosoa hadharani anakipata cha moto, bahati yake binafsi Ngurumo naye yangemkuta ya Ben Saanane na Azory Gwanda.
Tanzania nzima inalia maisha magumu, mradi wa umeme wa Hydro Power ulioanzisha kwa pesa nyingi hauna impact yoyote kwenye uchumi kwa sababu ni wa kizamani mno .
Nchi ikiingia kwenye ukame umeme unakuwa wa mgao tena, hakuna ulichofanya, ndo maana Wajerumani walikushauri wajenge mitambo ya umeme wa Gesi kwa umeme wa uhakika kwa sababu Gesi tunayo nyingi.
Tutaikumbuka mno hiyo hifadhi ya Selous ambayo miti zaidi ya milioni moja imekatwa ili kupisha ujenzi wa Bwawa la umeme.
Miti huwa inavuta mvua pia, sasa itakuwaje hali ya Geography ya mvua hilo eneo na wakati Bwawa linahitaji maji ili umeme upatikane?
Yetu macho.
Wakati wa Kampeni utatueleza nini watanzania?
Na unataka uendelee kutuongoza ili iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Vichaa Kama ninyi mnakazi
 
Tuchukulie hili jambo katika maisha ya kawaida kifamilia, he baba au Mama anapokuwa anajenga ili muwe na penu, menu yenu itakuwa sawa na wakati walikuwa hawajengi?
Ji tafakari
 
Umeeleweka mkuu, huyu jamaa kwakweli ametufikisha mahala ambapo nahisi hatujawahi kufika....leo kilo ya sukari inauzwa 2500/= sikumbuki kama miaka ya hivi karibu tuliwahk kifikia hapa kabla ya serikali ya hawamu ya tano. Mfuko wa sementi nimeununua elf 21000/= hii ni aibu. Mh Rais unapaswa ujitumbue tu japo tutakukumbuka kwa baadhi ya mema uliyo yafanya ila hali ni mbaya sana, kazi tunafanya, hatujawahi kuwa wapigaji dili kama unavyo hubiri kuwa kila anayelalamika ni mpiga dili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu aliyeshikilia power hapumziki kwa kuambiwa "pumzika sasa".

Anapumzishwa kwa lazima.

Piga kampeni atolewe urais kwa kura, pigia kampeni unayeona atafaa.
Haiwezekani Tz, kuna hatua muhimu tatu za mchakato wa kupiga kura 1) kuhesabu- zinaweza kuhesabiwa na zisizokuwepo. 2) kujumlisha - si lazima wajumlishe vituo vinavyojulikana uongeza vituo, 3) kutangaza- si lazima atangazwe alieshinda,
Mambo si mepesi hivyo, tume huru ni sehemu ya msingi wa kupata viongozi waliochaguliwa kwa ukweli.
 
siasa za jf zinachekesha...
Expect big impact kutokana na long trash text
Urais wako unakoma Oct /2020 mwaka huu, hebu hata wewe jitathimini Kama kweli unafaa kuendelea kuongoza watanzania.
Hapa ulikolifikisha Taifa yatosha kabisa ,heshima yako itabaki pale pale Kama Rais mstaafu na hakuna utakachopungukiwa.
Maisha ya watu ni magumu kupindukia ktk awamu yako kuliko awamu zote zilizopita.
Eti kila anayelalamika maisha ni magumu eti alikuwa mpiga dili, hata watoto wadogo wanaolala na njaa nao walikuwa wapiga dili ndo maana wanalala njaa.
Mfumuko wa Bei ni mkubwa kupindukia, Pesa haipatikani mitaani kwa sababu umeanzisha miradi mingi kuliko uwezo wa nchi kiuchumi na kwa hiyo pesa zote zinaenda nje ya nchi na zile za Halmashauri umezihamishia serikali kuu eti zilikuwa zinaibiwa ila wezi hawakamatiki.
Tangu uingie madarakani hujaajiri wala kuongeza mishahara zaidi ya kufukuza watu kazi eti walikuwa na vyeti feki na Wafanyakazi hewa, mbona hao waliokuwa wakila pesa za Wafanyakazi hewa hatujaona hata mmoja akifikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi?
Wanaofikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi ni watu wanaokosoa utawala wako,kama Kabendera na Magoti.
Muda wako mwingi madarakani umeutumia kuua upinzani kwa kuwanunua Wapinzani na kuwahonga vyeo..
Uchumi unaouendesha ni wa aina yako mwenyewe, unaiga mataifa yaliyofeli huku ukitaka kufanikiwa.
Serikali huwa haifanyi Biashara, ATCL ungei privatize na siyo kutumia mabilioni ya Pesa kununua ndege badala ya kuboresha Elimu na Kilimo.
Mataifa yote yaliyofanikiwa Duniani yana mfumo mmoja, nao ni Demokrasia na Uchumi kuwa mikononi mwa watu na siyo serikali.
Hiyo China mnayojifanya wana CCM kuiiga, ina mfumo imara wa haki kwa watu wote chini ya Chama kimoja siyo nyie mnaolindana kwa kuitafuna nchi .
Na serikali ya China haifanyi tena Biashara, ime privatize njia zote za uchumi, ujamaa waliukimbia siku nyingi.
Mikononi mwako hakuna nuru ya mafanikio, umaskini ndo umekuwa role model ya watanzania, na kila anayekukosoa hadharani anakipata cha moto, bahati yake binafsi Ngurumo naye yangemkuta ya Ben Saanane na Azory Gwanda.
Tanzania nzima inalia maisha magumu, mradi wa umeme wa Hydro Power ulioanzisha kwa pesa nyingi hauna impact yoyote kwenye uchumi kwa sababu ni wa kizamani mno .
Nchi ikiingia kwenye ukame umeme unakuwa wa mgao tena, hakuna ulichofanya, ndo maana Wajerumani walikushauri wajenge mitambo ya umeme wa Gesi kwa umeme wa uhakika kwa sababu Gesi tunayo nyingi.
Tutaikumbuka mno hiyo hifadhi ya Selous ambayo miti zaidi ya milioni moja imekatwa ili kupisha ujenzi wa Bwawa la umeme.
Miti huwa inavuta mvua pia, sasa itakuwaje hali ya Geography ya mvua hilo eneo na wakati Bwawa linahitaji maji ili umeme upatikane?
Yetu macho.
Wakati wa Kampeni utatueleza nini watanzania?
Na unataka uendelee kutuongoza ili iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehee...JPM makes you see the fire like Richard Pryor. JPM amekata govt spending zisizo na maana: mfano utaongezaje mishahara wakati overall productivity haiendi juu?
Sasa utasemaje uchumi unakua wakat hizo 'productivity' haiendi juu it means kama nchi hatuongezi chochote.
Au, uchumi unaweza kukua wakati kiuzalishaji tuko pale pale?

PhD anasema yeye ni muumini wa sera za mwalimu Nyerere,Mwl ni Mungu na role model wake,So tegemea nchi na watanzania tukipitia nyakati zilezile tulizopitia miaka ile ya Nyerere unless tuseme hapana otherwise yajayo yanafurahisha.Hii ni robot inayoendeshwa na mwl akiwa kaburini,he cant think kwamba wakati na technology vimebadirika
 
Mtu aliyeshikilia power hapumziki kwa kuambiwa "pumzika sasa".

Anapumzishwa kwa lazima.

Piga kampeni atolewe urais kwa kura, pigia kampeni unayeona atafaa.
Huyu anatakiwa kutolewa nguvu
 
Hehehee...JPM makes you see the fire like Richard Pryor. JPM amekata govt spending zisizo na maana: mfano utaongezaje mishahara wakati overall productivity haiendi juu?
Hii ndo akili ya masikini,while Tajiri anafikiria kuinvest ili aongeze productivity na kipato, masikini anafikiria kuserve au kuweka kwenye kibubu kile alichonacho
 
Attachments

  • IMG-20200117-WA0000.jpg
    IMG-20200117-WA0000.jpg
    66.4 KB · Views: 13
Magufuli for life presidency, hutaki jimalize kwa utando wa buibui
 
Jamani hii nchi tukisema iongozwe na chama kingine nisawa na kurudi nyuma na ndiyo hicho ccm hawataki kuachia chama kingine kiongoze, yaani itakua kama vile ndiyo tumepata uhuru jana

Maybe kipindi kile Mzee Mwinyi ametoka madarakani kisha wangekipa uongozi chama kingine ingefaa yaani ingekua tunafanya interchange.

Wangu mtazamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom